Kwanini watu wengi wanakosoa wakikutana na kijana anaangalia katuni? Kuna umri unaopaswa kuacha kuangalia?

12345609

New Member
Jan 30, 2024
4
2
Kuna umri maalum wa kuangalia katuni?

Kwanini watu wengi wanakosoa wakikutana kijana akiangalia katuni?
 
Baadhi ya vitu haupaswi kuvitilia maanani.

Kuna watu hujidai wao ni akili kubwa kwasababu hawafanyi a au b, ila ni akili ndogo tu!
 
Back
Top Bottom