kuangalia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Wangapi humu tumeangalia movies nyingi mpaka tunahangaika Kutafuta Mpya

    Hii Ndio Inaitwa hakuna jiwe litaachwa limesimama, kilichobaki labda Trailers Tu ! Ukiomba ushauri wa movies za genre unayoipenda unakuta kila movie ulishaivamia kitambo Hadi upate muvi mpya ni shughuli pevu
  2. Stability

    JamiiForums Tanzania Mi ningekuwa shabiki wa arsenal hata nisingehangaika kuangalia maana hakuna mahala wanakwenda

    ,🤣 Active nipigwe ban ya mwezi kama asenyo akienda fainali
  3. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuandaa Questionnaire ya Research yako na vitu vya msingi vya kuangalia

    Moja kati ya hatua muhimu sana unapokuwa kwenye process ya kufanya research, especially hii aina ya quantitative huwa ni kipengere cha kuandaa questionnaire. Lakini ukweli ni kwamba kuandika questionnaire huwa siyo tu kitendo cha kuamka unakukusanya maswali kama unavyoonaga walioandaa na...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Fursa: Nafasi 700 za Kazi za Kuangalia Wazee New Zealand

    Fursa: Nafasi 700 za Kazi za Kuangalia Wazee New Zealand (Kupitia Danvast Career Search) Habari wanajamii, Nimekutana na tangazo la kazi ambalo naona linaweza kuwasaidia baadhi yetu humu. Kuna nafasi 700 za kazi za kuangalia wazee (Caregiver Jobs) katika nyumba za kulelea wazee New Zealand...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Jifunze kuangalia message ya miamala kwenye simu ya mke/mwanamke wako

    Wakuu kuna siku unaweza Kuja ukalala njaa kumbe mkeo ana fedha ya kutosha na akabunda kimya bila kukutaarifu, Unakuta ana milion Lakini pia ni vyema kufanya ambush phone searching mara moja moja ili ujuwe, mustakabali 🥶NB kama una moyo mdogo Usijaribu kusearch simu ya mke wako Ila wake...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Badala ya kutumia *106# kuangalia namba zilizosajilowa kwa NIDA ni bora kutumiwa ujumbe mfupi kila namba mpya inaposajiliwa ili kupunguza wahuni.

    Kumekuwa na michezo ya kusajili line bila idhini ya mwenye kitambulisho, umeenda kusajili laini unaambiwa rudia tena kuweka vidole kumbe nyuma ya pazia kuna namba imesajiliwa bila idhini yako, wehalifu wengine wanaweza kutunza alama za vidole kusajili bila wewe kuweka vidole. Namba hizi...
  7. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Hemed Morroco huwa unaenda mikoani kuangalia mechi za nini kama kikosi unaita hivi?

    Jamani ivi kweli BWENZI & CHIKOLA ni wakuachwa national team Aya na YONA AMOS JE? KIBU DENIS NA IDDY NADO wameitwa kwa vigezo vipi wakuu? Hapo kocha wangu umepuyanga kwakweli
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Kuna sababu ya kuangalia makabila yanayostahili kushika u-rais

    Ukiangalia utendajikazi wa marais waliopita na kona za nchi walikozaliwa na kukulia, utaona wazi kwamba kuna maeneo ya nchi hii hayastahili kabisa kupewa nafasi ya urais. Hili siyo suala la ukabila au dini, ni jambo linalotokana na makuzi ya watu, ndani yake kukiwa na mila. Tujadili bila...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kama mechi ya Yanga na Simba haitakuwepo kama ilivyopangwa. Je waliolipa fedha zao kuangalia mechi hii watarudishiwa fedha zao?

    Kuna taarifa zinazozunguka kwenye mitandao kuwa mechi kati ya Yanga na Simba haitakuwepo kwa sababu Simba wamesusia mechi hii kwa sababu wananazozijua wao wenyewe. Swali langu. Kama mechi haitakuwepo. Je wale waliolipa fedha zao kwa ajili ya kuangalia mechi hii, watarudishiwa fedha zao?.
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo mke wako anavyo imagine kama ukimuaga kuwa unaenda kuangalia mechi na washkaji.

