kuangalia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maseneta wawili wa Marekani wataka Marekani kuangalia upya mahusiano yake na Tanzania baada ya Maandamano ya Oktoba

    Wakuu Hivi ndo kusema kwamba tunaenda kutengwa kimataifa? Maseneta wawili wa Kamati ya Mahusiano ya Kigeni ya Seneti ya Marekani wameitaka Marekani kutathmini upya uhusiano wake na Tanzania kufuatia ukatili uliofanyika wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Chanxo; Risch, Shaheen...
  2. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nilijiona mbabe wa kuangalia Horror movies, ila haya yamenishinda

    Mtoto anakimbia na mama yake anapigwa shaba anakufa taratibu huku anaona analia mama amka..? Kijana anakufa taratibu wakati utumbo wote umemwagika nnje?? Watoto wanalia mamayao kafuatwa hadi ndani kapigwa shaba wanalia juu ya damu iliomwagika??? KWASASA SITOANGALIA VIDEO NYINGINE KWA...
  3. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Usiombe kuangalia mechi kwa TV alafu kuna jirani yako yeye anasikilizia kwa redio pia kaweka sauti kubwa , inakera mnoo.

    Mjini redio zinafanya nini? si mrudi kijijini mkalime.
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wikiendi hii chukua muda wa kuangalia hizi SPY MOVIES 6 na hautojutia

    1: THE GOOD SHEPHERD Mwamba anachukuliwq kutoka chuo ili kuwa sehemu ya CIA, anaanzia kazi nyumbani kugundua maspy wa kinazi marekani hadi kupelekwa ujerumani kupambana na maspy wa kirusi. Jamaa ni mtiifu kwa CIA hadi ilifikiwa wakati alimuua mchumba wa mtoto wake baada ya kugundua ni spy...
  5. M

    JamiiForums Tanzania kwenu waraibu wa punyeto, acheni kuvuta hisia kwa kuangalia porn ni bora ujiwaze wewe ni muhusika kuliko mwanaume mwengine

    Heri nusu shari kuliko shari kamili Punyeto na porn ni mambo mawili ambayo yamekuwa tatizo kubwa hasa katika zama hizi za teknolojia za smartphones unazoweza kutumia ndani ya blanketi, chooni, vyumbani, n.k.. wengi wanaopiga punyeto wamejikuta wakiingia kwenye uraibu mwengine wa kuangalia...
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Kumpata Bingwa Kwa kuangalia Head to Head endapo timu ziki tie poinits, ni wa ovyo

    Bodi ya ligi wamepitisha kanuni za kuendesha ligi msimu huu Moja ya kanuni za ovyo ni kumpata bingwa Kwa kuangalia H2H badala ya goals different, au kuzingatia ushindi wa michezo ya ugenini Binafsi naona ni utaratibu wa ovyo maana kwenye ligi hazishindani timu 2, wangechukua kigezo cha Goals...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Unapotaka kuhamia sehemu au kununua makazi, kuna umuhimu wa kuangalia aina ya majirani?

    Unahama kutoa sehemu A kwenda B, kuna umuhimu wa kuangalia utapakana na majirani wa aina gani?? Kabila au dini zao?? Financial status?? I'm just asking.
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Angalia watoto wa Gaza wanavyokufa kwa njaa mikononi mwa mama zao mbele ya macho ya wenzao huku dunia ikiwa haitaki kuangalia.

  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Angalia watoto wa Gaza wanavyokufa kwa njaa mikononi mwa mama zao mbele ya macho ya wenzao huku dunia ikiwa haitaki kuangalia.

