kufanikiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suzy Elias

    Serikali: Mafanikio makubwa ya Royal Tour ni kufanikiwa kumshawishi baba yake Rihanna kuja kuishi Tanzania

    Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuwashawishi wageni wengi kuifahamu Tanzania na kwalo HADI BABA YAKE RIHANNA AMEKUBALI KUJA KUISHI TANZANIA! Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa. Asante mama Samia kwa kufanikiwa kumshawishi BABA Rihanna kuja kuishi Tanzania.
  2. sky soldier

    Tuacha upotoshaji wa kudhani kuteseka sana mwishowe huwa ni kufanikiwa, watu wengi huteseka mpaka kifo bila kufanikiwa.

    Utaskia.. "Diamond aliteseka sana leo kafanikiwa" - hapa mtu anasahau kwamba kwenye muziki kuna ma elfu ya wasanii wameanza kuimba 2005 huko ila mpaka leo bado wanteseka. "Bakhresa alianzia chini kwa kujiajiri leo katoboa" - katika kundi hili kuna watu wengi sanaaa waliojiajiri kila siku...
  3. BigTall

    Vijana waaswa kuondokana na fikra mgando wakihitaji kufanikiwa kimaisha

    Imeelezwa kuwa tatizo la kubwa la baadhi ya vijana toka familia zenye mazingira magumu kutojikita kuanzisha miradi ya kiuchumi ni kutokana na kujinyanyapaa wenyewe na kuwa na fikra mgando za kukata taamaa kama hawawezi kufanikiwa kiuchumi hata kama wakiwezeshwa . Akizungumza katika Ukumbi wa...
  4. Fbn

    Ukitaka kufanikiwa kwenye biashara zako usipende kuonekana sana kwenye hizo biashara

    Hii ni siri nakupa kama unataka kufanikiwa Wafanyabiashara wengi tunapenda kuonekana kwenye biashara zetu bila sababu ndio upelekea kuishindwa au kuanguka. Wafanyabiashara wakubwa hawapendi kuonekana kwenye biashara zao kukwepa lawama au kuzoeleka na wafanyakazi na wateja. Kwa nini...
  5. Mr sule

    Degree ni Kigezo cha mtu kufanikiwa maisha?

    Kumepekuwepo na mijadali mingi sana kuhusu hili swala, hasa katika nchi zetu za africa mfano Tanzania. Tanzania mwanachuo anapomaliza chuo na kupata Degree yake basi huwa anahisi maisha ameyamaliza. huwezi kumwambia chochote utasikia mimi nina Degree yangu wewe wa darasa la saba utaniambia...
  6. M

    Kundi gani la Watu ambalo Msanii mchanga anatakiwa kujiepusha nao mara tu baada ya kufanikiwa?

    Hali gani? Kumekuwa na kasumba ya baadhi ya stars Bongo hasa wa muziki kufilisika mara baada tu ya ku hit kidogo, mpaka kupelekea watu wengi kudhani undergrounds wa Bongo wengi wana gundu. Sasa katika muktadha wa mahusiano, ni nini underground star wa Bongo mwenye hela zake baada tu ya ku hit...
  7. Yoda

    Uliwezaje kufanikiwa ikiwa umetokea kwenye familia masikini na duni au kuanza maisha 2-0?

    Bila shaka kufanikiwa kwa mtu katika maisha inategemea mambo mengi sana na jambo mojawapo muhimu ni aina ya familia anayotoka. Kwa watu wanaozaliwa katika familia tajiri "silver spoon" zenye kipato kizuri kutokufanikiwa ni wao waamue wenyewe kuharibu ila kwa wale wanaotoka katika familia...
  8. Heaven Seeker

    Ifahamu milango minne ya kuingia katika mahusiano na sababu za kuvunjika au kufanikiwa kwa mahusiano hayo!

    Amani kwenu Wakuu. Elimu ya mahusiano ni kubwa na watu wengi wamekuwa wakielezea mambo kadha wa kadha, kwa upande wangu naomba kujikita katika muktadha tofauti kidogo kwa namna yake japo kwa ujumla wake mambo yanaweza kuwa yaleyale kama ambavyo huelezwa na watu wengine. Bila shaka utakubaliana...
  9. Ben Zen Tarot

    Mambo muhimu ya kuzingatia unapohitaji kufanikiwa

    Wengi wetu mara nyingi huwa tunafikiri kukosa mafanikio ni matokeo ya kukosa bahati katika maisha. Fikra hizo mara nyingi, huwazuia wengi katika kufanikiwa na kujikuta wakiishia kuwa watu wa kulaumu na kushindwa kila siku. Kimsingi kitu kikubwa kinachochangia kuzuia mafanikio yetu ni baadhi ya...
  10. Frumence M Kyauke

    Mbinu kubwa ya Bank kupata faida kubwa kuliko mtu binafsi

    Wakati mwingine tumekuwa tukijiuliza kwanini bank inapata faida kubwa kuliko sisi? Je ni mbinu gani bank wanazotumia kupata faida kubwa? Uhalisia ni kwamba hakuna mbinu kubwa, mafanikio yao yanatokana na wao kuthamini shilingi pamoja na kuwa makini katika mahesabu. Tizama tofauti ya mahesabu...
  11. sky soldier

    Kwanini wanawake wa kiarabu (machotara) wa Tabora, Shinyanga hawachangamani na jamii?

