kuchelewa

  1. Superjet ndenji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilioa nikiwa na miaka 17 hadi leo ndoa yetu ina miaka 5

    Ndio hivyo usimuache mke wa ujanani kwako. Karibu kama una swali nitakujibu
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Mlio Madarakani Mjifunze Kuchelea

    Jenerali Ulimwengu aandika shairi kuwaasa walioko madarakani MLIO MADARAKANI, JIFUNZENI KUCHELEA Nakuletea shairi, lino latoka moyoni Nakuomba likariri, ulitie maanani, Usije kulighairi, kuniona majinuni, Mlio madarakani, jifunzeni kuchelea Uliye nazo akili, huna budi utambue, Mwenza wako...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuhusiana na Corona bora ukachukua hatua bila kuchelewa zaidi unauweka uongozi wako njia panda

    MODs natumaini mtaunusuru uzi huu kumwangazia mheshimiwa rais hali ilivyo, ili naye, aweze: 1. Kujinusuru mwenyewe kuweza kuendelea kuongoza kama kazi hiyo anaipenda. 2. Kuyanusuru maisha ya watu wake wasio na hatia kwa maana ndiyo kazi kuu tuliyompa kama rais wetu. 3. Kulinusuru taifa ili...
  4. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kinachosababisha jua kuonekana kuwahi kuchomoza au kuchelewa kuzama

    Jana tarehe 16/4/2020 Mkoa wa Dar es Salaam ulishuhudia jua kuchelewa kuzama jambo ambalo liliwashangaza wengi na hivyo niliamua kufukua maarifa ya fizikia na Jiografia juu ya hali hiyo. Kuna masuala mengi ya kifizikia na kijiografia yanayotokea Duniani ila kutokana na shughuli zetu za kila...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Bila kuchelewa, Serikali ya Tanzania ijipambanue kupata uchaguzi huru na haki ili kuondoa upotoshaji

    Kwanza naomba Mods, uzi huu usiunganishwe na nyengine. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na kauli mbali mbali kuhusu Madai ya tume huru ya uchaguzi Tanzania. Si vyama vya upinzani tu lakini hata wadau wa maendeleo na demokrasia wamesikika wakihimiza kwa serikali kuleta tume huru ya uchaguzi...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Dk. Zainab sasa awa kisingizio, wanaume wengi wadai walizimia kwa huduma zake, ndio sababu ya wao kuchelewa nyumbani

    Sasa hii imeonekana ndio sababu ya wanaume kuchelewa nyumbani Kila Nyumba anatajwa DK zainab kwamba ndio chanzo na kwamba walizimia usiku kucha. Jamani
  7. ymollel

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mzigo kuchelewa baada ya kuagiza tangu Desemba 2019

    Huu mzigo niliagiza mnamo tarehe 15 December 2019, na movement zote zilienda vizuri isipokuwa hapo ilipoishia "-Despatched to OverSeas Postal Admin (From SG/SIN to TZ/DAR) 2019-12-27 13:14:02 [GMT+8]" Hapo imekaa tangu tarehe 27-Dec-2019. Nimejaribu kwenda post na kuwapa tracking number, yule...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raia wa China wakamatwa kwa kumcharaza viboko mfanyakazi aliyefika ofisini kwa kuchelewa

    Raia wanne wa Uchina wamekamatwa na polisi baada ya video kusambaa katika mitandao ya kijamii ikiwaonesha wakimchapa viboko Mkenya. Inasemekana kwamba Wchina hao wafanyakazi wa mgahawa mmoja uliopo jijini Nairobi, alinaswa akimchapa mfanyakazi Raia wa Kenya kupitia kamera kwa madai ya kufika...
  9. Influenza

    JamiiForums Tanzania Njombe: Binti afariki baada ya kupigwa na Shangazi yake kwa kuchelewa kurudi nyumbani

    Jeshi la polisi mkoani Njombe linamshikilia mwanamke aliyefahamika kwa jina la Apronia Mwinuka(35) mkazi wa mtaa wa Kikula kata ya Makambako mkoani Njombe kwa tuhuma za kumpiga na kumsababishia kifo shangazi yake Elina Mwinuka (18) kwa kosa la kuchelewa kurudi nyumbani. Kamanda wa polisi mkoa...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania ATCL ni Shirika letu, ndege zake ni ndege zetu, tuipende, tuikubali na kukitokea dharura ya kuchelewa, tusilalamike, tuivumilie tuu

    Wanabodi, saa hizi inakwenda saa 7 usiku, tuko uwanja wa ndege wa Mwanza, tukisubiria ku board ndege yetu ya ATCL from Mwanza - Dar. Ilikuwa turuke saa 3:00 tufike saa 4:15, lakini kukatokea dharura, tukaarifiwa mapema kuwa ndege itachelewa hadi saa 6:30 sasa tumeboard tunaruka saa 7:30 na...
  11. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya, yaanza kushindwa kusimamia Hospitali za Mikoa

    Kuna taarifa kwamba Wizara ya Afya imeanza kushindwa kusimamia rasilimali watu zilizopo hospitali za mikoa. Shida kubwa inatokana na mfumo wa Maafisa Utumishi wa Wizara kurundikana makao makuu ya Wizara. Hivi karibuni, watumishi kadhaa wakihusisha madaktari waliajiriwa katika hospitali za...
Back
Top Bottom