kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiye Rais atakayeongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana. Ni suala la muda tu kila mtu atamuelewa dhamira yake kwa Watanzania

    Nawasalimu Kwa Jina la JMT. Kama Thread inavyojieleza,Huyu Mhe.Rais Samia Mimi binafsi naona amebeba maono makubwa sana ya Nchi hii, malengo yake ni makubwa,kila nikimtazama natamani Watanzania wote muelewe Dhamira yake ilivyo Kubwa ya maendeleo na kuifanya Tanzania kama Ulaya. Sababu Kubwa...
  2. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Ushauri Wizara ya Elimu: Nyadhifa zitolewe kwa kuzingatia Kiwango cha Elimu, kipaumbele kikiwa kwenye elimu ya juu zaidi

    Kwa miaka ya sasa ni rahisi sana kuona mwalimu ana Masters/PhD lakini yupo tu anafundisha huko shuleni, ila mabosi wake wote wana Shahada. Huyu mwalimu mwenye Masters/PhD anaambulia kuhujumiwa tu na mabosi hao ili kumkatisha tamaa. Mfano, anaweza akawa amepata mchongo mahali pengine kutokana na...
  3. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kubwa kwanini dunia nzima kuna upungufu mkubwa wa matangazo ya ajira

    Kwa sababu siku hizi kuna fursa nyingi za watu kupata pesa bila kuajiriwa kuliko kipindi chochote tangu dunia iwepo. Makampuni mengi hayana sababu kufanya kila kitu yenyewe wakati kuna watu wengi tu wako majumbani wanaweza kuwafanyia hizo kazi bila kujibebesha mizigo ya Bima za afya, kodi, kero...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Morocco walianza kusema Wao siyo Waafrika Wenzetu, Leo wana Janga Kubwa wanachagua wa Kuwasaidia

    Nchi ya Morocco ambayo hivi sasa imekumbwa na Janga Kubwa la Tetemeko la Ardhi imesema ni nchi Nne tu ndizo wameruhusu Wawasaidie ambazo ni Hispania, Uingereza, Qatar na UAE. Kuna Taifa moja Barani Afrika ( nimelisahau Jina ) lenyewe Uturuki ilipopatwa na Janga kama hili la Morocco ilikuwa na...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania German Sherpherd: Mbwa wenye akili kubwa ya ulinzi

    HUyu ndiye German Shepherd (Pure breed) Mbwa mwenye akili kubwa sana ya ulinzi. Ana kiwango kikubwa sana cha kufundishika.
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya Watu Wanaojiua

    Wakati Bara la Afrika likiendelea kukabiliana na masuala muhimu kama vile Umaskini, ongezeko la Magonjwa Yanayoambukiza na Yasiyoambukiza, na Mtikisiko wa Masuala ya Kiutawala katika baadhi ya Nchi, Matukio ya Watu kujiua nayo yanaendelea kuwa janga linalokua kwa kasi. Mbali na changamoto za...
  7. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Naona kama simridhishi demu wangu, ni wa moto sana

    Money Penny njoo kwanza unishauri Jamaa: Nimepata demu mkali, ana shepu kama Vera Sidika wa Kenya Mkali sana Mzuri sana Hapa hapa bongo Ila kila tukiingia kwenye tendo la ndoa naona kama simridhishi, au ni wasiwasi wangu tu? Maana ni wamoutoooooor halafu ana nata sana Nifanyaje? Haya wale...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kwa mwaka 2023 Tanzania pekee ndiyo nchi ya SADC na EAC yenye records kubwa za kuweka wapinzani mahabusu, unadhani kwanini tumekaa kileleni?

    Nchi za SADC na EAC zina mfumo wa kidemokrasia na zinatumia katiba somehow inayoendana na Tanzania. Zina sheria na kuna wapinzani ambao baadhi yao wameweza hadi kuongoza nchi mfano Zambia. Lakini upo ustaarabu flan wa dola ambao umejengeka.; Ni aidha mpinzani kwenye nchi nyingine upo dhaifu...
  9. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Mpira wa Miguu ni Mchezo wenye Maajabu yake Young Africans inayopewa nafasi Kubwa kwenda Makundi Huenda akurumushwa, na Simba isiyopewa nafasi ikafuzu

    Mpira wa miguu una mambo yake wakati mwingine usilotegemea likatokea na unalotegemea lisitoke na ndiyo maana kwenye Betting kuna fedha nyingi sana. Timu yangu ya Young Africans inapewa nafasi kubwa sana ya kushinda kwenye mechi zake za Klabu Bingwa dhidi ya Elh - Melekh na kutinga makundi...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Najua leo Taifa Stars inafuzu AFCON, ila ingefungwa na kutofuzu ningekuwa ni mwenye furaha kubwa

