Tanzania ni Taifa kubwa, tusiyumbishwe

Oct 7, 2019
51
156
Miaka ya 1776 Jasusi wa Kimarekani William Carmichael alitumwa na Taifa lake kwenda kutafiti na kujua ni kwa namna gani USA inaweza kuteka soko la Tumbaku Duniani ambalo lilikuwa limeshikiliwa na bara Ulaya. Kipindi hicho Ukraine ilikuwa ikizalisha tumbaku Bora kabisa na nyingi Duniani.
Jasusi huyu alitokea kwenye kitengo Cha Economic intelligence. Economic intelligence ni kitengo katika mashirika ya kijasusi mengi duniani lakini department hii hudili na kuangalia threats za nchi husika kiuchumi. Hawa hutafiti, huchunguza mataifa Mengine kuhusu Uchumi wao na namna ya kuudidimiza. Marekani wao kwa Sasa Taifa ambalo linavhunguzwa Sana ni China na Korea Kaskazini. Lengo ni kuwadhibiti wasiliteke soko la Dunia kwa bidhaa zao au wasiibuke Kama super power duniani.
Sio nchi kwa nchi tu huchunguzana Bali hata Kampuni na Kampuni zinazozalisha bidhaa za aina Moja huchunguzana. Nafikiri unakumbuka mgogoro wa Simu za Huwawei na Kampuni la Google.
Kwa Africa Mashariki Kenya ni mojawapo ya Taifa ambalo limewekeza kwenye Economic intelligence, na Taifa tishio kwao ni Tanzania. Tukumbuke Tanzania ina rasilimali nyingi kuliko Kenya, ina nufaika na Geographical location yake na pia hatuna ukame Sana.
Kenya wanajua wazi kuwa isingelikuwa bandari ya Daresalam na Tanga Basi wao wangenufaika Sana kupitia bandari ya Mombasa. Bandari zetu zinapunguza Sana bidhaa za mataifa Mengine kupitia Kenya hili kwao ni tishio.
Kenya wanajua kabisa Kama sio vivutio vyetu tulivyo navyo Basi wao wangeongoza kwa utalii Africa Mashariki na wangelipiga pesa nyingi Sana kwenye utalii.
Labda vijana wengi si wafuatiliaji wa Mambo, lakini nitawapa mifano tu ya hivi karibuni kwa lengo la kuelewa ninachoandika.
Mwaka juzi madereva wa Tanzania wa utalii pamoja na kuwa walifuata taratibu zote walinyimwa kuchukua watalii waliokuwa wanakuja Tanzania kutalii ambao wakashukia Kenya. Tanzania ilivumilia kwa Muda lakini ilifika mahali tukajibu kwa kupunguza trip za Kenya airways kuja nchini. Walipoona hivyo wakaondoa lile zuio la madereva wetu wa utalii kuingia Kenya. Ndio maana nchi iliwekeza Sana kwenye Kununua ndege kwa kuwa ili ujitawale vizuri lazima uwe na uwezo wa kushindana angani, ardhini na majini.
Mwaka 2018 tuliingia nao tena Mzozo wankiuchumi tukigombea bomba la mafuta toka Uganda lipitie wapi. Wakenya walipiga trip Sana kwenda Uganda kwa mzee Museven hatimaye tukawashinda Tena kwenye Vita ile.
Ni kwa tabia kuwa Tanzania Haina fitna za kiuchumi kwa mataifa Mengine lakini wenzetu Kenya wao wanajua kuwa Tanzania ndio nchi ambayo ni tishio kwa Uchumi wao.
Nendeni kwenye Sector ya Kilimo Cha kahawa kwa mikoa ya Kaskazini, Kenya wametupiga Sana kwenye Ajira. Pamoja na kuwa chuo chetu Cha SUA kinazalisha wataalamu lakini mameneja karibia wote ngazi za juu ni wakenya. Ulizeni watanzania wanaofanya kazi kwenye mashamba hayo muone wanavyonyanyasika.
Hivi mnawafuatilia wakenya wanavyotudharau? Nani haoni haya? Tunaimbishwa nyimbo na wakenya nasi tunaimba? Tuache kukaa Kinyonge sisi ni Taifa huru kabisa. Tutawajibu kwa chochote wanachotaka kutufanyia ambacho hakina maslahi kwa Uchumi wetu.
Kuwazui mpakani ni hatua Moja nzuri Sana haiwezekani watuharibie Biashara kiasi hicho. Ni mtoto goigoi tu na mnafiki na asiyejielewa baba yake atapigwa na jirani halafu amwambie baba yake jifungie ndani ulie. Mtoto jasiri atamwambia baba yake toka mpige sisi watoto wako tupo nyuma yako.
Ni kawaida mataifa ya magharibi kutumia mataifa dhaifu kupenyeza sera zao. Hebu sikilizeni Bill Gates alisema baada ya wiki tatu tutaokota maiti mtaani leo Ni wiki ya tano hatujaokota maiti Kama alivyosema. Marekani wametoa Security alert kuonyesha kuwa Tanzania karibia Nusu wameambukizwa lakini si ukweli na Hawa wote wanamtumia Kenya ku justify hayo. Ndio maana baada ya kuwapiga pini Muingereza kajitokeza haraka Balozi wake kasema kutakuwa na ndege za kuwarudisha waingereza kwao as If hapa kwetu Korona imetumaliza kabisa. Kenya kiuchumi ni maadui zetu na hutumika pia na maadui zetu kutumaliza. Sasa jiulize kwa nn huyo Balozi wa Uingereza naye harudi kwao au yeye ana dawa ya Corona?
Kasomeni John Perkins kupitia kitabu chake Confession of an Economic Hit man anatufunulia jinsi sera ya Conspiracy inavyofanya kazi. Ndio maana Rais wetu alivyowaambia Kama kweli wana nia ya kutusaidia mabeberu watusamehe mkopo lakini wakakataa wao wanalazimisha tukope. Kenya tayari wameshalamba mkopo ambao hata raia wao hawauoni na Kuna tetesi za Ufisadi kwenye mkopo wenyewe. Kwani hamuwaoni wakigombania Chakula na kuchoma matairi huko Gharisa?
Kwa siku za karibuni msimamo wa Tanzania kwenye rasilimali zake umekuwa tishio kubwa Sana kwa baadhi ya mataifa ya magharibi.
VIJANA NIWAKUMBUSHE.
Nationalism ile hali ya kuliweka taifa lako mbele kabla ya mataifa mengine na kuliona ndilo taifa bora kuliko mengine duniani na upo tayari kufa kwa ajili ya taifa lako. Huku patriotism ikiwa ni ile hali tu ya kawaida ya kulipenda Taifa lako kwa kuwa wewe ni mtanzania na huna identity nyingine zaidi.
Narudia kinachonishangaza ni mtu level ya Graduate kutokuelewa hili. Hawa ndio nawaambia waombe uraia Kenya watuache Kwanza Hali ikiwa shwari watarudi.
Tulipende Taifa Letu kabla ya Kenya..... Na Kama unaipenda Kenya Sana unaweza kuomba Uraia watakupatia.