  11. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kuangalia movie za binadamu kuuana nimeamua kwenda na hii

    Wasalaam wana JF. Ni muda mrefu sasa (zaidi ya miaka 30) nimekuwa mshabiki wa movie za vita, uhasama, ubabe na umafia kati ya bin adam na bin adam ila imetokea ghafla kuanza kuona hakuna jipya kwani nikutafuta sifa baina ya mtu na mtu au taifa fulani na jingine. Nimeamua kwenda na hii...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Sio kila mwanaume anaenda chooni kujisaidia, wengine kuangalia Salio. Mabinti kuweni makini sana na hizo ofa mtalia

    Hili ni angalizo kuelekea wikendi. Mabinti, msiwaamini sana wanaume! Kama mna hela, hakikisheni mnakabeba. Sio kila mwanaume anayeenda chooni anaenda kujisaidia, wengine huenda kuangalia salio lililobaki. Wengine wakiona bili ni kubwa, wanatafuta njia ya kutokea karibu na choo. Nawaambia...
  13. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Azam TV Max Kuna utapeli mwingi watu wanasajili kupitia decoder za watu wengine Free of Charge kuangalia vipindi bure azam Media wanahusika.?

    Habari ndio hiyo. Mjumbe hauwawi azam Media. Kuna malalamiko watu wanasajili azam max kupitia namba za visimbuzi ambavyo si vya kwao. Je taarifa hizi wanazipata wapi kama si kwa Wafanyakazi wenu? Naomba hili suala lichukuliwe siriazi huu ni wizi kama wizi mwingine wa kimtandao. Serikali naomba...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ipi unaweza kuangalia na familia yako?

    Kama isomekavyo Azam tv tamthilia ipi waweza angalia familia nzima 1. Nambari 10 2. Alicia 3. Evermore 4. Kombolela Tuanze na hizi kwanza
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi Kombo awakaribisha Wafanyabiashara wa Czech kuangalia fursa za uwekezaji nchini Tanzania

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewakaribisha wafanyabiashara wa Czech kuangalia fursa za uwekezaji nchini Tanzania katika sekta za utalii uchukuzi, afya, TEHAMA, nishati, madini na elimu. Waziri Kombo alitoa mwaliko huo alipofanya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Maumivu makali ya mgongo ninapoinamisha Kichwa chini au kuangalia juu

    Habari wanajf, Nimekuwa na maumivu ya mgongo kwa siku tano sasa, hasa katikati ya mgongo upande wa kushoto. Maumivu huongezeka ninapokaa, kusimama, au nikiinamisha kichwa chini au kuangalia juu. Pia, maumivu hujitokeza hata ninapolala au kukaa. Naomba ushauri, je, hali hii inahitaji matibabu...
  17. Ndesalee

    JamiiForums Tanzania KERO Kutopatikana kwa mfumo wa kuangalia madeni ya makosa barabarani (TMS Check)

    Ni muda mrefu sasa, yapata mwezi mfumo wa TMS Check wa polisi kitengo cha usalama barabarani haupo hewani. Hii inapelekea usumbufu kwa dereva kwa kutoweza kuangalia mwenyewe kama ameandikiwa fine ama lah. Hii hupelekea dereva kupata adha awapo barabarani ya kusimamishwa na trafic barabarani na...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Athari za kutokuwa na kaba ya ulimi, kuongea kwa Lissu bila kuangalia ni kwa kiasi gani unakipasua chama chako CHADEMA/unawagawa wanachama na wapenzi

    MAONI YANGU Tuna uzoefu mkubwa wa watu kuitikia michango inayoitishwa na Chadema katika kushghulikia wanachama/wapenzi wanaopata madhira kwa sababu ya kuwa upinzani. Tumeona ushirikiano mkubwa kutoka watu kufikisha kiasi fedha kinachihitajika kumlipia fine wanaokuwa wamebambikiwa kesi na...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Ni kwamba imeshindikana kutengeneza miziki, comedy, n.k. bila vionjo vya Ngono, Vilevi, n.k. ? Tunapata taabu sana kuangalia tv na watoto

    Imekuwa too much sasa, Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui ya ngono, vilevi, lugha chafu, n.k.
  20. S

    JamiiForums Tanzania kwani TCRA hawawezi kuangalia namna ya kuzuia namba mpya kutuma ujumbe kwenye namba ambayo haijawahi kuwasiliana nayo??

    Kumekuwa na hili swala la kupokea sms mfululizo kutoka kwa namba zisizojulikana, yaani ukikaa kidogo utaona mara "iyo hela tuma kwa namba hii" mara "mzee nani nani anatibu mvuto, pete ya nini sijui" hujakaa sawa mara "jiunge na chama chetu" mara " mimi mwenye nyumba wako" na nyingine nyingi...
Back
Top Bottom