kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Nini maoni yako kuhusu vita ya Palestina na Israel? Bado unaamini Israel ina intelijensia kubwa Duniani?

    Israel imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea. Kwa kichapo kilichotokea maana yake Dunia haipo salama dhidi ya mashambulizi ya kulipiza kisasa. Ni ishara...
  2. L

    JamiiForums Tanzania AIIB yachukua nafasi kubwa katika maendeleo endelevu barani Afrika

    Hivi karibuni, Waziri wa Fedha wa Misri Mohamed Maait alipongeza nafsi muhimu inayochukuliwa na Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia (AIIB) katika maendeleo endelevu barani Afrika. Akizungumza kabla ya mkutano wa Bodi ya Magavana wa AIIB uliofanyika mjini Sharm El-Sheikh nchini Misri...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kuna aina tatu za watu (Idiot, tribalistic and citizens). Je, Tanzania kundi gani ni kubwa?

    Idiot - asiyependa kufikiri, mbinafsi na asiyetamani wengine wafanikiwe bali kila kitu anatamani ajilimbikizie yeye tu. Tribalistic- asiyefikiri nje ya box, anayeamini kwenye kundi dogo mawazo finyu. Mkatili kwa wanaompinga. Asiyefikiri kuacha alama chanya hapa Duniani. Anayeweza yeye na jamii...
  4. Zombie S2KIZZY

    JamiiForums Tanzania Kunani hizi timu ndogo kuzikamia timu kubwa

    Jana Azam na mastaa wao wote ( sopu,idrisu,feitoto,nado,lyanga,idrissa,bangala ) lakini wakadroo na Dodoma Leo yanga na mastar wao wote(kundubela,yaoyao,masingeli,azizi kibukta,pakome kakoma,mudaumemuathir yahaya, liquid protector diara,Ibrahim kibaka,suraboy,kibamarage,morokoko,mzizi na kikosi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Sherehe kubwa Lumumba, CHADEMA wakiparurana

    Misahafu inasema mwana mpotevu aliporudi kwa babaye, mwana mwema aliyekuwa kabakia Kwa babaye alichukia mno. Kwamba kwanini baba yao amfanyie sherehe mwovu huyo hali yeye alikuwa pale siku zote asifanyiwe dhifa yoyote? "Kwa hasira kali alisusa sherehe ya nduguye, akaondoka nyumbani na kutokomea...
  6. President of China

    JamiiForums Tanzania New York! Mafuriko ya kutisha katika jiji kubwa zaidi huko USA!

    "Hii ni dhoruba inayotishia maisha," gavana Wa New York alisema. Mvua ya mwezi mmoja ilianguka kwa masaa machache tu ijumaa, wataalam wa hali ya hewa walisema. Hadi 20 cm ya mvua ilianguka katika sehemu zingine za jiji. Mamlaka za jiji zilitangaza hali ya dharura. Video inaonyesha watu...
  7. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Jambo kubwa linaloifanya CCM kuwa na nguvu siku zote ni kukubalika na watu wa dini zote. Wapinzani igeni hili

    Huu ni ukweli ambao wengi hawapendi kuusikia, hata Mods humu hawaupendi. CCM ni chama pekee cha siasa ambacho hakiwezi kunyooshewa kidole cha udini. CUF ilikuwa na nguvu sana, lakini kila mtu aliona kupitia safu yake ya juu kilivyoegemea dini fulani. CDM kilikuwa na nguvu, na hata leo kina nguvu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Simu mpya za iphone zagundulika kuwa na changamoto kubwa

    Simu za iPhone 15 & iPhone 15 pro ambazo zimeingizwa sokoni hivi karibuni zimelalamikiwa na baadhi ya watumiaji wake kuwa na msululu wa matatizo Watumiaji wengi wa simu hizo toka kampuni kinara Duniani kwa utengenezaji wa simujanja wameeleza kuwa simu hizo mpya zina changamoto ya kutoa joto...
  9. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Ni hasara kubwa kuwa na wanasiasa kama Mbowe wenye kujali matumbo yao

    Kwa nini mtu usig'atuke na kupisha watu wenye nia thabiti ya kuwakomboa Watanzania? Tozo, ufisadi, umeme kukatika hovyo na wizi wa mali za umma iiuweze kudhibitiwa unahitaji viongozi wenye nia thabiti na madhubuti. Sio matapeli wa kisiasa kwenye karne kama hii. Wanaodhani siasa ni ulaghai ili...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wahehe waliwahi kuwa kabila lenye ushawishi na nguvu kubwa nchini. Ni kitu gani kimepeleka anguko lao?