Ole Mushi
0712702602.
Screenshot_2020-05-28 (3) Facebook(1).png
 
Ujumbe mzr ila usitukane jirani jmn twende taratiiibu ,ila ni kweli tokea Eac ya zamani ila viongoz wetu ndo tatizo hv kwa mfano sisi km tunawazidi kwa idadi ya mifugo kwanini tusiwe ndo soko kuuu la mifugo badala ya mifugo kuswagwa kwao? Mara kilimamjaro ni yao hv viongoz kwanini huwa hawachukui hatua? Na inakuwaje mpk hyo sua unayoisemea ipo moro lkn wasi.amz weng n majiran? Kuna mahali wanatuzidi au wanasaidia c bure ila yote kwa yote tumezembea mahali .sidhan km hyo iconomic inteligence sisi tuliwekeza sana labda hii ya kutafta maadaui wa sisiem
 
International pumba point yenye angalau ukweli kiduchu Sana na iliyoandikwa na mwanalumumba fuata upepo
 
Tanzania tuna mifugo mingi kuliko majirani zetu lakini ajabu nyama na maziwa kwetu bei kubwa kuliko majirani zetu. Tatizo liko wapi? Kwanini tunaumizana sisi wenyewe!!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ni taifakubwa lenye rasilimali nyingi pia na ardhi pana.Tanzania mpya chini ya uongozi wa Rais Magufuli imeanza kuonyesha ukubwa wa Tanzania kwa kumaanisha kwa vitendo.
Tanzania chini ya Rais Magufuli tumeweza.
 
Naishangaa sana Zanzibar Moja ya nchi mbili zilizounda Jamuhuri yaMuungano wa Tanzania ,ni jinsi gani inahujumiwa na Mshirika mwenzake ktk Muungano ili isiende mbele kiuchumi.

Ina Mafuta na Gesi iliyogunduliwa tokea miaka ya 1950 ambayo ilishaanza kufanyiwa utafiti wa kina,lakini hadi leo imezuiliwa kuchimbwa ,sijui kinamna gani.
Kuna Bahari kuu yenye samaki teletele mali ya Zanzibar, lakini Makampuni yote ya Uvuvi hayaruhusiwi kusajiliwa Zanzibar ,

Zanzibar inabaki Masikini huku wenzetu Tanganyika wakithibiti vibali vyote vyakusajili makampuni na kuendeleza uchumi
Hata kuombea misaada, mikopo,na uwekezaji mkubwa katika miradi ya kiuchumi Zanzibar haina Mamlaka ,ni lazima ikapige goti Tanganyika ,nako ikaombe ,sio kupewa kibali tuukama mshika.Laa ,Mtoa kibali mara zote anaweka vikwazo na vigezoili ukishindwa ubaki bila kufanikisha lengo lako kama nchi mshirika wa Muungano.

Hapo Ndipo ninapomuelewa Muandishi Kuhusu Ujasusi wa kiuchumi unavyofanya kazi, Hata kwa Ndugu wa Tumbo moja.
 