    Kwangu mimi Taifa Stars isiyo na Wachezaji wangu ninaowakubali akina Kapombe, Tshabalala, Feitoto, Kipa Kinda Ali Salim na yenye Wachezaji wabovu akina Mkude, Boko (Mfalme wa Miba Tanzania ) Mzize na Himid Mao Mkami ni batili. Hongereni Taifa Stars kwa kufuzu tena AFCON, ila binafsi kama...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Depo kubwa ya mafuta yalipuka Urusi, tutafika tu

    Taratibu tutaongea lugha moja.... PHOTO: OSTOROZHNO, NOVOSTI On Sunday, 3 September, a big fire broke out at an oil depot in Krasnogvardeysky District, St Petersburg, Russia. Source: Ostorozhno, novosti (Careful, News); Readovka Details: Local residents reported that they heard sounds of...
  12. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Usipuuzie ulaji wa matunda. Ina faida kubwa sana kiafya

    Shukrani ziwaendee wote waliotoa mada zinazohusiana na ulaji matunda humu jukwaani. Natumaini kuna walionufaishwa na hiyo Elimu kama nami nilivyonufaika. Nilikuwa ninafahamu kuwa ni muhimu kula matunda kila siku, lakini JF kumeniongezea maarifa na kunihamsisha kuchukua hatua stahiki...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Chama cha Wafanyakazi chaitisha Mgomo kupinga Gharama kubwa za Maisha

    Chama cha wafanyakazi nchini Nigeria cha Labour Congress kinapanga kugoma Sept. 5 na 6, 2023 kupinga gharama ya maisha baada ya serikali kutupilia mbali ruzuku ya bei ya petroli. Chama cha Wafanyakazi wa Nigeria (NLC), ambacho kinawakilisha mamilioni ya wafanyakazi katika sekta nyingi za uchumi...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwa tamaa kubwa ya Vyeo CCM Kwako, nakushauri uwe Unawaficha wale Uwapendao na unaotaka kuwa nao kuanzia 2025

    Labda nikuambie tu Rais Samia kuna Uteuzi Mmoja wa Kimkakati umeufanya Jana ila sasa Umeshamsababishia matatizo Mhusika kwani kama hajarogwa awe Mweusi kuliko alivyo sasa ili Usiwe unamuona au Kumkumbuka kama yuko basi wanaweza Kumaliza Shughuli kabisa na hiyo 2025 asiione au akiiona atakuwa si...
  15. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kama wewe ni mchawi usije Kigoma kipindi hiki, Kuna operesheni kubwa sana inaendelea

    Niko Kigoma mida hii, ni noma Sana mkoa umekuwa wa Moto balaa, wachawi wanalia Kama watoto wadogo wanatamani Hadi kufa lakini wapi. Baada ya tabia za ovyo za kichawi kuzidi, ilibidi wananchi watoe 'contract' kwa magwiji kutoka Congo na Nigeria Kuja kushugulika nao. Mchakato wa kuwapata hao...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Serikali imkamate na kumuhoji Felix Simbu kwa hujuma aliyoifanya kwenye mashindano

    "Leo nimegundua kuwa kumbe Mazoezi niliyoyafanya hayakuwa sahihi kwangu na nilipofika Kilomita ya 30; kuelekea ya 35 sikuona haja ya kuendelea hadi Kilomita 42 tulizokuwa tunakimbia, hivyo naomba radhi na asitafutwe mchawi, nitajitahidi katika mashindano yajayo," amesema Mwanariadha aliyejivunja...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

    Watu wanaachana lakini namba hawafuti. Unajua ni kwanini? Kwasababu ni suala la muda tu ipo siku watatafutana. Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya dharura.
  18. Best Daddy

    JamiiForums Tanzania Ijue siri kubwa ya mafanikio ya Yanga

    Tunamkumbuka Stephen King kwa maneno yake yenye busara hasa pale aliposema: "Talent is cheaper than table salt. What separates the talented individual from the successful one is a lot of hard work." Ila bwana Kevin Durant yeye akasema "” Hard work beats talent when talent fails to work hard”...
  19. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ubinafisishaji wa Bandari zetu Muendeshaji atapata faida kubwa kuliko Serikali

    Sijui nitumie lugha gani ili wote muelewa. Kiufupi ni kwamba ukibinafisha wowote ule muendeshaji anapata faida kubwa zaidi ya mwenye Mali hasa tunapoongelea sekta nyeti kama bandari Uwezekano wa mwenye mali kuambulia 10% ya makusanyo yote ni kawaida sana.. waendeshaji wengi ni wahuni...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TMA yasema mvua juu ya wastani zinatarajiwa kunyesha. Mvua za Vuli kuanza Oktoba

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua za Juu ya Wastani hadi Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, kusini mwa Mkoa wa Simiyu, kaskazini mwa mkoa wa Kigoma, Dar es Salaam, Tanga, Pwani (ikiwemo visiwa vya Mafia), kaskazini mwa mkoa wa...
Back
Top Bottom