kuangalia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wanapenda kuangalia maziwa?

    Hivi kwanini wanaume hupenda kuangalia maziwa ya mwanamke. Hii tabia inakera sana unakuta mtu unamheshimu kama kaka au ndugu, wakati wa kuongea nae badala ya kuweka concetration katika kile mnachoongelea yeye anaanza kukodolea macho kifuani (maziwa). Hii tabia inakera ipo siku nitakuja kumtemea...
  2. JamiiForums Tanzania Wale tunaongoja kuangalia Euro kupitia ZBC 2 mashaka lukuki

    Wakuu bado Nina mashaka sana kama hii Euro itanoga maana hiki kituo huwa hakuna picha angavu kama za wenzetu dstv lakini pia kabla ya mechi tunaweza kosa uchambuzi uliotukuka wa mechi badala yake tutakuwa tunawekewa Busati la mtoro mara msitu wa Jozani na historia ya mtume haya nadhani yanaweza...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kufuatia suala la RC wa Simiyu, Kuna haja ya kuangalia upya umri wa wasichana kushiriki ngono kisheria. Tutafungwa wengi.

    Watoto wa kike wa sasa hivi si sawa na zamani, macho yao yako juuu juu kama wapiga debe wa stendi. Wako kwenye sare za shule lkn mishe yao ya kingono si ya kitoto. Kwa mfano huyo msichana alikuwa anafanya nn kwenye gari ya RC manane ya usiku? Unadhani alilazimishwa kuwa humo? After all, kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: Tunatakiwa kuangalia vyama vyetu ya Siasa vina maslahi gani dhidi ya Rushwa

    Katibu Mkuu ACT Wazalendo Ado Shaibu akiwa kwenue mjadala wa X (Twitter ya JamiiForums) ametoa mchango wake kuhusu rushwa. Akitoa hoja hiyo anasema: Tunatakiwa kuangalia vyama vyetu ya Siasa vina maslahi gani dhidi ya Rushwa, mfano huko nyuma Rais wa Awamu ya Tano aliwahi kutaka kurasimisha...
  5. JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu nazo zinapaswa kuangaliwa ajira portal?

    Wakuu naomba kuuuliza Hadi UALIMU nao AJIRA zinatumwa uko tena NI nafasi 158 tu au nmekosea kuona mwenye uzoefu atueleze kuhusu Hilo tafadhali
  6. JamiiForums Tanzania Unaweza kuangalia kama hela yako inawekwa NSSF kwa njia ya mtandao?

    Habari wakuu Hivi ni namna gani unaweza kuangalia kama mwajiri wako anaweka hela NSSF kila mwezi online ,yaani Kama Kuna app ,au kwenye ya website ya nssf hio huduma ipo ?. Naomba kujua na ni kwa namna gani
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya kuangalia hii movie sio siri Wajapan kwenye swala la Movie Production ni hatari sana, hata Hollywood wanafunikwa

    Muvi ya Godzilla minus one sio sound sio visual vyote ni ya viwango vya juu sana, Wajapan nimewavulia kofia. Rasmi ntaanza kufatilia na kuangali muvi zao Maana Hollywood siku hizi muvi zao zimejaa uchoko na content za ajabu ajabu tu. Naombeni mnitajie muvi Kali na nzuri zilizoandaliwa Japan...
  8. JamiiForums Tanzania Njia bora kabisa ya kukijua kingereza ni kuangalia movies zenye subtitles

    Download series fuatilia ukizingatia kuna maneno utayajua kupitia movie Kwa mfano mimi neno concubine (mke mwenza) sikuwahi kuliona popote isipokuwa kwenye tamthilia ya jumong. Kwa sasa namalizia Tom rider Maneno mengi nayakumbuka.
  9. JamiiForums Tanzania Kwa hali inayoendelea sasa nchini wananchi wanaenda kwenye mikutano ya kisiasa kusikiliza sera au kuangalia Wasanii?

    Habari zenu Wakuu, Kwa hizi siasa zinavyoendelea nchini sidhani kama raia wanaojaa kwenye mikutano ya kiasiasa wanakuwa wanaenda kweli kusikiliza sera, hasa wale wanaojaza wasanii kibao utafikiri wanafanya tamasha. Kila mtu sasa hivi ni chawa, viongozi ni chawa ili kubakia kwenye nafasi zao...
  10. JamiiForums Tanzania Kama pesa zinaibwa na mashirika yanaingia hasara kuna haja gani ya kuendelea kuangalia rundo la uzoefu?