  10. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu sehemu nzuri Dar ya kuchill, kuangalìa mpira na chakula

    wakuu niko dar ni mgeni wa jiji naombeni mnambie sehemu nzuri kuchill kula na kuangalia mpira asanteni
  11. asa16

    JamiiForums Tanzania Websites au livestreaming app za kuangalia mpira

    Kuelekea msimu mpya wa EPL kama kutakuwa na mtu anafahamu best livestreaming app, unaweza ukaziweka hapa ili tufaidike wote
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Mbowe ametanguliza Watoto kuangalia kama watafaulu

    Mahojiano haya ya Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Seleman Bungara (Bwege) alifanya mahojiano na East Africa Radio ambayo yalirushwa hewani Juni 10, 2025, aligusia kuhusu hali ya siasa inavyo upande wa CHADEMA.
  13. kadiri kasimba

    JamiiForums Tanzania UTAPELI: njia za kuingiza kipato Kwa kuangalia video tiktok,YouTube na kulipwa!

    Salamu wakuu! Picha linaanza unafatwa kwenye comment labda umechangia mada flani TikTok Kuna Fursa ya kujiingizia kipato Kwa siku kama itakupendeza niandikie neno nifundishe wanaweka na namba ya kumcheki, Sasa ikishamcheki direct atakutumia video nyingi za kukuonesha watu wanavyo ingiza...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mama Gwajima, sunday schools na day care zimekuwa nyingi, nakushauri unda task force za kuwatembelea kwa kushtukiza kuangalia mienendo yao.

    Dkt. Gwajima D Watoto wadogo ni rahisi kupelekeshwa kwa namna isio sahihi. Ingawa usalama wa watoto hawa unakuwa jukumu la wamiliki pale watoto wanapokuwa shule ila tunahikkishaje kama wanazuzingatia kisahihi? Amid kuwepo na ripoti za wafanyakazi wa hizo day care na wapita njia kuwarubuni...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Balozi 10, Jumuiya, Asasi za kimataifa za ruhusiwa kuangalia uchaguzi mkuu wa October

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza orodha ya Taasisi na Asasi 164 zilizopewa vibali vya kutoa elimu ya mpigakura kuelekea Oktoba mwaka huu. Taasisi na Asasi hizo zitakuwa na jukumu la kutoa elimu ya mpigakura kwa ajili ya uchaguzi wa Rais,Wabunge na Madiwani. Orodha hiyo...
  16. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwl Nyerere alipiga marufuku waTanzania kuangalia Tv?

    Hili ni swali mtu yeyote mwenye Majibu achangie Imagination zangu Baada ya uhuru wa Tanzania watu wengi hawakuwa na elimu wala shughuli yeyote ya kiuchumi, ujinga na umasikini ulikuwa kwa asilimia 99% Nyerere akaona kuwaruhusu watu hawa kuangalia Tv ni kulizika Taifa mchana kweupe Akaamua...
  17. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Wenye Kuangalia Hii Tamthilia Naomba Kujua Jina la Huyu Mama Please

    Salaam/Shalom...! https://youtu.be/aURJp25qtdg?si=0--FAtawwgNmjrnd
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Baadhi wametumwa kuja kuangalia msimamo na mawazo ya wananchi, wala tusiwabeze, ndo kazi inayowaweka mjini.

    Mko salama wanajamvi? Niende moja kwa moja kwenye mada Kuna ndugu zetu humu, tunaweza kuwa tunawabeza, kuwatukana, kumbe maskini wa Mungu wametumwa kuangalia comments za wananchi. Ndo maana ukifatilia mada zao ni kuponda upande wa pili na kusifia tu CCM. Hata kama watu wanauwawa, wanatekwa...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Unajiandaa kuangalia fainali ya kukumbukwa ukiwa wapi?

    Leo ni siku muhimu na maalum sana kwenye ulimwengu wa soka Tanganyika pale Mnyama Simba mwakilishi pekee wa kimataifa Tanganyika... Atakaposhuka dimbani huko Morroco kumenyana kwenye fainali za CAF Ni siku maalum sana kwa SIMBA kwakuwa ilifanikiwa kufika hatua hii miaka 30 iliyopita Ni siku...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Jean Baleke anazunguka tu kuangalia match za Mikia. Mazoezi anafanya kweli?

    Matches nyingi za Simba wakicheza hapa KMC Baleke Jean anaenda kuangalia. Ina maana yeye hafanyi mazoezi na wenzie?
Back
Top Bottom