Miaka ya 1776 Jasusi wa Kimarekani William Carmichael alitumwa na Taifa lake kwenda kutafiti na kujua ni kwa namna gani USA inaweza kuteka soko la Tumbaku Duniani ambalo lilikuwa limeshikiliwa na bara Ulaya. Kipindi hicho Ukraine ilikuwa ikizalisha tumbaku Bora kabisa na nyingi Duniani.
Jasusi huyu alitokea kwenye kitengo Cha Economic intelligence. Economic intelligence ni kitengo katika mashirika ya kijasusi mengi duniani lakini department hii hudili na kuangalia threats za nchi husika kiuchumi. Hawa hutafiti, huchunguza mataifa Mengine kuhusu Uchumi wao na namna ya kuudidimiza. Marekani wao kwa Sasa Taifa ambalo linavhunguzwa Sana ni China na Korea Kaskazini. Lengo ni kuwadhibiti wasiliteke soko la Dunia kwa bidhaa zao au wasiibuke Kama super power duniani.
Sio nchi kwa nchi tu huchunguzana Bali hata Kampuni na Kampuni zinazozalisha bidhaa za aina Moja huchunguzana. Nafikiri unakumbuka mgogoro wa Simu za Huwawei na Kampuni la Google.
Kwa Africa Mashariki Kenya ni mojawapo ya Taifa ambalo limewekeza kwenye Economic intelligence, na Taifa tishio kwao ni Tanzania. Tukumbuke Tanzania ina rasilimali nyingi kuliko Kenya, ina nufaika na Geographical location yake na pia hatuna ukame Sana.
Kenya wanajua wazi kuwa isingelikuwa bandari ya Daresalam na Tanga Basi wao wangenufaika Sana kupitia bandari ya Mombasa. Bandari zetu zinapunguza Sana bidhaa za mataifa Mengine kupitia Kenya hili kwao ni tishio.
Kenya wanajua kabisa Kama sio vivutio vyetu tulivyo navyo Basi wao wangeongoza kwa utalii Africa Mashariki na wangelipiga pesa nyingi Sana kwenye utalii.
Labda vijana wengi si wafuatiliaji wa Mambo, lakini nitawapa mifano tu ya hivi karibuni kwa lengo la kuelewa ninachoandika.
Mwaka juzi madereva wa Tanzania wa utalii pamoja na kuwa walifuata taratibu zote walinyimwa kuchukua watalii waliokuwa wanakuja Tanzania kutalii ambao wakashukia Kenya. Tanzania ilivumilia kwa Muda lakini ilifika mahali tukajibu kwa kupunguza trip za Kenya airways kuja nchini. Walipoona hivyo wakaondoa lile zuio la madereva wetu wa utalii kuingia Kenya. Ndio maana nchi iliwekeza Sana kwenye Kununua ndege kwa kuwa ili ujitawale vizuri lazima uwe na uwezo wa kushindana angani, ardhini na majini.
Mwaka 2018 tuliingia nao tena Mzozo wankiuchumi tukigombea bomba la mafuta toka Uganda lipitie wapi. Wakenya walipiga trip Sana kwenda Uganda kwa mzee Museven hatimaye tukawashinda Tena kwenye Vita ile.
Ni kwa tabia kuwa Tanzania Haina fitna za kiuchumi kwa mataifa Mengine lakini wenzetu Kenya wao wanajua kuwa Tanzania ndio nchi ambayo ni tishio kwa Uchumi wao.
Nendeni kwenye Sector ya Kilimo Cha kahawa kwa mikoa ya Kaskazini, Kenya wametupiga Sana kwenye Ajira. Pamoja na kuwa chuo chetu Cha SUA kinazalisha wataalamu lakini mameneja karibia wote ngazi za juu ni wakenya. Ulizeni watanzania wanaofanya kazi kwenye mashamba hayo muone wanavyonyanyasika.