    Kuna muda huwa nashindwa hata kuelewa kama hawa ni wenzetu. Sizungumzii waarabu original wale wa Oman, Dubai, n.k ni hawa waarabu wa hapa hapa bongo wengi wakiwa machotara waliochanganyikana kabisa na wabantu, wengi wapo Sikonge, Igunga, Ngega, Tinde, Itobo, n.k Yani wao ni ndani tu mda wote...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    Amini una akili yenye uwezo mkubwa wa kubuni wazo la kuweza kukusaidia kufanikiwa kimaisha

    Huwa nikikaa na kufikiri ni namna gani binadamu aliweza kubuni ndege, meli kubwa hasa za mizigo, gari na vitu vinginevyo na badae kuja kuwa msaada mkubwa katika dunia yetu ya siku leo hata kurahisisha maisha katika eneo fulani lililokuwa na ugumu kwetu, basi nauona uwezo wa Mungu aliouweka ndani...
  13. Chance ndoto

    Mawazo katika kufanikiwa kwenye biashara ya Tofali haswa kwenye Miji inayokuwa

    Habari wana Jamvi. Leo nimejifikiria kuhusu Biashara ya tofali naamini kila mtu kwa nafasi yake ameshiriki katika biashara hii. Leo ningependa tuelezane mambo kadha wa kadha kuhusu biashara hii, jinsi yakufanikiwa zaidi na zaidi, uendeshaji na maono yako kwa mfanyabiashara baada ya miaka...
  14. F

    SoC01 Kinachokwamisha Vijana Kufanikiwa

    Taswira kwa hisani ya Google Utangulizi. Vijana wengi (siyo wote) sehemu nyingi za dunia wako kwy mkwamo wa maisha pasina kujali wamesoma au la madhali wote wako kwy kundi la ujana. Vikwazo vinavyowakabili vijana wasipate maisha bora viko katika sura mbili, moja vikwazo vya kimfumo na pili ni...
  15. Gabb_y

    KANUNI 7 ZA KUFANIKIWA KIFEDHA

    *****†********
  16. Allen loy

    SoC01 Siku zote hakuna njia za panya kwenye mafanikio: Kwa wote walio kata tamaa ya kufanikiwa soma hapa

    Hakuna njia panya ya kwenda mahali pa thamani. Ndugu zangu sikuzote mafanikio yanakuja kwa kujituma kwa bidii sana unatakiwa ujitoe ili ufanikiwe Mafanikio ni kutembeakutoka kutofaulu hadi kutofaulu bilakupoteza shauku. Ndoto zetu zote zinawezakutimia ikiwa tuna ujasiriwa kuzifuata,na siku...
  17. Post M-alone

    Forex haiwezi kukutoa kimaisha, ni bora ubeti au ukalime

    Wakuu habari zenu, Baada ya kupigwa pesa zangu kwenye forex nimeamua na mimi nije kushare jinsi forex ilivyopelekea mpaka nime break up na gf wangu, lakini yote maisha nimejua wanawake almost wote ni lowkey gold diggers, kwa nini nasema hivyo nimepigwa $3200, $1000 zilikuwa ni za kwangu...
  18. mama D

    Mnaojiita Vyama Pinzani Tanzania msipokubali kuacha ubinafsi na kuwatumikia Wananchi kwa Elimu ya Siasa Ikulu mtapasikiga tuu

    CHADEMA na Vyama vingine vya upinzani wakati umefika sasa mkae chini na kujitafakari! Tena mjitafakari na kuwa wakweli nafsini mwenu kwamba siasa mnazofanya ni kwa maslahi ya familia zenu huku vyama vyenu vikiwa havina hata misingi imara kwa jamii Hakuna mtanzania anayekataa au asiyejua...
  19. Ibun Mallik

    Ili uweze kufanikiwa unahitaji

    Mafanikio ni maendeleo ya kutoka hatua Moja ya maisha kwenda hatua nyingine, mafanikio hayo yanaweza kuwa katika nyanja mbalimbili ikiweno kiuchumi, kijamii na kisiasa. Watu wengi sana Tanzania na Duniani kwa ujumla wamekuwa wakiwaza na kutafakari kwa namba gani unaweza kufanikiwa kiuchumi...
  20. P

    SoC01 The Suicide Note that no-one read

    THE SUICIDE NOTE THAT NO ONE READ “I am trying to be strong and fight these demons but no matter how hard I try, their voices are stronger and my pace is nothing compared to theirs. Why do I feel so empty so lost, I am tired of holding onto broken pieces of a mirror that used to mirage my life...
Back
Top Bottom