kufanikiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kichwa kikubw

    JamiiForums Tanzania Kuna faida gani ya kuendesha miradi iliyoanzishwa na wazazi?

    Naomba kuuliza humu wanaJF mnsaidie. Mimi ni kijana wa kiume 26yrs .Nimemaliza form six mwaka jana na mzee kaamua kutoniendeleza chuo ili tu nikafanye kazi kwenye miradi zake na ukiangalia katika familia tupo watoto 12. Pia mzee ana mali nyingi tu.< ng'ombe 200, Na mradi wa mashine ya kukoboa...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Uliwezaje kufanikiwa kimaisha kwa kutumia mbinu au kanuni uliyosoma kwenye kitabu au ushauri?

    Ndugu wanajamvi, Kwenye jamii inayotuzunguka kuna msemo ya wahenga na busara au elimu ambayo ili kusaidia au kukunufaisha na kutuwezesha either Iwe positively au negatively kuwa na nidhamu au kanuni za kimaisha. Naomba tushare baadhi ya hivo Vitu either umesoma, kusikia, kuona au namna...
  3. kilamba lamba

    JamiiForums Tanzania Nitaoa ili nizidi kufanikiwa

    Habarini wana jamvi... Natumai mu wazima wa afya kabisa na Mungu anasaidia katika mihangaiko yetu. Aaiiiseee nimekaa nimefikiria kiundani zaidi. Nimeona mimi kama kijana wa kiume kuna umuhimu wa kuowa. Kwa upande nimeamua kwamba nitaowa kwa ajili ya mambo mawili: 1. Kuwa na Familia bora...
  4. 5

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mtu yeyote amefanikiwa kujaza form ya mikopo Loan Board (HESLB)?

    Imebidi nije hapa huu mtandao wa Loan Board hauko vizuri hasa hasa kwenye kipengele cha Preliminary information hakuna chochote unachoweza kujaza na uka submit na ukakiona kwenye preview. picha hata useti kwa kiwango kipi 120x150px haionyeshi wala haikai kwenye mfumo. Tunaomba kujua hapa nina...
  5. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu tofauti ya Kutajirika na Kufanikiwa

    Haya maneno mawili yananichanganya kidogo naomba mwenye uelewa aniandikie hapa nijifunze Kufanikiwa si ndio kutajirika huko au kutajirika ndio kufanikiwa kwenyewe mi sielewii.
  6. Zee la Masonko

    JamiiForums Tanzania Namtafuta Rafiki yangu Shunie. Tulipotezana humu mwaka 2015 mwanzoni enzi za JK

    Wakuu mpaka Leo huwa najiuliza Shunie alienda wapi loo!! Huyu mtu tulipendana Sana humu JF Enzi hizo ndiyo alikuwa bae wangu humu kila Uzi lazima atupie comment kipindi hicho humu JF kulikuwa na ladha ya kipekee Sana. Shunie popote upatapo ujumbe huu nakutafuta mwenzio ni Kitambo sana...
  7. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania Uongo uliowahi kufanikiwa zaidi

    Ni uongo gani uliwahi kufanikiwa kukamata akili yako au maisha yako kwa muda mrefu. Mimi binafsi 1. Shule Nilienda kutafuta majibu ya maswali amabayo sikuwa nayo. Kumbe kusoma koote kule ilikuwa najifunza namna ya kujifunza. 2. Serikali Nilidhani ipo kwaajiri yetu kumbe ipo kwa ajili ya watu...
  8. Street brain

    JamiiForums Tanzania Ukifanikiwa wafanye wengine pia wafanikiwe kupitia wewe

    Jambo letu Haitoshi tu kuwa na mafanikio makubwa bali tumia nafasi hiyo kuwasaidia wengine kufanikiwa pia. Tunaelewa ili ufanikiwe ulipita vikwazo vingi, ulishinda mengi; tumia muda huu kuwa mwalimu wetu. Maendeleo ni kama bahari na hakuna bahari yenye kisiwa kimoja na kisiwa hakizuii kingine...
  9. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maisha ni Safari ya Kujitafutia Mafanikio: Njia za Kujiimarisha na Kufanikiwa

    MAISHA NI SAFARI YA KUJITAFUTIA MAFANIKIO: NJIA ZA KUJIIMARISHA NA KUFANIKIWA Imeandikwa na: Mwl.RCT Utangulizi: Karibu katika Makala hii, ambayo itajadili kwa kina ujumbe wa "Maisha ni Safari ya Kujitafutia Mafanikio: Njia za Kujiimarisha na Kufanikiwa". Katika makala hii, tutajadili umuhimu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Gharama ya LATRA kupata kadi ya taksi za mtandaoni

    Habari wanazengo, Nilikuwa naomba msaada kuhusu kupata kadi ya Latra kwa ajili ya kufungua akaunt za Uber na bolt gharama yake ni sh ngapi kufanikiwa
  11. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Changamoto za Kufanikiwa katika Elimu na Maisha ya Kijamii nchini Tanzania: Ushauri na Hatua za Kukabiliana Nazo

