kodi

  1. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ushuru wa Bandari ni kiasi gani?

    Habari, Kwa utashi, uzoefu, ujuzi na hekima zenu tafadhali naomba kufahamishwa taratibu na gharama za Ushuru wa Bandari wakati wa kutoa gari kwa Port ya Dar Es Salaam. Nimejipigapiga na kuagiza kagari toka Japan ambako gharama yake ya Ushuru wa TRA kwa mujibu wa TRA Calculator ni kama 4Million...
  2. Sales93

    JamiiForums Tanzania Kukatwa kodi kwa mizigo

    Habarini wana jamvi, Ningependa kufahamu kama kuna suala la kukatwa kodi na TRA pale unapoagiza mzigo toka Ebay au Amazon, mizigo kama simu, nguo, perfumes N.K, nitashukuru sana kwa msaada wenu wenye experience na hiki kitu.
Back
Top Bottom