    Ni moja ya kabila lililowahi kuwa na influence serikalini, jeshini, elimu, vyeo vizito, n.k. Kwa sasa ile glory ya wahehe imeporomoka sana, limekuwa kabila la kawaida sana, kilichibaki kuwatambulisha labda historia ya Mkwawa. Nini kimepelekea hali hii?
  11. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Ukichaa wa akili ya mwanadamu tatizo kubwa Duniani

    Hakuna kipindi ambacho jamii yetu inahitaji elimu ya kujifahamu "consciousness education"kama sasa. Tunapita kwenye kipindi chenye upotofu mwingi juu ya "mtu ni nani " kuliko kipindi chochote kile. Taasisi za misingi ya jamii kama familia, shule na maeneo ya ibada leo kwa kiasi kikubwa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Japan kumwaga maji taka ya nyukilia baharini kwasababisha hasira kubwa ya jamii ya kimataifa

    Kampuni ya Umeme ya Tokyo ya Japan imetangaza kuwa imemaliza awamu ya kwanza ya kumwaga maji taka ya nyuklia baharini, na awamu ya pili inatarajiwa kuanza hivi karibuni. Tangu Japan ilipoanza kumwaga maji taka ya nyukilia baharini, kitendo hiki kimesababisha hasira kubwa ya jamii ya kimataifa...
  13. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kocha: Singida tumechagua kukaa kimya, tuna kazi kubwa mbele yetu

    Salaam, Nimeona mijadala mingi humu ikizungumzia sakata la kocha wetu ambaye amenukuliwa na vyombo vya habari nchini Afrika Kusini kuhusu sababu za yeye kuondoka kambini. Kwa upande wa klabu bado hatujasema chochote, taarifa yetu ya awali tulitoa kuhusiana na yeye kuondoka kambini kwa sababu...
  14. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Hii ndio mikoa ambayo Rais Samia amewekeza nguvu kubwa kuiletea maendeleo

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Wakuu.... wengi wetu hapa JF na nchini kwa ujumla, tunajua kwamba raisi wa JMT mh Samia S. Hassan anapambana usiku na mchana, ili kuhakikisha serikali yake inaleta maendeleo katika wilaya, mikoa na nchi yote ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Lakini kama ilivyo...
  15. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania Career au Mapenzi ama vyote kwa pamoja?

    Kwa mara ya kwanza Getafe wameuza jezi nyingi zenye jina la Mason Greenwood mgongoni ndani ya wiki moja kuliko walizouza kwa mchezaji yeyote katika historia ya klabu hiyo. Mkopo wa Greenwood huko Getafe umepokelewa kifalme kuanzia kwa wachezaji wa Getafe, mashabiki na wafanyikazi kwa ujumla...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Bahati Ndingo - Ni Heshima Kubwa Kuchaguliwa Kuwa Mbunge Wenu Mpya

    MBUNGE BAHATI NDINGO - NI HESHIMA KUBWA KUCHAGULIWA NANYI KUWA MBUNGE WENU MPYA Anaandika Mbunge Mpya wa Jimbo la Mbarali, Mhe. Bahati Keneth Ndingo. Wapendwa wenzangu wa Jimbo la Mbarali! Ningependa kuwashukuru kwa dhati, ni heshima kubwa kuchaguliwa nanyi kuwa Mbunge wenu mpya. Ninaipokea...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Chatu mkubwa katika pori jirani na 'Chuo Nyeti' Mbweni Malindi adhibitiwe upesi kabla hajaleta madhara

    Mida yake ya kuvuka barabara hiyo ya lami ni kati ya saa 2 hadi Saa 3 usiku na ni mkubwa sana. Nina uhakika wale wote wanaopita hiyo njia wakiwa ama katika Bajaji au Pikipiki za Bodaboda au DalaDala za Mbweni - Makumbusho au hata gari binafsi ama mmeshawahi kukutana nae au nanyi hivi karibuni...
  18. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Pigo kubwa na lenye madhara kwa Chama cha Walimu Tanzania

    Chama cha Walimu Tanzania kimepitia misukosuko kadhaa ambayo isivyo bahati imekiyumbisha chama hadi kukiuka Katiba, kanuni zake na maamuzi mbalimbali ya vikao vya chama. Hali hii imejitokeza baada ya kufariki kwa aliyekuwa katibu mkuu Alhaj Yahya Bakari Kilo Msulwa ambapo nafasi yake kwa mujibu...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Urusi kunawaka moto, depo kubwa ya mafuta imelipuliwa na drone

    Madogo wanaendelea kubonyeza bonyeza tu, vita vya kisasa tamu sana.... A Ukrainian drone has caused significant damage to a Russian oil storage facility, triggering a fire in one of the gasoline tanks. A Ukrainian drone caused damage to an oil storage early on Sunday, resulting in a fire in one...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, yule Mchezaji wa Timu Moja Kubwa niliyesema 'Karogwa' na ataanza Kucheza vibaya mmeshamjua au bado?

    Ni lini mtanijengea Sanamu langu GENTAMYCINE hapa JamiiForums au basi hata tu Kunupigia Salute kama Heshoma, kwani huwa nawapeni Taarifa kabla na Uhalisia wake huwa kuja kuwa Kweli. Kama tu uliangalia Mechi Mbili za Wakubwa wa Tanzania jana ile ya Ndola Zambia na Kigali Rwanda nina uhakika...
Back
Top Bottom