Aliposikia hilo kwenye runinga, aliamua kujaribisha kuona kitakachotokea.
Mada iliyokuwa ikiendelea kwenye TV ilihusiana na Elimu nafsi, kwa jina jingine, Saikolojia.
Mtoa mada alitahadharisha kuwa ni hatari kuwaambia watoto wasifanye kitu fulani, kwani inakuwa kama wamechochewa kufanya...