kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania FIFA Ripoti: Zaidi ya Tsh. Trilioni 23.3 zilitumiwa na Vilabu kufanya Usajili mwaka 2023

    Zaidi ya vilabu 1000 vya soka duniani vilitumia dola bilioni 9.63 katika uhamisho wa mwaka jana na kusajili ongezeko la 48.1% la takwimu kutoka 2022. Wachezaji wa kitaalamu walichangia 31% ya takwimu za uhamisho lakini walitawala matumizi ya klabu. Wachezaji kumi bora walitumia 10% ya pesa...
  2. JamiiForums Tanzania MOI kufanya upasuaji kwa kutumia Robot

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Profesa Abel Makubi amesema Taasisi hiyo inatarajia kuanza kutoa huduma za kitabibu kwa kutumia roboti ndani ya miaka mitatu ijayo. Akiongea kwenye mahojiano maalum Prof. Makubi amesema “Sasa hivi tunafanya evaluation tuweze...
  3. JamiiForums Tanzania Hakuna uhusiano wa ukubwa wa maumbile ya mwanamke na kuzaa kwake au kufanya sana sex

    Based on true story/ based on experience. Kama ilivyo kwa wanaume wenye vibamia na ma tango, the same kwa wanawake, ni suala la ki maumbile zaidi na kukiko kimazingira period.
  4. JamiiForums Tanzania Mzee wa miaka 70 ashikiliwa na Polisi akituhumiwa kufanya utapeli na Maafisa wa NSSF

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Maafisa wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii [NSSF] linamshikilia mtuhumiwa Pius Komba [70] mkazi wa Itigi Jijini Mbeya kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya utapeli na kughushi nyaraka mbalimbali. Mtuhumiwa alikamatwa Januari 25, 2024 eneo...
  5. JamiiForums Tanzania Ndo nimeajiriwa kwa huu mshahara, nipeni mbinu za kufanya nitoboe ndani ya huu mwaka

    Wataalam wa Darisalaam nawasalim, Ndo nmereport kazin apa na takehome ya 1M. Nipeni mbinu za kufanya ili kufikia mwisho wa mwaka huu nisiwe Tena mtegemezi wa mshahara. Nipeni mbinu za kiasi gani Cha kusave, kuspend na kuinvest ili kijana wenu nisiwe napiga marktime. Na kama nainvest nipeni...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuchelewa/Kushindwa Kufanya Utekelezaji Wa Hukumu, Natakiwa Nifanye Nini?

    Kwema Wakuu? Nilikua naomba usaidizi wenu wa msaada wa mawazo. Ninamdai mtu kama TZS 18mil hivi na nikamfungulia kesi ya madai kwenye Mahakama moja ya mwanzo hapa Dar es Salaam. Bwana yule alikiri kudaiwa na mimi na akahidi kua atakua analipa kidogo kidogo na pesa atakua anakuja kuzilipia...
  7. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Marais wa Afrika kufanya Promotions za Birthday Parties zao Redioni na Runingani huku nchi zao zikiwa ni Maskini na Wananchi wao?

    Nasisitiza tena hapa nawaongelea Marais wote tu wa Afrika, sasa Wewe jitutumue kuja Kukurupuka namsema wako nikupe ulichokuwa ukikitafuta kwa huko Kuwashwawashwa Kwako.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kama nchi naamini tuna uwezo wa kufanya vizuri zaidi ya hivi tunavyofanya

    Kuna mambo yanayogusa maisha ya wananchi ya kila dakika. Suala la mgao wa umeme, miundombinu ya maji kuharibika na kutokutengezwa kwa haraka ili kurejesha huduma, barabara mbovu, dawa hospitalini, nk. siyo vitu vya kusubiri sijui mpaka rais aje avitolee maelekezo au kuwajibisha watendaji wake...
  9. JamiiForums Tanzania Unahitaji kiasi gani cha pesa kuweza kuishi miaka 10 bila kufanya kazi ya kuingiza kipato?

    Miaka kumi ina miezi 120! Say: 3,000,000×120? = 360,000,000
  10. K

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kufanya interview nikiwa nimelewa nikapata ile kazi

    Ilikua mwaka flan bana, nikiwa niko tu jobless nikapokea call kutoka kwa recruitment agent kuwa kavutiwa na cv yangu hivyo anataka kusikia mawili matatu kutoka kwangu kabla ya kutuma cv yangu kwa client wao.well tulifanya nae fresh akanielewa then akaituma kwa client wake. Yule client wake...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa biashara ya kufanya Zanzibar

    Wakuu nataka niwe na chukua Mali aidha kariakoo au bara mzigo gani unatoka nao uhakika ukivuka maji na Meli au vi boat?taratibu zake na changamoto zake ni zip?
  12. JamiiForums Tanzania Tujitahidi kufanya mapenzi kila siku kwa dakika nne ili tupunguze hatari ya kupata Saratani?

