Jana kulikuwa na malumbano ya hoja juu ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Washiriki wengi walitoa hoja za maana sana kwa mfano
(1) Wananchi wengi hawana uelewa na uchaguzi huu hivyo kuwe na eliimu ya kutosha.
(2) Mpaka sasa Wizara husika haijatunga kanuni za kuendesha uchaguzi huu na bado...
Kama wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba kuelekea msimu mpya wa mashindano mbalimbali kama Ligi kuu ya NBCPL na Klabu Bingwa Afrika, tuambie mambo 3 ungeyafanya ili Simba wafike malengo yao katika msimu husika
Jiji la Mbeya, kama miji mingi inayoendelea nchini Tanzania, linakabiliwa na changamoto kubwa za usafiri. Bajaji, ambazo ni maarufu kwa kuwa nafuu na rahisi kupenya katika mitaa midogo, zimekuwa sehemu muhimu ya mfumo wa usafiri wa jiji hili. Hata hivyo, kuongezeka kwa idadi ya bajaji...
Katika pembe ya kusini mwa Tanzania, katika kijiji kidogo kilichofichwa na milima na misitu, kulikuwa na kijana mmoja aitwaye Prince. Prince alikuwa na ndoto kubwa ya kuleta mageuzi katika tasnia ya habari na mawasiliano nchini Tanzania. Aliamini kuwa kupitia nguvu ya habari na mawasiliano...
Ungekuwa kwenye situation ya wabunge 19 waliofukuzwa CDM lakini bado wapo bungeni kwa hisani ya "mahakama." Ungefanyaje kuelekea uchaguzi wa 2025? Ungerudi CDM, ungeenda CCM au chama kingine? Kila mtu angekufa kivyake au mnafanya kama kundi? Ipi ni best option kwa "Covid-19's"
1. Yamekuwapo mazungumzo kwa azimio thabiti la makubaliano ya kusimamisha vita linaloendelea kujadiliwa kwa takribani miezi 2 sasa. Pendekezo hili likiwekwa mezani na Marekani, Qatar na Egypt kwa pamoja mbele ya HAMAS na Israel, mahasimu; wafikie makubaliano sasa.
HAMAS wayakataa mapumziko...
1. Haipo shaka vita au mazungumzo ya maridhiano kama ilivyo siasa, nayo ni sayansi.
2. Izingatiwe sayansi siyo ya kila mtu, labda arts huko. Sayansi ya maridhiano, vita au siasa; huingii kichwa kichwa.
3. Tambo mbali mbali kwenye sayansi hii ndiyo kwao. Kisemwacho hadharani si lazima kuwa kile...
Kwa kuwa maendeleo ni mchakato wa pamoja kati ya serikali na wananchi, hapa kuna hoja kadhaa ambazo zinaweza kuchangia maendeleo makubwa Tanzania ndani ya miaka 5 hadi 25
Ila katika kila point ntakayotoa ELIMU ni kipaumbele changu
1. Elimu Bora na Endelevu: Kuwekeza katika elimu ya msingi...
kama nchi nyingine nyingi, Tanzania inakabiliwa na changamoto za kimfumo katika mfumo wake wa elimu. Kuzingatia mabadiliko ya kiuchumi na teknolojia, kuna haja ya kuboresha mfumo wa elimu ili kukidhi mahitaji ya sasa na ya baadaye ya taifa hili. Moja ya njia ambazo Tanzania inaweza kutumia ni...
Wakati serikali ikiendelea na ujenzi wa uwanja wa mpira jijini Arusha kwa ajili ya Afcon 2027,
Sio vibaya Arusha iwe na timu ligi kuu kwa lengo la kuufanya mji uwe busy na pilika za kimichezo.
Hata kama mpaka kufikia muda huo hili litashindikana basi TFF waangalie namna ya kupanga mechi...
Watanzania wenzangu ni matumani yangu mu buheri wa afya, mliopo na Matatizo mbali mbali muwe na subira na kutokata tamaa hata mnapohisi kushindwa.
Leo katika pita pita zangu nikakutana na uzi wa dada Janeth Thomson Mwambije akiwa amekutana na mkuu wa wilaya ya ILALA mheshimiwa Edward Jonas...
Mobhare Matinyi nipo hapa kukumbusha majukumu yako ila siyo kushurutisha ukafanye kwa mbinu gani. Napenda kukumbusha kwamba wananchi wanasema ofisi yako haina mchakamchaka wa ubunifu kuelekea uchaguzi. Ofisi imekaa kimya kama wizara ya mambo ya Nje. Hapana changamsha nchi kwa makala na habari...
Jana ACT Wazalendo imezindua nembo Mpya ya Chama katika kusherekea miaka 10. Lakini Mwenyekiti wake Othman Masoud Othman alimaarudu OMO hakuwepo ukumbini, Jussa ambae ni Makamu Mwenyekiti upande za Zanzibar (mhafidhina) hakuwepo ukumbini.
Je, ACT Wazalendo Bara na Visiwani Kila mtu kaamua...
1. Hawa ndiyo wale vigogo wachache wa aina ya South Africa huko:
2. Kwamba Natenyahu ni kama yale mapanya road yale ya pande za kwetu tu?
3. Ana sifa gani, wapi, kiumbe huyu kwenye ulimwengu iliyostaarabika?
4. Kuwa tunatembea?
5. Tujikumbushe kinachotakiwa:
6. Viva resistance...
Katiba ya Chama iko wazi. Inapofika wakati wa uchaguzi mkuu wa Urais Madiwani na Wabunge basi ndani ya chama kila mwenye sifa anaruhusiwa kuchukua form na kugombea.
Endapo kama ana viwango na sifa takiwa basi Kamati Kuu ya CCM inaweza kumpitisha kama Mgombea wao. Achana na zile stori za...
Sera na mipango ya rais Mwinyi inavyoimaliza ACT- Wazalendo kuelekea 2025
Deogratias Mutungi
Utawala bora, Uchumi imara, Demokrasia safi, nidhamu na maadili ya viongozi, Ufanisi na mweleko wa mafanikio ya serikali yoyote ile ulimwenguni upimwa kwa sera na mipango yake kimamlaka na ndani ya...
"Tunaanza mkutano na wadau kuwaelimisha watu wa bodaboda na bajaji na kupanga vituo,lakini pia wenzetu wa daladala ndogo (Hiace) muda wao kati kati ya Jiji umeisha”
“Tunahitaji wawekezaji wa mabasi makubwa ,mabasi ambayo yanatakiwa yawe zero kilomita lakini pia yawe branded ili yawe na sifa ya...
Kablu ya Singida Fountain Gate imesikitishwa na kitendo cha gilikipa wao Beno Kakolanya cha kutoroka kambini muda mchache kuelekea game yao dhidi ya Yanga.
Singida wanakichukulia kitendo hicho kama ni hujma na wanafatilia kwa undani pamoja na wachezaji wengine wote wenye viashiria vya kuihujuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.