    Report za CAG zinatoka tunashuhudia hasara kwenye mashirika na pesa zinaibiwa. Kuna haja gani ya kuendelea kuhitaji watu wenye uzoefu mkubwa kusimamia hayo mashirika? Ndugu wanajamii forum hao watu wenye uzoefu tunaowatafuta uzoefu wao unafanya kazi gani?
  11. JamiiForums Tanzania Nimegundua idadi kubwa ya Watanzania au Africa tumetumia camera moja kuangalia shuti la Ki Aziz

    Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi. Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani. Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Yanga fans msipoteze muda na pesa kuangalia match ya sundowns. You will be disappointed

    with how guede and gamondi plans works. don't waste you hard earn money kwa hii game. 1. GAMONDI WILL DISAPPOINT YOU. amini atakuja na plan mbovu . unbelievable plans. with guede up front mtashangaa.. he will lose the game. pathetic of a manager. no tactics. brainless guede mind guy if we are...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa kuangalia uchangiaji wa mada nimegundua watumiaji wengi wa JF hutumia device za maofisini mwao

    Ukifuatilia uchangiaji wa mada kwa siku za kawaida za wiki na za weekend utaona mada nyingi hupata wachangiaji wengi kwa siku za ijumatatu mpaka ijumaa. Ijumamosi na jumapili wachangiaji huwa wachache na mada hazitembei sana. Hii imenifanya kuhitimisha kwamba wachangiaji wengi wa JF wanalogin...
  14. JamiiForums Tanzania WanaJF wengi wanaandika maoni yao kwa kuangalia “reply” za mwanzoni ? No critical thinking

    Watu wanajinasibu kua critical thinkers lakini si kweli, wengi ni bendera kufata upepo, Kwanini mtu anapoona andiko asilifikirie kisha akaandika kile anachokiona? Badala yake anaandika kutokana na mkumbo wa reply za mwanzo? Mada pekee utaona watu wanatifautiana regardless ya comments za...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wanakosoa wakikutana na kijana anaangalia katuni? Kuna umri unaopaswa kuacha kuangalia?

    Kuna umri maalum wa kuangalia katuni? Kwanini watu wengi wanakosoa wakikutana kijana akiangalia katuni?
  16. G

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusikia vitu kama mchanga unamwaga batini usiku wa manane nimetoka nje kuangalia ila sioni kitu, nini tatizo?

    Nipo mkoani kikazi kuna ki apartment nimelipia mimi na mwenzangu mwezi japo kazi ni ya wiki 2 tu, tumeishi wiki moja bila tatizo ila kuanzia usiku wa juzi kulikuwa na shida, ni kama kuna ndoo iliyojazwa mchanga inamwagwa juu ya bati. Siku ya juzi nilidhani labda ni ndege au mnyama...
  17. JamiiForums Tanzania Haya majina ya wanaCCM wanaotaka kuwa maaskari ni ya kweli?

  18. JamiiForums Tanzania Kuna haja kwa mamlaka husika kuangalia upya mikopo ya mitandaoni

    Kwa uelewa wangu mdogo ili mtu uweze kuwa mdhamini ni sharti kwanza umjue unaemdhamini na pili uridhie kuwa mdhamini. Lakini kwa siku za hivi karibuni kumetokea mchezo wa makampuni ya kutoa mikopo mitandaoni kuwasiliana na watu out of nowhere kwa madai kuwa wao ni wadhamini wa mtu fulani...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi mnawezaje kuangalia mechi bila sauti?

    Kuna wakati huwa najaribu kwenda chimbo tofauti, ukiacha na zile zenye hadhi ya vibanda umiza ili kucheki mechi, moja ya jambo lililonishinda ni kuangalia mpira bila sauti ya mtangazaji na mashabiki wa uwanjani. Mfano kuna chimbo moja nilitokea kulielewa ila kilichofanya niache kwenda eti...
  20. JamiiForums Tanzania Kuangalia picha za ngono wakati wa punyeto inaweza kumpelekea kijana kufikiria mambo ya ushoga

    Mwanzoni Kijana anapobalehe anapiga punyeto acapella yaani hata akiwa anaoga bafuni anajichua akiwa amesimama na anaridhika.Ila siku zinapozidi kwenda Kijana anapata smartphone na muda wote yuko nayo anaanza kuangalia porn regularly akiwa tu kitandan macho yake yaliyojaa uzinzi yanampeleka site...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…