Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,498
- 113,602
Wanabodi, saa hizi inakwenda saa 7 usiku, tuko uwanja wa ndege wa Mwanza, tukisubiria ku board ndege yetu ya ATCL from Mwanza - Dar.
Ilikuwa turuke saa 3:00 tufike saa 4:15, lakini kukatokea dharura, tukaarifiwa mapema kuwa ndege itachelewa hadi saa 6:30 sasa tumeboard tunaruka saa 7:30 na kufika Dar saa 8:30, Sisi abiria wa Dala Dala kwa saa hizo sijui itakiwaje?.
Kuna abiria wananuna na wengine kulalamika, hali hii mpaka lini?.
Wito wangu kwa watu kama hawa, ni kuwasisitiza tuu kuwa wazalendo wakweli wa nchi hii.
ATCL ni Shirika Letu, Ndege Za ATCL ni Ndege Zetu, Tulipende Shirika Letu, Tuikubali na Kukitokea Dharura ya Kuchelewa, Tusilalamike, Tulivumilie Tuu, na kuendelea kulipenda na tupande ndege zetu.
Mungu Ibariki ATCL,
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
From Gambosh, kurudi mujini.
Update.
Tumesafiri salama, Tumefika Salama.
Tumeingia Dar saa 9:00 usiku.
P
Rejea

ATC Sasa Yaanza Kuleta Heshima ya Nchi, Yapunguza Tanzania Kufanywa Shamba la Bibi, FastJet Yapumulia Mashine, Soon Itafungasha Virago!.
Wanabodi, Japo mimi ni miongoni mwa wale tuliopinga ununuzi wa ndege kwa cash money, na serikali yetu kufanya matumizi makubwa kama haya ya manunuzi makubwa kwa kutumia fedha za umma bila idhini ya Bunge, kwa sababu fedha za umma zinaongozwa na sheria, taratibu na kanuni, mtu hata ukiwa nani...
www.jamiiforums.com
Dreamliner imejaa wiki nzima! Hongera ATCL na pongezi kwa Rais Magufuli, unaona mbali
Wanabodi, Angalizo: Naomba kulianza bandiko kwa kwa angalizo, kama na wewe ni mmoja miongoni wa wale members humu wenye allergy na pongezi zozote kwa mazuri yoyote yanayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya Awamu ya Tano, naomba uishie hapa, nisije nikakuharibia siku yako. Declaration...
www.jamiiforums.com
Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136!
Wanabodi, Makali ya Uchumi wa Magufuli, yanazidi kukaza, leo shirika la ndege la Precision Air, limepunguza wafanyakazi 136 wakiwemo cabin crew 10!. Najua wengi humu mtasema hali hii imechangiwa na kufufuka kwa ATCL na ushindani toka Fastjet, lakini this is not the case, nimepanda zote, ATCL...
www.jamiiforums.com
Ushauri wa Bure kwa ATC: Anzisheni frequently fliers na fanyeni over booking kwa waiting list.
Wanabodi, Shirika la Ndege Tanzania ATC ni shirika letu na Ndege za ATC ni Ndege zetu hivyo shime Watanzania Wenzangu tuonyeshe uzalendo kwa kupanda Ndege zetu, Penda Chako, Jenga Chako kwa Kutumia Chako. Tangu ATC imenunua hizi Ndege mpya za Bombardier, leo ndio nimepata fursa ya kuzionja ila...