Wadau: Kuwahi kumaliza Tendo la Ndoa na kuchelewa kipi kina madhara? Na kipi ni sahihi?

palahingwe

Member
Apr 1, 2020
16
10
Habari ndugu zangu

Naombeni msaada wa kutambua kuhusiana na hoja tajwa hapo juu. Generation ya leo tunashuhudia vijana, na hata rika za kati kwa madai ya kuwahi kumaliza tendo la ndoa na wengi wao kutafuta dawa kukabiliana na tatizo.
 
Ndivyo ulivyo umbwa hivyo usitake kujimaliza kwa kutumia madawa, tatzo mnaskiliza sana matapel wanaouza madawa ya kuongeza nguv za kiume
 
mimi pia nahitaji msaada, mi tatizo langu nikila ugali/wali nawahi kushiba hivo naombeni mbinu za kuchelewa kushiba.
 
habari ndugu zangu! naombeni msaada wa kutambua kuhusiana na hoja tajwa hpo juu.
generation ya leo tunashuhudia vijana, na hata lika za kati! kwa madai ya kuwah kumaliza tendo la ndoa! na wengi wao kutafuta dawa kukabiliana na tatizo.
Mkuu mapenzi hayataki papara,,,
Kitendo cha kuwahi kufika kileleni ni papara..
Na unapaswa ujuwe kuwahi kufika kileleni ni faraja kwa mwanamke,, bali ni aibu kubwa kwa mwanaume..
Mwanamke ni mkunwaji na mwanaume ni mkunaji, na sifa ya mkunaji ni kidole kiwe na kucha,,,hivyo unapochelewa ndy raha ya mkunwaji,,sasa inakuwaje anayekuna kidole kiwe hakina kucha?
 
Kuwahi ni muda gani na kuchelewa muda gani? Ebu fafanua maana kuwahi au kuchelewa ni relative term.
 
Kwa upande wangu, wife huchelewa sana kufika kileleni. So najitahidi kubana ili nichelewe naye afike.
Unajua ngono so bao nyingi wala kuwahi au kuchelewa. Cha msingi umfanye mwananke afike kileleni ikiwezekana a squirt
 
Nzuri ni kuwahi kumaliza alafu unamuuliza mwenzako kama anataka nyongeza unampataia.
 
Kwa upande wangu, wife huchelewa sana kufika kileleni. So najitahidi kubana ili nichelewe naye afike.
Unajua ngono so bao nyingi wala kuwahi au kuchelewa. Cha msingi umfanye mwananke afike kileleni ikiwezekana a squirt
muandae kwanza kabla hujamtia mpaka akojoe......hapa kunahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom