Mwaka 2011 nilipewa elfu themanini (80000) na Rostam ya kula sasa endapo ilikuwa ni kodi ya wa Tanzania naomba msamaha

Cyangungu

Member
Nov 7, 2019
45
54
Mapema mwaka tajwa hapo juu niliambulia kiasi hicho cha pesa kutoka kwa gwiji RA kwa ajili ya soda na biscuits.

Muda huu nafsi imenisuta pengine nilikula ya kagoda au ya Richmond.

Kwa mantiki hiyo nakuja kwenu wa Tanzania kuwaombeni msamaha na nipo tayari kuirejesha.

Ee mwenyezi Mungu nisamehe
 
Kama alikulala akakulipa hamna tabu,ingekuwa mliingia nae bank kuu wakati Anavunja na kuiba sijui kagoda hapo ungekua na haki ya kuomba msamaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom