Kuchelewa kurudi kwa Tundu Lisu kunaweza kumponza, wenye Tamaa za fedha washaanza vikao vya Siri kumweka Membe

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana Jf,

Kwa uhalisia wa sasa upepo unapoelekea mtia nia ya urais Membe ashaanza vikao vya siri tangu Jana alipoamua kujivua uanachama. Kuna fununu kuwa anakutana na viongozi wakuu kukubaliana nini kifanyike ili aweze kujiunga na chama ili atimize dhamila yake. Kiukweli membe ni mkamilifu lakini tundu Lisu ni mzuri zaidi ila ataponzwa na kutokuwepo kwake kwani waamuzi hawatamwonea aibu kama ambavyo angelikuwepo.

Kiongozi mkuu anaweza kumwingiza ili aongeze majimbo kwani ingizo jipya huwa halina hasara. Membe ana pesa kutoka sehemu nyingine kuliko Lisu, campaign nifedha, kuzunguka Tanzania mzima sio mchezo.

Membe yuko nyuma ya matajiri walioumizwa na utawala huu, pia anaweza kupata kula za Ccm chotara na ccm maslahi.
 
Wewe unavyo hisi unazani TL hahusiki katika hili? Kwa taarifa yako lissu anajua na yeye pia anatoa maoni yake kwani anajua kabisa akija huku IGP ataruka nae kama alivyo ahidi hivyo hii ni plan b ya chadema
 
Chadema kimeshakomaa kama chama kikuu cha upinzani, ndio maana hao wanaotoka huko CCM wote hukimbilia kutaka kujiunga Chadema kwasababu wanaijua nguvu ya Chadema. Sasa hiyo habari yako ya pesa mwambie Membe apeleke hizo pesa zake Chaumma au UDP.
 
Ubunge ulimshinda????? Kwanza una elimu gani kabla ya yote?? Maana nisije nikawa najibizana na kijana wa form four au wa shule za CCM walizozinyima walimu thabiti?
Kweli wewe kilaza elimu yangu inakuhusu Nini, halafu unasema"eti nisije kujibazana"nani anajibizana na wewe,unaelewa maana ya kujibazana? Ndio ubunge ulimshinda
 
Ubunge ulimshinda????? Kwanza una elimu gani kabla ya yote?? Maana nisije nikawa najibizana na kijana wa form four au wa shule za CCM walizozinyima walimu thabiti?
Halafu ukisema shule za CCM tayari najua huna ufahamu na ni mtoto ndogo tu nakupa mfano tu huyo lisu niliesema ubunge ulimshinda ndio kasoma hizo shule unazoita za CCM utabisha? Sasa Nani wakuhoji elimu ya mwenzake hapo?
 
Kuamini kuwa Membe atakua rais wa Tanzania ni ujuha
Membe ni sawa na ushuzi wa ngomani,hauzimi ngoma
 
Wana Jf,

Kwa uhalisia wa sasa upepo unapoelekea mtia nia ya urais Membe ashaanza vikao vya siri tangu Jana alipoamua kujivua uanachama. Kuna fununu kuwa anakutana na viongozi wakuu kukubaliana nini kifanyike ili aweze kujiunga na chama ili atimize dhamila yake. Kiukweli membe ni mkamilifu lakini tundu Lisu ni mzuri zaidi ila ataponzwa na kutokuwepo kwake kwani waamuzi hawatamwonea aibu kama ambavyo angelikuwepo.

Kiongozi mkuu anaweza kumwingiza ili aongeze majimbo kwani ingizo jipya huwa halina hasara. Membe ana pesa kutoka sehemu nyingine kuliko Lisu, campaign nifedha, kuzunguka Tanzania mzima sio mchezo.

Membe yuko nyuma ya matajiri walioumizwa na utawala huu, pia anaweza kupata kula za Ccm chotara na ccm maslahi.
Kuna kaukweli
 
Tunaona mnavyomwogopa Lissu.
 
Back
Top Bottom