Msaada: Mzigo kuchelewa baada ya kuagiza tangu Desemba 2019

ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
3,096
2,273
Huu mzigo niliagiza mnamo tarehe 15 December 2019, na movement zote zilienda vizuri isipokuwa hapo ilipoishia

"-Despatched to OverSeas Postal Admin (From SG/SIN to TZ/DAR)
2019-12-27 13:14:02 [GMT+8]
"

Hapo imekaa tangu tarehe 27-Dec-2019.

Nimejaribu kwenda post na kuwapa tracking number, yule dada akasema no package information, wakati mimi nikitrack naona kama screenshot hapo chini.

Nimesha extend purchase protection.

Nifanyeje wadau?

CC: Mwl.RCT tafadhali njoo

1581353506846.png
aetrk.JPG
 
Kuwa Mvumilivu, tarehe 27 des to 27 jan ni 30 days, kawaida waiting time ni 60 to 90 days. Kuwa mpolee.

Ukijumlisha na hiyo Corona virus huko yani ndio usiwaze.

SangaweJr

SangaweJr , Order ilikuwa placed 2019-12-15 , na ikawa shipped 2019-12-17 . kwa hiyo ni kama bado 7 days ifikie 60 days. Ila kama unasema inachukua hadi 90Days ni sawa kusubiaria bila hofu?

hii kwangu haijawahi kunitokea kabisa
 
nimewasiliana naye kasema niwasiliane na customs, na ameongeza siku 20. Sasa hapo kwenye kuwasiliana na customs inakuwaje?
Kama ameongeza siku 20 basi subiri mkuu. Kuwasiliana na customs means uende posta.

Kuna jamaa aliagiza mzigo tangu November 2019 leo ndio kapokea sms kuwa afuate mzigo wake posta.
 
Nadhani kuna shida nna parcel 3 zimekwama nazo tangu mwishoni mwa december, nangoja zibaki siku 5 za purchase protection kuisha, nifungue dispute.
 
Corona virus nayo imepamba moto, kuna stores kadha hawajarudi makazini, nimewasiliana na sellers wengi kimya.
Inabidi kuhamia America na Europe kwa muda japo bei za huko ni kimbembe kwa bidhaa nyingi.
 
Corona virus nayo imepamba moto, kuna stores kadha hawajarudi makazini, nimewasiliana na sellers wengi kimya.
Inabidi kuhamia America na Europe kwa muda japo bei za huko ni kimbembe kwa bidhaa nyingi.

waliextend mapumziko hadi leo tarehe 10 feb
 
waliextend mapumziko hadi leo tarehe 10 feb
Hali bado ni tete huko china, kama unafatilia vizuri hicho kirusi kinawapelekesha sana, jaribu kupitia CNN news hata kwenye web yao kila siku utajionea, kasi ya maambukizi ni kubwa sana. Jana tu unaambiwa watu 97 wamekufa kwa nakufikia idadi ya watu 900+ na hapo kuna tetesi hizi taarifa zimechujwa kwamba waliokufa ni wengi zaidi ila wanaficha kupunguza panic kwa public na jumuia ya kimataifa kwa ujumla.
 
Yaah... Hii ni kweli jamaa hawasemi idadi halisi,
 
Back
Top Bottom