    Mwaka jana Desemba niliwatembelea ndugu zangu jirani, katika mazungumzo waliniambia kwa Kinyankole ila nitasema kwa Kiswahili 'Vijana wengi wa huku kwetu wanafanya mapenzi na wake zao kila siku walau kwa dakika nne ili kupunguza hatari ya kupata ugonjwa wa saratani', na wamekuwa wakifanya...
  13. JamiiForums Tanzania Dola bilioni 2 za DP World zaidhinishwa kufanya upanuzi wa Bandari ya Msumbiji

    Bandari ya Maputo, Msumbiji Msumbiji imeidhinisha mkataba mrefu kwa DP World Ltd., Grindrod Ltd. na watoa huduma wengine wa bandari kubwa zaidi nchini mwake, ikiwa ni pamoja na upanuzi wa dola bilioni 2 utakaosababisha kuhamishwa kwa mizigo kutoka miundombinu ya biashara iliyochakaa ya Afrika...
  14. JamiiForums Tanzania Licha ya Serikali kufanya juhudi kubwa, bidhaa ni ghali sana

    Wananchi wanashindwa kumudu gharama za maisha. Sijasema nasapoti maandamano. Kusapoti kwangu naona Kama ni kuruhusu, na mimi siyo kazi yangu kuruhusu au kutoruhusu maandamano. Mwenye kazi hiyo ataifanya. Mimi natoa my honest opinion kwamba vitu vimekuwa nei ghalo sana. Halafu jana tumeona...
  15. JamiiForums Tanzania Mkubali ama mkatae ukweli utabaki pale pale kwamba CCM nchi imeshawashinda hii, kuna haja ya kufanya jambo 2025

    Habari zenu wana nzengo Mimi si mwanachama wa chama chochote kile cha siasa na wala sio mwana siasa Nimeandika kama Mtanzania mzalendo mwenye mapenzi ya dhati na nchi yangu Siku zote waswahili wanasema usipende kukaa na dukuduku moyon hivyo bas dukuduku langu nimetafuta sehemi ya kulitolea...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna madhara kufanya kufanya mapenzi kila siku?

    Binadamu tumetofautiana, kuna watu wanapenda kuangalia mpira na kuna wengine wanapenda kufanya mapenzi. Swali, Kuna madhara yoyote anapata mtu akiwa anafanya mapenzi kilasiku?
  17. G

    JamiiForums Tanzania Nina kopi moja tu ya picha private, video private, pdf za mali, vyeti, leseni, n.k. njia gani nzuri ya kufanya backups mpya kila wiki bila bando?

    Nimejikuta nina hofu ya kupoteza data zangu hasa baada ya matukio kadhaa ya kupoteza flash, kuibiwa simu, n.k. Data zilizokuwemo humo zilipotea moja kwa moja, ni kumbukumbu za muhimu siwezi kuja kuzipata tena. Najua kuna online back ups lakini hizi kila mwezi inabidi ulipie na pia unahitaji...
  18. JamiiForums Tanzania Hadi leo sielewi shida ni nini, mimi binafsi siwezi na sidhani kama nitakuja kuweza kufanya ngono na mwanamke asiye wangu!

    Salamu nishamuachiaga ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa kina Cognizant Wakuu mimi binafsi huwa sijielewi nina matatizo gani!,yawezekana nikawa dhaifu kwa baadhi ya watu hapa JF lakini pengine yawezekana ndivyo nilivyo! Tangu nimekuwa mtu mzima huwa sitamani mwanamke...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Taifa Stars baada ya kuambiwa Kocha Mkuu Adel hayuko tena wamefurahi na kuahidi kufanya kweli

    Kwa mujibu wa chanzo changu muhimu kilichopo kambini Ivory Coast kimesema kwa furaha iliyoko sasa kambini kwani hata wachezaji nao kuanzia nahodha Samatta walikuwa hawamkubali na hawamtaki kocha mkuu dalali Adel Amrouche. Wamesema wanaenda kuwafunga Zambia na hata Congo DR ili tu kuwaheshimisha...
  20. JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Samia: Japo wengi wape, wachache pia wasikilizwe, Hoja ya kufanya "minimum reforms" za Katiba ni hoja ya msingi sana kuliko hata Sheria!

    Wanabodi, Kwa kadri siku zinavyokwenda na miaka inavyopita, ndivyo wazee wanavyopita na vijana kuchipukia, hivyo sisi tuliokuwepo enzi za Tume ya Jaji Nyalali kukusanya maoni ya Watanzania kuhusu kuendelea na mfumo wa chama kimoja au vyama vingi, asilimia 80% ya Watanzania walitaka tuendelee na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…