Ndipo tutakapo tafsiri maana ya Elimu....Kuna mwanangu ana Masters tunahangaika nae kwenye malori..kama utingo.
Hii debate Mwalimu wangu Mwingizi na Gille walikuwa wanaipiinga kabisa, nakumbuka nilipigwa makofi kwa ku-support hii!Money is better than education
Mkuu ukiandika kifupi hatokuelewa mfano hiyo ist anaweza akajua ni vile vigari vya uba na bolt 😂😂😂 kwanza sura ya dem yenyewe haimfanyi muajiri atamani kuwa nae ofisini alaf kitu ingine kila mmoja wetu kapangiwa sehemu yake kwenyw haya maisha ila watoto lazima wapate haki za msingi ikiwemo elimu boraHahaha, mkuu, usilete sababu, mpe mtoto wako elimu bora kadri inavyowezekana,
Kati ya CPA 10K hii nchi huyo mmoja hawez fanya tusisomeshe watoto wetu IST
Mwaka 2060;Ina maana dada wa kazi wa la saba wajipange
mpe mwanao skills, achana na hizo elimu mfumo.Hahaha, mkuu, usilete sababu, mpe mtoto wako elimu bora kadri inavyowezekana.
Kati ya CPA 10K hii nchi huyo mmoja hawez fanya tusisomeshe watoto wetu IST.
mkuu una cpa halafu unakuwa hg, mkuu vaa viatu vya huyo binti embu.Si vibaya akipimwa akili pia hospitali
Mkuu ulishawai kula ugali chumvi, sio kwa kupenda ila ni kwamba huna jinsi, halafu mtu akakuuliza unaenjoy chakula chako, ukamjibu kwa kujifariji kuwa unaenjoy sana huku moyo ukibubujikwa na machozi? aliyekuuliza atakusoma tu kuwa unajifariji ila unatamani biriani, mkuu mkuu mkuu....acha niishie hapagMbona ana anaangalia kijambazi jambazi
Isije/asije kuwa ana Malengo na baba mwenye Nyumba..Jambo zuri amepata kazi/ajira na anaifurahia...!