Hivi mnawafuatilia wakenya wanavyotudharau? Nani haoni haya? Tunaimbishwa nyimbo na wakenya nasi tunaimba? Tuache kukaa Kinyonge sisi ni Taifa huru kabisa. Tutawajibu kwa chochote wanachotaka kutufanyia ambacho hakina maslahi kwa Uchumi wetu.
Kuwazui mpakani ni hatua Moja nzuri Sana haiwezekani watuharibie Biashara kiasi hicho. Ni mtoto goigoi tu na mnafiki na asiyejielewa baba yake atapigwa na jirani halafu amwambie baba yake jifungie ndani ulie. Mtoto jasiri atamwambia baba yake toka mpige sisi watoto wako tupo nyuma yako.
Ni kawaida mataifa ya magharibi kutumia mataifa dhaifu kupenyeza sera zao. Hebu sikilizeni Bill Gates alisema baada ya wiki tatu tutaokota maiti mtaani leo Ni wiki ya tano hatujaokota maiti Kama alivyosema. Marekani wametoa Security alert kuonyesha kuwa Tanzania karibia Nusu wameambukizwa lakini si ukweli na Hawa wote wanamtumia Kenya ku justify hayo. Ndio maana baada ya kuwapiga pini Muingereza kajitokeza haraka Balozi wake kasema kutakuwa na ndege za kuwarudisha waingereza kwao as If hapa kwetu Korona imetumaliza kabisa. Kenya kiuchumi ni maadui zetu na hutumika pia na maadui zetu kutumaliza. Sasa jiulize kwa nn huyo Balozi wa Uingereza naye harudi kwao au yeye ana dawa ya Corona?
Kasomeni John Perkins kupitia kitabu chake Confession of an Economic Hit man anatufunulia jinsi sera ya Conspiracy inavyofanya kazi. Ndio maana Rais wetu alivyowaambia Kama kweli wana nia ya kutusaidia mabeberu watusamehe mkopo lakini wakakataa wao wanalazimisha tukope. Kenya tayari wameshalamba mkopo ambao hata raia wao hawauoni na Kuna tetesi za Ufisadi kwenye mkopo wenyewe. Kwani hamuwaoni wakigombania Chakula na kuchoma matairi huko Gharisa?
Kwa siku za karibuni msimamo wa Tanzania kwenye rasilimali zake umekuwa tishio kubwa Sana kwa baadhi ya mataifa ya magharibi.
VIJANA NIWAKUMBUSHE.
Nationalism ile hali ya kuliweka taifa lako mbele kabla ya mataifa mengine na kuliona ndilo taifa bora kuliko mengine duniani na upo tayari kufa kwa ajili ya taifa lako. Huku patriotism ikiwa ni ile hali tu ya kawaida ya kulipenda Taifa lako kwa kuwa wewe ni mtanzania na huna identity nyingine zaidi.
Narudia kinachonishangaza ni mtu level ya Graduate kutokuelewa hili. Hawa ndio nawaambia waombe uraia Kenya watuache Kwanza Hali ikiwa shwari watarudi.
Tulipende Taifa Letu kabla ya Kenya..... Na Kama unaipenda Kenya Sana unaweza kuomba Uraia watakupatia.
View attachment 1461810
Huyu aliyeandika uzi huu nadhani atakuwa ni Profesa wa mambo ya uchumi na uhusiano wa kimataifa, kama discipline yenye jina hilo ipo hapa duniani. Natamani kungekuwa na namna ya kuwa-tag automatically members wote wa JF ili wasome uzi huu
cc: Kiranga
cc: Nyani Ngabu
 
