Nampenda sana Lady Jaydee. Sema ni kwa vile nilichelewa kufanikiwa

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Nianze kwa kuelezea hisia zangu kwake. Nampenda sana huyu bidada. Kila ninapoisikia sauti yake ikichomoza kwa vyombo huwa najihisi faraja sana. Nasisimka akili mpaka moyo. Hajawahi kukosea kwa kweli

Lady Jay Dee, kama ningekuwa na pesa kipindi kile ningekutafuta nikuoe kabisaaa, nikuweke ndani ili uwe unamwaga mashairi kwa kitanda, muda huo ninamwaga maua na wazungu wa kutosha. Sema tu ni kwa vile nimeanza kumiliki ma Range miaka ya 2020.

jide-faraja-audio-681x681.jpg

Nampenda sana Jide wakuu. Nifanyeje?

• Muziki wake unafaa kusikilizwa na jamii nzima hata mbele ya familia

• Akiamua kuimba muziki wa hisia, anaimba mapenzi. Sio kama wengine wanaoimba ngono

• Anajiheshimu na anavaa mavazi ya stala

• Ni mtunzi mzuri wa mashairi

Ntarudi baadae


MP3-DOWNLOAD-Lady-JayDee-Ft-Mr-Blue-Wangu.jpg
 
Gardner Habash alipomuoa alikuwa na kipato cha kawaida tuu, hivyo ungejaribu tuu.
 
Kama umemfia dada Jay Dee mbona yupo single tu sasa hivi. Inabidi upige mingle tu
 
Kama utaweza kuishi nanwale wanawake wajuaji wanaotaka haki sawa kwa kila kitu basi we mfuate DM yake
 
Back
Top Bottom