Amani iwe nanyi wadau!
Leo naomba niandike mada ngumu kwa wengi Ila nyepesi kwa wachache wenye akili na jicho la tatu!!
Mada hii imetokana na Jarida la African Report kuandika Makala inayoelezea kwa Jinsi gani Rais Samia anaweza pata ugumu katika kushawishi Kujengwa kwa Mradi wa Bandari ya...
Tangu maonesho ya 2021 SabaSaba yaanze hapa Kilwa Road Dar es salaam hapa kwenye Banda la Karume wafanyakazi wa TANTRADE wanachelewa sana kufungua mabanda/Maholi makubwa wanafungua saa nne au saa tatu na dakika zilizozosonga sana.
MADHARA YA KUCHELEWA KUFUNGUA
Waonyeshaji wanakosa muda wa...
Leo tarehe 24 mishahara bado haijalipwa. Ieleweke kwamba vitu kama hivi ndivyo vitakavyopima uwezo wa Rais Samia kama anastahili Awamu ya Pili au la.
Nachelea kusema kwamba kwa mwezi kama huu (mwisho wa mwaka wa fedha) kufika tarehe 24 mishahara haijalipwa si dalili njema huko tuendako.
Kama tunavyofahamu mwanaume kuna age ikifika umri wako unaanza kuonekana umeenda haswa kuanzia age of 36,40 na kuendelea at this age bado kuna vijana hawajaoa na hata mpango wa kuoa bado kabisa.
Hebu leo tuweze kushare kuna madhara gani ya mwanaume kuchelewa kuoa.
Habarini za leo wakuu,
Nisaidieni hili swala na mnipe ushauri nataka kununua mzigo toka China ili uje hapa bongo niufanyie biashara bila kuchelewa kwasababu ni order maalum.
Je ni kampuni gani ya usafirishaji inasafirisha mizigo kwa haraka kutoka China kuja hapa bongo kwa kutumia meli bila...
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza, nimekuwa na tatizo la kuto kufika kileleni.
Yan kufika kileleni mpaka niamue nianze kuvuta hisia. Si kma zaman nlkuwa nafika kwa kulazimishwa na utamu wa kitumbua. Nikikutana na mwanamke konkod 2naweza sex zaid ya saa bila kufika kileleni. Yan mpaka aseme...
Kwa mujibu wa gazeti la The East African ni kuwa mfumo mzima wa umeme utakaotumika kuendesha treni kwenye awamu hii ya kwanza toka Dar mpaka Morogoro umekamilika. Na ulikuwa ufanyiwe majaribio mwezi mwishoni mwa mwezi April.
Mpaka sasa vituo vinne vikubwa vya kupoza umeme vimeshaunganishwa na...
Habarini wakuu,
Ipo hivi, huwa najiuliza sana kwamba ni bora kuelezea hisia zako mapema baada ya mazoea ya muda mfupi au kusubiri subiri kwa muda .
Kwa sababu naona unaweza ukawahi ukaonekana muhuni muongo muongo au ukachelewa tunda likawaiwa na wengine.
Wakuu nyie mnaona kipi ni bora hapo...
WanaJF hebu tupeane uzoefu kwenye hili
Je, kuna uhusiano wowote wa kuchelewa kuolewa na kuanza kujitegemea kwa wadada kuna watu wanasema wadada wakianza kujitegemea wanakuwa wahuni kupelekea watu kutokuwachumbia na kuwaoa.
Watu wanasema wanawake wakiwa makwao wanaolewa haraka je ni kweli.
Anayesimulia mvua ujue imemnyeshea, yawezekana kwa wengine ikawa ni mshangao wanaposikia kuna watu hawapati usingizi kirahisi, lakini hili tatizo linawasumbua watu kiukweli. Mtu anaweza kuingia kitandania saa nne usiku ila usingizi ukampata saa sita usiku.
Binafsi njia nayotumiaga ni kusikiliza...
Wadau, hii habari huenda ikawa sio nzuri kabisaa hasa kwa taifa kama la Kenya, Rwanda ambayo kila kunapokucha wanashindana kuandikisha visa vipya.
Sasa kufuatia kuibuliwa kwa chanjo ya Covid, wataalm wanadai bara la Afrika litakuwa la mwisho kupatiwa chanjo hiyo.
Hapa wazungu wamewa-betray...
Kwema wadau!
Nianze kwa kusema nchi hii hatuendekezi Ukabila, hatuupendi, na hatuutaki. Hivyo mada zinazogusa Ukabila isichukuliwe kwamba ni uhamasishaji wa hisia za chuki za kikabila ndani ya Jamii. Kiasili mimi ni Mnyamwezi wa Urambo lakini nimeishi na kukulia Kilimanjaro. Ninadamu ya...
Hivi walimu mbona serikali ya CCM inawachezea Sana? Kila baada ya miaka kumi mnadhalipishwa kwa kunaswa makofi.
Mishahara hamuongezewi, mikutano ya CCM mnalazimishwa kuhudhuria, makofi mnapigwa kwa kisingizio cha 'hapa kazi tu.'
Kwa kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi nyote kwa pamoja semeni NO to CCM
Trend inaonyesha licha ya kuwepo maagizo ya kidini kusambaza imani zao. Bado wanasiasa wa ulaya watafuta Mali wakiarabu waliwatangulia wana dini kusambaa duniani. Yaani walianza wapererezi wamisionary nao wakafuata. Wengi walijikuta wanasambaza dini kisiasa.
Wanasiasa walipoanza kuhimiza Elimu...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Baba mmoja anayefahamika kwa jina la Anthony Maningu, Mkazi wa Kayenze wilayani Ilemela mkoani Mwanza kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga na kitu kizito kichwani mwanaye aitwae Veronica Anthony, kwa madai ya kuchelewa kurudi nyumbani.
Akizungumza hii...
Dr Bashiru amesema ni marufuku wagombea waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kufanya kampeni bali wabakie kwenye mikoa yao.
Dkt. Bashiru amemtaja mbunge mmoja aliyepitishwa bila kupingwa Lindi lakini sasa yuko Mwanza anafanya kampeni na kumtaka kurudi Lindi mara moja akawasaidie wenzie...
Ratiba za kichama hapa Makao Makuu Dodoma zinaonesha kuwa vikao vya Kamati Kuu wa CCM almaarufu kama CC vilipaswa kufanyika tarehe 7 na 8 ya mwezi huu. Hata hivyo, hadi sasa hakuna kikao cha Kamati Kuu kilichoketi hapa Dodoma au hata Dar es Salaam. Ajenda kuu ya kikao hicho ni kupitisha majina...
Habari ndugu zangu
Naombeni msaada wa kutambua kuhusiana na hoja tajwa hapo juu. Generation ya leo tunashuhudia vijana, na hata rika za kati kwa madai ya kuwahi kumaliza tendo la ndoa na wengi wao kutafuta dawa kukabiliana na tatizo.
Wana Jf,
Kwa uhalisia wa sasa upepo unapoelekea mtia nia ya urais Membe ashaanza vikao vya siri tangu Jana alipoamua kujivua uanachama. Kuna fununu kuwa anakutana na viongozi wakuu kukubaliana nini kifanyike ili aweze kujiunga na chama ili atimize dhamila yake. Kiukweli membe ni mkamilifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.