kuchelewa

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Malawi yatangaza kuchelewa kufungua Shule kutokana na Kipindupindu

    Wizara ya Elimu imetangaza kusogeza mbele kwa Wiki Mbili muda wa kufungua Shule za Msingi na Sekondari kutokana na ongezeko la mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu. Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali, Shule zilipaswa kufunguliwa kuanzia Januari 3, 2023, na hivyo muda ulioongezwa utatumika kutoa...
  2. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Katiba inaweza kuchelewa kidogo

    Kama vijana wako bize wanalike Picha za mazigo mitandaoni. Vijana wa ovyo kabisa.
  3. Smart Contract

    JamiiForums Tanzania Forex sio utapeli na ninajuta kuchelewa kuiamini

    Kama mada inavyojieleza, katika harakati zangu za kutafuta side hustle nlikutana na hiyo idea ya forex. Ila baada ya kufanya research matokeo yalikuwa negative especially kwa hapa JF. Inavyoonekana kuna watu washalizwa kupitia forex na wanaishi na hiyo trauma. Maada yoyote inayozungumzia hiyo...
  4. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tatizo la wanaume kunyimwa unyumba na wenza wao kwa sababu za kuchelewa au kushindwa kutimiza ahadi zao

    Wakuu naomba tupeane mawazo kuhusiana na swala hili linalosumbua sana katika mahusiano. Kumekuwa na tabia ya wanawake kuwanyima wenza wao unyumba kwa sababu tofauti, lakini kubwa zaidi tutazame sababu hii inayotokana na mwanaume kushindwa kutizimiza ahadi alizompa mwenziwe mfano; kumnunulia...
  5. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Rais Ruto akosolewa kwa kuchelewa kutaja Baraza la Mawaziri

    Ukosoaji huyo umeanza kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo Twitter, huku Mbunge wa Kathiani, Robert Mbui akidai Rais anajivuta sana kutangaza Serikali yake wakati kuna mambo ya dharula yanaikumbuka nchi hiyo Mbunge huyo amesema “Rais anatakiwa kuchagua Baraza la Mawaziri ili tuanze kushughulikia...
  6. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Sababu za bei elekezi ya mafuta kwa mwezi Septemba kuchelewa

    Mpaka leo bei elekezi ya mafuta mwezi Septemba haijatoka hizo zinaweza zikawa sababu Zoezi la kuongeza sifuri limekua gumu kwa sababu bei ya mafuta Duniani imeshuka sasa utaongezaje mafuta hapa kunawaweka Serikali katika wakati mgumu kwa sababu kupandisha bei ni kuwadanganya Watanzania...
  7. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Hizi hapa sababu za kuchelewa matokeo ya Urais Kenya

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC imetoa ufafanuzi kuhusu sababu za kuchelewa kutoa Matokeo pamoja masuala mengine yanayolalamikiwa na hatua inazochukua Tume imesema kwasasa inafanyia kazi masuala yafuatayo:- 1. Uthibitishaji wa picha ya Matokeo ya Fomu 34A dhidi ya Fomu 34B 2...
  8. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Januari aitupia zigo Menejimenti ya zamani ya TANESCO kuchelewa mradi wa JNHPP

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba amenukuliwa akiitupia lawama bodi ya wakurugenzi na menejimenti ya TANESCO iliyopita kwamba ndio imehusika kuhujumu mradi wa Bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere na kushindwa kukamilika kwa wakati kwa mujibu wa mkataba. Kama itawapendeza wajumbe naomba...
  9. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba: Wanaohoji kuchelewa Mradi wa JNHPP ni upuuzi tu

    Leo Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu wanaohoji kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere JNHPP ni upuuzi tu na kama hawaamini majibu yake basi wamuue. "Ukisema Bwawa litachelewa kwa sababu hii na hii wanasema muongo huyo, mshenzi huyo basi njooni mniue basi kama hamuamini, wote...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatari za kuchelewa kuoa

    HATARI ZA KUCHELEWA KUOA! Anaandika, Robert Heriel Hakuna umri specific wa mwanaume kuoa lakini inashauri angalau umri kuanzia miaka 25-35 ni umri sahihi Kwa kijana kupata jiko. Lakini inapendekezwa zaidi umri mzuri zaidi ni 28-31. Ndoa itaanza kukosa umuhimu ikiwa mtu atachelewa au kuwahi...
  11. GoodHB

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi aje kuwa mke

    Hello babe, nimekusubiria kwa muda mrefu sana, sasa nimejitokeza hadharani kukukabirisha katika maisha yangu. Please dada/mwanamke anayejielewa aje inbox chap tukamilishe agano muhimu duniani. Njoo tusaidiane kutimiza ndoto zetu na kuenjoy maisha yetu hapa duniani. SIFA ZAKE Awe smart kichwani...
  12. Cash Generating Unit