Shida Rais Magufuli ataondoka atakuja mjinga mmoja kuigeuza nchi shamba la bibi tena,Mabeberu watavuna kwa hasira zote,
Round hii wakituwekea rais mpumbavu tutamuondoa kwa nguvu ya umma
 
Tanzania tuna mifugo mingi kuliko majirani zetu lakini ajabu nyama na maziwa kwetu bei kubwa kuliko majirani zetu. Tatizo liko wapi? Kwanini tunaumizana sisi wenyewe!!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu lengo la maisha mbali nakuendelea kustaarabika,lakini pia ni kusurvive,sisi kama tz yenye aina nyingi ya raslimali,tulionelea ni vyema tukaishi vyema na wadogo zetu,si kenya peke yake.

kwa kutumia udhaifu huu kenya kwa mkusudi kabisa,wanachukulia kama ni ujinga tulio nao dhidi yao,wao ni werevu kutuzidi.bahati waliyo nayo miaka yote ni kuwepo viongozi watulivu.

sasa mwaka huu sijui nini kitatokea,ila ninavyofahamu ni kwamba wanaweza wakajikuta wanpoteza vingi,maana yuko kila sehemu EA.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Miaka ya 1776 Jasusi wa Kimarekani William Carmichael alitumwa na Taifa lake kwenda kutafiti na kujua ni kwa namna gani USA inaweza kuteka soko la Tumbaku Duniani ambalo lilikuwa limeshikiliwa na bara Ulaya. Kipindi hicho Ukraine ilikuwa ikizalisha tumbaku Bora kabisa na nyingi Duniani.
Jasusi huyu alitokea kwenye kitengo Cha Economic intelligence. Economic intelligence ni kitengo katika mashirika ya kijasusi mengi duniani lakini department hii hudili na kuangalia threats za nchi husika kiuchumi. Hawa hutafiti, huchunguza mataifa Mengine kuhusu Uchumi wao na namna ya kuudidimiza. Marekani wao kwa Sasa Taifa ambalo linavhunguzwa Sana ni China na Korea Kaskazini. Lengo ni kuwadhibiti wasiliteke soko la Dunia kwa bidhaa zao au wasiibuke Kama super power duniani.
Sio nchi kwa nchi tu huchunguzana Bali hata Kampuni na Kampuni zinazozalisha bidhaa za aina Moja huchunguzana. Nafikiri unakumbuka mgogoro wa Simu za Huwawei na Kampuni la Google.
Kwa Africa Mashariki Kenya ni mojawapo ya Taifa ambalo limewekeza kwenye Economic intelligence, na Taifa tishio kwao ni Tanzania. Tukumbuke Tanzania ina rasilimali nyingi kuliko Kenya, ina nufaika na Geographical location yake na pia hatuna ukame Sana.
Kenya wanajua wazi kuwa isingelikuwa bandari ya Daresalam na Tanga Basi wao wangenufaika Sana kupitia bandari ya Mombasa. Bandari zetu zinapunguza Sana bidhaa za mataifa Mengine kupitia Kenya hili kwao ni tishio.
Kenya wanajua kabisa Kama sio vivutio vyetu tulivyo navyo Basi wao wangeongoza kwa utalii Africa Mashariki na wangelipiga pesa nyingi Sana kwenye utalii.
Labda vijana wengi si wafuatiliaji wa Mambo, lakini nitawapa mifano tu ya hivi karibuni kwa lengo la kuelewa ninachoandika.
Mwaka juzi madereva wa Tanzania wa utalii pamoja na kuwa walifuata taratibu zote walinyimwa kuchukua watalii waliokuwa wanakuja Tanzania kutalii ambao wakashukia Kenya. Tanzania ilivumilia kwa Muda lakini ilifika mahali tukajibu kwa kupunguza trip za Kenya airways kuja nchini. Walipoona hivyo wakaondoa lile zuio la madereva wetu wa utalii kuingia Kenya. Ndio maana nchi iliwekeza Sana kwenye Kununua ndege kwa kuwa ili ujitawale vizuri lazima uwe na uwezo wa kushindana angani, ardhini na majini.
