House4Rent Tunapangisha nyumba na kuuza viwanja pamoja na nyumba Mwanza

Show Game

JF-Expert Member
Nov 7, 2023
318
1,084
Chumba na sebule inapangishwa KWA ELFU 25 TU.

IGOMA MTAA WA KAKEBE. UMEME NA MAJI VIPO.

DALALI 0683011003

IMG_20231120_091533_357.jpg
IMG_20231120_091507_655.jpg
IMG_20231120_091451_240.jpg
IMG_20231120_091440_827.jpg
 
Huyo msela anayepiga chabo hapo ndiye dalali au mwenye nyumba?

Anyway nimependa mjengo uko safi na mazingira "swafwi" na bei ni elekezi kabisa sina shaka hapo jirani kuna pusha na wale wadada zetu watoaji wa ile huduma yetu pendwa kwa bei chee.

Vipi huko Mwanza nikileta biashara yangu ya majeneza mzunguko wa pesa upo vizuri kuzidi huku Dodoma?
 
is this a dog talking?
 
size ya kiwanja: futi 20 kwa 20

Document zote zipo

Details:

Vyumba vitatu..

kimoja master bedroom...

SEBULE KUBWA SANA

Jiko

Choo cha ndani kama kawaida

Umeme na maji Vipo

Bei elekezi 9,500,000 Tsh.
(mazungumzo kidogo yapo)

IGOMA MTAA WA KILIMO B

IMG_20231121_081129_323.jpg
IMG_20231121_080405_389.jpg
IMG_20231121_080313_211.jpg
IMG_20231121_080249_231.jpg
IMG_20231121_080242_844.jpg
IMG_20231121_080204_176.jpg
IMG_20231121_080139_448.jpg
IMG_20231121_080121_039.jpg
IMG_20231121_080100_435.jpg
IMG_20231121_080048_285.jpg
 
Back
Top Bottom