    JamiiForums Tanzania TARURA nini kinaendelea mpaka deni la maegesho ya gari linaongezeka? Mamlaka itolee ufafanuzi

    TARURA tunaomba mtolee ufafanuzi kinachoendelea kwenye system zenu nilifikiri ni kwangu tu kumbe ni kilio cha kila mtu. Nilikuwa na deni la 13,000 nikasema ngoja leo niingie nilipe deni lao kufungua app nakuta 83,000 nikashtuka au ni penalty? Kucheki last payment nimefanya 15/03 sasa hiyo...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchelewa Kuoa hakukufanyi ufanikiwe au uwe na unafuu wa Maisha

    KUCHELEWA KUOA HAKUKUFANYI UFANIKIWE AU UWE NA UNAFUU WA MAISHA! Anaandika Robert Heriel. Kwa kijana isipungue miaka 25 wala isizidi 33. OA mapema. Usikawie. Hakuna kitu kizuri kwenye maisha Kama Familia yako. Wewe, Mkeo na watoto. Chelewa kupata yote usichelewe kuoa au kuolewa. Lazima...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni imani potofu: Mwanamume kufika haraka ni wingi wa nguvu za kiume na si upungufu. Pia mwanamke kuchelewa kufika ndio upunguvu za nguvu za kike!!

    ANGALIZO: KAMA HAUJAOA AU KUOLEWA PITA KIMYA KIMYA TU, HAIKUHUSU!! Upotofu huu umechagizwa na watu kutaka kupiga pesa!! Wanaume wanaaminishwa kuwa hawana nguvu za kiume kwa kuwa wanafika kileleni haraka (ndani ya dakika 5 goli tayari). Kwa hiyo wanahitaji dawa au virutubisho!! Hii ni biashara...
  15. Sijali

    JamiiForums Tanzania SABABU HASA YA SISI KUENDELEA KUCHELEWA

    Si kwa sababu ya kutokuwa na fedha, kama wengi wanavyofikiria, wala ufisadi (ingawaje unachangia), wala si ukoloni! Sababu kubwa ni viongozi wasio na maono wasiojua priorities, na wasiojua dunia inaelekea wapi. Hilo, ongeza juu yake 'ubinafsi na ukosefu wa uzalendo'. Kwa nini twahitajia viongozi...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anaeona kuchelewa kwa mradi ni kawaida tena anaongea kwa kutetea hilo

    Kutokana na kuibuka kwa hoja kwanini mradi wa Bwawa la Mwl. Nyerere umechelewa na huko asilimia karibu 45 hadi sasa, na kimkataba ilitakiwa asilimia karibu 90. Mhe. sana Waziri wa nishati, Makamba akasimama kutoa maelezo. Katika maelezo yake, ambayo yalijaa maneno matupu, na si kueleza...
  17. Nevilly

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa kwangu kunanitisha sana

    Habari zenu binadam wenzangu, wanajamii wenzangu, natumai ni wazima wote. Swali linalo nisumbua na kunitesa hadi sasa ni kwanini nipo kwenye mfumo wa kuchelewa chelewa sipati jbu. Umri wa mwanadamu wa kuishi ni miaka 60 tu, na mimi miaka 30 sasa ni Nusu ya umri wa binadam kuishi duniani ila...
  18. swalehe de wise

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kuchelewa kwa kesi na mabadiliko muhimu

    KUCHELEWA KWA MAAMUZI YA KESI. Kuchelewa kwa kesi ni hali ambayo kesi inachukua muda mrefu Zaidi kuliko ule muda uliowekwa kisheria. Kwa Tanzania tatizo hili bado lipo kwa kesi za madai na jinai na kuna sababu nyingi zinachangia kuwepo na tatizo hili, zikiwepo, uchunguzi wa ushaidi kuchukua...
  19. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tusiwasimange wanawake kwa kuchelewa kuolewa

    Habari za mchana huu. Naomba nizungumzie jambo moja lisilo zuri leo. Kumekuwa na tabia ya kusimanga wanawake ambao hawajaolewa na kuwafanya wajione hawafai. Watanzania wenzangu hii tabia sio nzuri. Naomba tusiwasimange wanawake ambao hawajaolewa kwa maneno ya kejeli au dharau. Kufanya hivyo...
  20. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania iweje ndege ya Uganda ichelewe masaa mengi kisa mafuta kwenye uwanja wenu wa kimataifa? Mjitafakari kwa kweli

    Taarifa kama hizi ni za aibu kwa uwanja wa kimataifa unaopigiwo chapuo humu kila siku. Lindege lote hili na abiria wake wameganda masaa kisa mafuta.... Afrika bana The airlines said the delay was affected by a mix up in delayed fuel delivery to the Aircraft at the airport. PHOTO/ FILE...
Back
Top Bottom