Nitaoa ili nizidi kufanikiwa

kilamba lamba

JF-Expert Member
May 27, 2020
367
679
Habarini wana jamvi...

Natumai mu wazima wa afya kabisa na Mungu anasaidia katika mihangaiko yetu.

Aaiiiseee nimekaa nimefikiria kiundani zaidi. Nimeona mimi kama kijana wa kiume kuna umuhimu wa kuowa.

Kwa upande nimeamua kwamba nitaowa kwa ajili ya mambo mawili:
1. Kuwa na Familia bora yenye miongozo yote bora kwangu kama baba wa familia.
2. Kuzidi kufanikiwa kwenye maisha yangu..

Nimeamua bila kushurutishwa na mtu. Kuwa Endapo mwanamke ntakuwa nimezaa nae watoto kuanzia wawili nitakuwa radhi kumuachia Au kugawana kama atataka pale tutakapoamua kutengana .

NB: Mniombee kwa sababu ndo kwanza dawa inaingia.
 
sawa, wenzako tupo huku👇🏾 tunaogopa majukumu
imageedit_2_9126229852.jpg
 
Kila Lakheri,

Ushauri wangu hakikisha wakati unamuoa huyo Mwanamke ajue Do and Don't za kwako.Kisha akikubali muandikiane.

Usisukumwe kuingia kwenye ndoa kwa hisia za mapenzi rangi nzuri ama sauti nzuri.

Ndoa ni maisha yenye safari ngumu na ndefu hakikisha umejiwekea utaratibu mzuri wa kwako unao faa kabla hamjazama ndoani.

Wengine tulisha kosea tangu mwanzo sasa tuna vuna tulicho panda tumebakia kufarijiwa ja JF tuu pekee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom