kuelekea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    (Picha) Kuelekea maziko ya Maunda Zorro, matukio ya msibani Kigamboni

    Picha mbalimbali kuhusu msiba wa Maunda Zorro ambapo watu mbalimbali wamejitokeza kwa ajili ya kumsindikiza Mwimbaji huyu kwenye siku yake hii ya kuzikwa Aprili 16, 2022. Baba Mzazi wa Mwimbaji Maunda Zorro ameomba kumwimbia mwanae Maunda msibani kama ishara ya kumuaga, Maunda amefariki akiwa...
  2. Mwande na Mndewa

    Maoni kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    MAONI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025 Watu wajiepushe na kumponda Magufuli maana aliyoyafanya hayahitaji Maelezo mengi bali yalionekana Physically sasa Hawa watu huenda wakajikuta kwenye wakati Mgumu sana 2025, Nguvu ya umma sio ya kubeza hata kidogo,Mwaka 2015 ilikuwa CCM vs UKAWA usijeshangaa...
  3. JanguKamaJangu

    Polisi watoa tamko kuelekea mechi ya Simba Vs USGN

    Kuelekea mchezo wa Simba dhidi ya USGN ya Niger, Jumapili Aprili 3 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, Jeshi la Polisi limesema liko tayari na limejipanga kwa ajili ya kulinda usalama siku hiyo ya mchezo huo ambao utaanza saa 4:00 Usiku. Mchezo huo wa Kundi D katika Kombe la...
  4. B

    Kuelekea mkutano mkuu wa CCM; Je, wajumbe wa Mkutano huo ni akina nani? Tuwajue hapa...

    Na Bwanku M Bwanku. Kama tunavyofahamu, Ijumaa hii Aprili Mosi 2022, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitafanya Mkutano Mkuu wake Maalum pale Jijini Dodoma kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre ambao pamoja na mambo mengine utafanya marekebisho ya Katiba ya CCM ya Mwaka 1977, Toleo la...
  5. T

    Kuelekea mkutano mkuu wa CCM Aprili 01, nini maana ya mkutano mkuu wa CCM na nguvu yake?

    Na Bwanku M Bwanku. Jumamosi Machi 12, 2022 Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka alitangaza Uamuzi wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kujadili pendekezo la kuitishwa kwa Mkutano Mkuu wa CCM lililotolewa kwenye Kikao chake cha Desemba 18, 2021 na...
  6. B

    Kuelekea Katiba Mpya, ukweli anaougopa CCM kuliko ukoma

    Inafahamika kuwa katiba mpya ndiyo ulio mwisho wa CCM kuwa madarakani. Kwenye katiba mpya CCM ni wepesi kama KANU Kenya au UNIP Zambia. Hawatakaa waikubali hali hiyo. Ni hivyo hivyo kwa ZANU PF Zimbabwe, RPF Rwanda au NRM Uganda. Bila usawa na haki hawana madaraka. Kwa sababu hiyo safari ya...
  7. A

    MUZIKI: SILAHA KUNTU KUELEKEA MEI MOSI HII

    Wanabodi Habari zenu. Kuna watu wengi wanao uwezo wa kutunga nyimbo. Nawaalika watu wote wenye uwezo huo katika uzi huu. Tungeni mashairi yenye heshima na staha kuelekea mei mosi hii(2022). Zimebaki siku chache sana kufahamu mbichi na mbivu juu ya stahiki za wafanyakazi wote hapa Tanzania...
  8. A

    "Kasalari"- Nguvu ya muziki kuelekea Maadhimisho ya Mei Mosi 2022

    Wanajamvi Habari za mihangaiko na poleni. Moja kwa moja kwenye mada. Sanaa ya muziki ina nguvu kubwa sana, inapenya mioyoni na inaathiri hisia moja kwa moja. Kwa kulitambua hili, nawaalika wenye uwezo wa kutunga mashairi yenye maudhui ya kuboresha stahiki za wafanyakazi kuelekea mei mosi hii...
  9. BigTall

    CCM kuitisha mkutano Mkuu maalum wa kufanya mabadiliko ya katiba yao

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kuitisha mkutano Mkuu maalum wenye lengo la kufanya mabadiliko ya katiba yake ili kuongeza kasi ya ufanisi wa kazi na utekelezaji wa uamuzi ya vikao vya chama hicho. Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Machi 12, 2022 na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu...
  10. JanguKamaJangu

    Tamko la wafanyakazi wagusia mishahara, maslahi bora kuelekea Mei Mosi 2022

    Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limekuja na kauli mbiu kuelekea Mei Mosi 2022 ambapo humo nani wamegusia kuhusu mishahara na maslahi bora ya wafanyakazi. Tamko hilo limetolewa na Katibu Mkuu wa TUCTA ambaye pia ni Katibu Mkuu wa TUGHE Taifa, Cde.Hery H.Mkunda. Kauli mbiu...
  11. A

    Mwanza: Harufu ya rushwa kuelekea ugawaji wa fremu stendi mpya ya mabasi Nyamhongolo (mkoani Mwanza)

    Wanajamvi, Habari zenu. Moja kwa moja kwenye mada. Ni kama wiki imepita tangu mkuu wa mkoa( mhandisi Gabriel) alipo fika stendi mpya ya mabasi iliyoko nyamhongolo kwa ajili ya makabidhiano kati ya mkoa na mkandarasi. Wakati wa makabidhiano mkuu wa mkoa aligusia mchakato wa wilaya husika ya...
  12. Elius W Ndabila

    Kuelekea siku 365 za Rais Samia, tutazame Tanzania katika Uhusiano wa Kimataifa

    KUELEKEA SIKU 365 ZA MHE SAMIA, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Na Elius Ndabila 0768239284 2: UHUSIANO WA KIMATAIFA. Baada ya kuangazia utulivu wa kisiasa kuelekea siku 365 za Mhe Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo tutaitazama Tanzania katika uhusiano wa kinataifa...
  13. Elius W Ndabila

    Utulivu wa Kisiasa: Mafanikio kuelekea siku 365 za Rais Samia Suluhu Hassan

    KUELEKEA SIKU 365 ZA MHE SAMIA, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Na Elius Ndabila 0768238284 1: UTULIVU WA KISIASA Itakumbukwa kuwa bado siku chache kwa Mhe Samia, Rais wa awamu ya sita kumaliza mwaka mmoja tangu alipoapishwa kuwa Rais. Kuelekea siku 365 nitakuletea mfululizo wa makala...
  14. J

    Rais Samia kuondoka Februari 24, 2022 kuelekea Dubai kushiriki maonyesho ya Expo 2020

    Katibu mkuu wa Wizara ya Uwekezaji aliyeko Dubai amesema Rais Samia ataondoka Tanzania kuelekea Dubai kushiriki maonesho ya Expo 2020 Wawekezaji wengi sana wameonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania, amesema Katibu mkuu. Chanzo: TBC
Back
Top Bottom