    CHANGAMOTO ZA KUFANIKIWA KATIKA ELIMU NA MAISHA YA KIJAMII NCHINI TANZANIA: USHAURI NA HATUA ZA KUKABILIANA NAZO Imeandikwa na: Mwl.RCT Utangulizi: Mafanikio katika elimu na maisha ya kijamii ni ndoto ya kila mtu. Hata hivyo, kufikia ndoto hii sio rahisi kama inavyoonekana. Kuna changamoto...
  12. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana Lady Jaydee. Sema ni kwa vile nilichelewa kufanikiwa

    Nianze kwa kuelezea hisia zangu kwake. Nampenda sana huyu bidada. Kila ninapoisikia sauti yake ikichomoza kwa vyombo huwa najihisi faraja sana. Nasisimka akili mpaka moyo. Hajawahi kukosea kwa kweli Lady Jay Dee, kama ningekuwa na pesa kipindi kile ningekutafuta nikuoe kabisaaa, nikuweke ndani...
  13. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dar es Salaam ndio nguzo kuu kwenye kufanikiwa, vijana kimbilieni huko

    Hapa nazungumzia nyanja za mafanikio kwa sisi wasakatonge, nimezaliwa Moshi-kilimanjaro nimezunguka pande Nyingi za Tanzania Lakini dar-es salaam ndio Kila kitu kwa mtu ambae ana chachu ya mafanikio. MWANZA Ukienda Mwanza na hakika asilimia 100% utashindwa kujua uanzie wapi umalize wapi, labda...
  14. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Kufanikiwa ni nini?

    Habari wanajukwaa. Naomba tujadiliane dhana ya maendeleo Ni nini. Kwa Nini mwingine anafanikisha Jambo mwingine anafanikisha. Imani yako ama mtizamo wako ni nini kinachopelekea
  15. Inanambo

    JamiiForums Tanzania Miujiza ya uponyaji na kufanikiwa kiuchumi

    Yaani nashindwa kuelewa Watu wanaosema/wanaoshuhudia wamepona baada ya kutumia mafuta na maji ya upako. Wapo wanaosema wamekunya au kutapika au kujifungua; kobe, hirizi, panya, tandu, jongoo, nyoka, toothpick, nyuzinyuzi. Au wameua nyoka nje ya nyumba zao au paka. Nisaidieni hii ni miujiza...
  16. Sir kijangwa

    JamiiForums Tanzania Bila walimu hatuwezi kufanikiwa

    Competence based education, juhudi ziimeonekana katika kutekeleza sera hii kwa kwa vitendo kwa ujenzi mkubwa mpya wa madarasa kwa hakika Mimi pia ni shahidi mwaka wa fedha 2021/2022 madarasa mengi yamejengwa naamini uandikishaji utaongezeka kwa asilimia kubwa kwa darasa la kwanza na hata wale...
  17. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu alivyonishika mkono hadi kufanikiwa

    Wanajukwaaa wazima nyie? Kiasili mimi ni mzaliwa kutoka Nyanda za Juu Kusini ndani ya Mkoa flani hivi. Elimu yangu niliipata mkoa wa Kaskazini (Kilimanjaro) kuanzia kidato cha pili hadi Chuo nilisoma kule baada ya maza kupata kazi Kilimanjaro. Nilibahatika kupata Rafiki yangu ambaye amekuwa...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Wizara ya Afya imesema mgonjwa wa mwisho wa Ebola ameruhusiwa kutoka Hospitali

    Wizara ya Afya imetangaza taarifa hiyo na kueleza hali ya matumaini ya kufanikiwa kuudhibiti ugonjwa huo ulioathiri watu 142 na kuua wengine 56 imerejea nchini humo. Afisa Kutoka Wizara ya Afya, Diana Atwine ameandika pia kupitia Twitter "Ninafuraha kutangaza kwamba tumemruhusu mgonjwa wa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Historia ya maisha yangu, chamgamoto niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa

    Wakuu habarini. Mtanisamehe kdg kwa uwandishi wng Kama mada apo juu inavyosema nitasimulia niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa na mke wng. Mimi ni mtot wa 2 katika familia yetu tuliobahatika kuzaliwa 5 mimi nikiwa ndie mtoto pekee wa kiume kwa upande wetu sisi mzee alikua na wake 2 mke...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tuambie unahisi ni jambo gani limesaidia kufanikiwa kwenye kilimo

    kipi kilimo kinalipa, mtazamo na ukweli ninaojua ni kilimo cha mazao ya kudumu, kahawa, korosho, parachichi, ndizi nk ni mazao machache sana yasiyo ya kudumu yanayolipa mfano viazi mviringo, mpunga, tumbaku, mahindi(huku tunapiga pesa kutegemea msimu nimetaja mazao yanayolimwa nyanda za juu...
Back
Top Bottom