Mwaka 2018 tuliingia nao tena Mzozo wankiuchumi tukigombea bomba la mafuta toka Uganda lipitie wapi. Wakenya walipiga trip Sana kwenda Uganda kwa mzee Museven hatimaye tukawashinda Tena kwenye Vita ile.
Ni kwa tabia kuwa Tanzania Haina fitna za kiuchumi kwa mataifa Mengine lakini wenzetu Kenya wao wanajua kuwa Tanzania ndio nchi ambayo ni tishio kwa Uchumi wao.
Nendeni kwenye Sector ya Kilimo Cha kahawa kwa mikoa ya Kaskazini, Kenya wametupiga Sana kwenye Ajira. Pamoja na kuwa chuo chetu Cha SUA kinazalisha wataalamu lakini mameneja karibia wote ngazi za juu ni wakenya. Ulizeni watanzania wanaofanya kazi kwenye mashamba hayo muone wanavyonyanyasika.
Hivi mnawafuatilia wakenya wanavyotudharau? Nani haoni haya? Tunaimbishwa nyimbo na wakenya nasi tunaimba? Tuache kukaa Kinyonge sisi ni Taifa huru kabisa. Tutawajibu kwa chochote wanachotaka kutufanyia ambacho hakina maslahi kwa Uchumi wetu.
Kuwazui mpakani ni hatua Moja nzuri Sana haiwezekani watuharibie Biashara kiasi hicho. Ni mtoto goigoi tu na mnafiki na asiyejielewa baba yake atapigwa na jirani halafu amwambie baba yake jifungie ndani ulie. Mtoto jasiri atamwambia baba yake toka mpige sisi watoto wako tupo nyuma yako.
Ni kawaida mataifa ya magharibi kutumia mataifa dhaifu kupenyeza sera zao. Hebu sikilizeni Bill Gates alisema baada ya wiki tatu tutaokota maiti mtaani leo Ni wiki ya tano hatujaokota maiti Kama alivyosema. Marekani wametoa Security alert kuonyesha kuwa Tanzania karibia Nusu wameambukizwa lakini si ukweli na Hawa wote wanamtumia Kenya ku justify hayo. Ndio maana baada ya kuwapiga pini Muingereza kajitokeza haraka Balozi wake kasema kutakuwa na ndege za kuwarudisha waingereza kwao as If hapa kwetu Korona imetumaliza kabisa. Kenya kiuchumi ni maadui zetu na hutumika pia na maadui zetu kutumaliza. Sasa jiulize kwa nn huyo Balozi wa Uingereza naye harudi kwao au yeye ana dawa ya Corona?
Kasomeni John Perkins kupitia kitabu chake Confession of an Economic Hit man anatufunulia jinsi sera ya Conspiracy inavyofanya kazi. Ndio maana Rais wetu alivyowaambia Kama kweli wana nia ya kutusaidia mabeberu watusamehe mkopo lakini wakakataa wao wanalazimisha tukope. Kenya tayari wameshalamba mkopo ambao hata raia wao hawauoni na Kuna tetesi za Ufisadi kwenye mkopo wenyewe. Kwani hamuwaoni wakigombania Chakula na kuchoma matairi huko Gharisa?
Kwa siku za karibuni msimamo wa Tanzania kwenye rasilimali zake umekuwa tishio kubwa Sana kwa baadhi ya mataifa ya magharibi.
VIJANA NIWAKUMBUSHE.
Nationalism ile hali ya kuliweka taifa lako mbele kabla ya mataifa mengine na kuliona ndilo taifa bora kuliko mengine duniani na upo tayari kufa kwa ajili ya taifa lako. Huku patriotism ikiwa ni ile hali tu ya kawaida ya kulipenda Taifa lako kwa kuwa wewe ni mtanzania na huna identity nyingine zaidi.
Narudia kinachonishangaza ni mtu level ya Graduate kutokuelewa hili. Hawa ndio nawaambia waombe uraia Kenya watuache Kwanza Hali ikiwa shwari watarudi.
Tulipende Taifa Letu kabla ya Kenya..... Na Kama unaipenda Kenya Sana unaweza kuomba Uraia watakupatia.
View attachment 1461810
Tunahitaji watu kama wewe!

