Kodi ya biashara iko vipi Tanzania

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
Nimefanya biashara ya vitenge kutoka Holland. Nilishirikiana na wenzangu mzigo ulishukia Ghana. Kwakuwa nilikuwa ninaanza, wateja walikuwa wananifuata nyumbani.

Nimewasiliana na kiwandani watakuwa wananitumia mzigo bandari ya Dar. Mzigo ni mkubwa, ni mpango wa kufungua duka la wholesale.

Nikishalipia mzigo bandarini na leseni ya duka, kuna kodi ya ziada?
 
Sky Eclat,
Kodi ipo ndio.. kuna IMPORT DUTY, TAX, VAT.. nafikiri ni zaidi ya hapo ila ngoja wataalamu wa mambo waje
 
Back
Top Bottom