Tatizo la vijana wa kitanzania wanaweka siasa mbele Taifa nyuma, huwa inakera mithili hakuna!

Wamepofushwa na siasa na kusahau Taifa lao!

Ifike mahali watanzania tujitambue, tuwe wazalendo angalau kama wanyarwanda, huwezi kuta mnyarwanda ana kebehi nchi yake hata kama ina udhaifu labda awe banyamulenge! Nimekaa nao hawa watu, wamefunzwa hivyo popote walipo!

Tubadilike watanzania hatuna Mjomba huko nje, tuko all alone, tena tuna vita Kali sana ya kiuchumi Kwa kuwapokonya hawa mabeberu madini na maslahi yao hapa kwetu tena huku kukataa kufuata masharti yao ndio kabisa wanapagawa kutuchafulia sifa njema ya nchi yetu kupitia balozi zao na vibaraka wao majirani zetu!

Mungu ibariki Tanzania!
 
mkuu lengo la maisha mbali nakuendelea kustaarabika,lakini pia ni kusurvive,sisi kama tz yenye aina nyingi ya raslimali,tulionelea ni vyema tukaishi vyema na wadogo zetu,si kenya peke yake.

kwa kutumia udhaifu huu kenya kwa mkusudi kabisa,wanachukulia kama ni ujinga tulio nao dhidi yao,wao ni werevu kutuzidi.bahati waliyo nayo miaka yote ni kuwepo viongozi watulivu.

sasa mwaka huu sijui nini kitatokea,ila ninavyofahamu ni kwamba wanaweza wakajikuta wanpoteza vingi,maana yuko kila sehemu EA.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Nani yuko kila mahali EA na kivipi?

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom