kodi

  1. JamiiForums Tanzania Mwanaume kulazimisha utaratibu wa "Kodi ya Meza" kwa MKE ni kutafuta kuabudiwa sana. Ni utaratibu usiofaa

    Yes, Kuna taratibu nyingi kwenye jamii zetu, tumezaliwa tukazokuta na nyingine ni mila na desturi za kawaida na nyingine ni tamaduni za kidini. Baadhi ya hizi tamaduni zimejenga mazingira ya kuwaweka baadhi ya watu kuwa "Superior" bila hata sababu za msingi hususani wanaume. Mfano halisi ni...
  2. JamiiForums Tanzania Nadhani mahakama ni njia nzuri sana ya kukusanya kodi za ziada, sikuwa najua hili kabla

    Inapotokea kuna uhitaji wa kutekeleza miradi miwili mitatu ya maendeleo , mfano ukarabati wa barabara za mitaani au madaraja madogo madogo yasiyohitaji zaidi ya bilioni 1, nadhani pangekuwa panafanyika coordination na mahakama ili kuangalia ni nani na nani (wenye kesi na wenye uwezo wa kulipa...
  3. JamiiForums Tanzania Mabadiliko haya TRA aliyoleta Rais Magufuli hata aondoke leo yatadumu milele

    Kwanza kabisa nianze na swali, Kwa kasi hii ya mabadiliko katika mifumo mbali mbali hasa TRA, BRELA, BOT je kipindi cha nyuma tulikuwa hatuna watanzania wenye akili ? ama watu waliamua kuwa vipofu. Kama msomi na mchumi katika vitu ambavyo amefanya Raisi Magufuli ambavyo sitasahau ni 1...
  4. JamiiForums Tanzania Nyaraka muhimu pindi unapotaka kusajiliwa kama mlipa kodi TRA (TIN application)

    Habari wanabodi? Ni matumaini yangu makubwa kuwa hamjambo humu ndani na manaendelea na ujenzi wa Taifa letu na harakati za kusaka mkate wa kila siku. Bila kupoteza muda, ni kwamba kumekuwa na wimbi kubwa la wananchi kulalamika kuhusu usumbufu pindi wanapoenda kuomba kujisajili na namba ya mlipa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Sheria, VICOBA vinatakiwa kusajiliwa na kulipa kodi ya Serikali?

    Sheria ya Microfinance na kanuni zake inasemaje kuhusu vikundi vya watu kuweka fedha na kukopeshana yaani VICOBA(sio SACCOS)? Je,VICOBA vinatakiwa kusajiliwa? Na je,vinapaswa kulipa kodi? Kama vinapaswa kusajiliwa na kulipa kodi, kutosajili na kutolipa kodi adhabu yake ni nini?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Wachezaji sita wa Yanga watimuliwa kwa kushindwa kulipa kodi Kariakoo

    Yumo Sonso, Adeyumi, Makame na Balama. Yaani nyumba ya vyumba viwili na sebule wachezaji walikuwa wanaishi sita kukiwa na kitanda kimoja na magodoro. Hapo lazima lile moja alilopewa balama na GSM lilikuwepo. So sad kwa kweli, imebidi wahamie mkwajuni kwenye nyumba ya bei nafuu. GSM wanalipa...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba elimu juu ya Ulipaji wa Kodi zote stahiki za Kampuni baada tu ya kukamilisha Usajili na kuanza biashara

    Naelewa kuna kodi nyingi zinazostahili kulipwa TRA, ila kuna taratibu nyingi pia katika kuzilipa hizi kodi pamoja na kuandaa taarifa nyingi kwa nyakati tofauti katika mwaka. Naomba kwa wale wenye uelewa na hii elimu watupe katika mtiririko mzuri.
  8. JamiiForums Tanzania Serikali kama imeshindwa kuzuia biashara ya ngono basi iwatoze kodi wadada poa

    Nilipita kipenyo kimoja Sudan Temeke niliona mabinti wameweka mapaja nje wanatangaza biashara saa nne asubuhi. Nilijua ni hostel za wanafunzi kwa harakaharaka. Ila nilipounganisha nukta nikakumbuka na kufahamu kuwa wako pale kibiashara. Serikali yenye vyombo vya ulinzi na usalama zaidi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Rugemalila adai aliwaandikia barua TRA kueleza jinsi benki ya Standard Chartered ilivyokuwa ikikwepa kodi

    MFANYABIASHARA, James Rugemalira ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ameandika barua kwenda kwa Kamishna Generali wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), akielezea ni jinsi gani benki ya Standard Charter Hong kong walivyokuwa wakikwepa kodi na ushuru wa forodha. Rugemalira aliyaeleza hayo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu kodi za nyumba, gharama za maisha na hali ya uchumi

    Nianze kwa kusema kwamba suala hili sasa imefika wakati liwe na mjadala wa kitaifa ili tuweze kufanya sekta ya makazi iweze kuwa rasmi na zaidi ili kuhakikisha kwamba wananchi wanapewa makazi bora na wanaishi katika mzingira rafiki. Kuna ambao wanaweza wakafikiri kwamba watanzania wengi wana...
  11. B

    JamiiForums Tanzania NIDA pambaneni Watanzania wapate vitambilsho vya taifa ili tusikose kodi

    Nawapongeza NIDA wanavyopambana kuhakikisha kila Mtanzania anafanikiwa kusajili line yake. Kama mnavyojua mzunguko wa pesa sasa upo kwenye simu kitu kinchopelekea serikali na taifa kwa ujumla kupata kodi kutoka makampuni ya simu. Wananchi watakaofungiwa line zao itasababisha serikali kukosa...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Wapinzani Tukipewa serikali tutaanzisha kodi mahususi kwa mambo mawili

    Mwaka 2020 wapinzani tukishinda serikali tunawaahidi watanzania kuanzisha kodi mbili mahususi 1. Kodi ya Kuboresha Elimu 2. Kodi ya kuboresha Makazi Kodi ya kuboresha Elimu Miaka ya 80, 90 ilikuwa kusoma shule za serikali ni ufahali na kusoma shule za private ni fedheha lakini leo hii...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi serikali inapata kodi kwa manunuzi ya nje ya nchi yanayofanywa na Watanzania?

    Nimetoka kulijadili hili na mtu hapa, kwa mfano, nikilipia kitu Google Playstore au nikifanya in-app purchase yoyote, serikali yangu inapata chochote mle? Na kama jibu ni hapana, serikali hawaoni kuwa wanakosa kodi kubwa sana huko? Kipi kifanyike?
  14. JamiiForums Tanzania Shule za Msingi na Sekondari za binafsi kuwa na akaunti mbili za kulipia ada na michango mingine TRA iziangalie kwa jicho la tatu kodi zetu

    Katika kipindi hiki cha watu na taasisi mbalimbali kutakiwa kulipa kodi kwa maendeleo ya nchi ukwepaji wa kulipa kodi bado upo na ni muhimu kuangaliwa kwa makini Mfano shule ya msingi au sekondari kuwa na akaunti mbili tofauti inawezekana kabisa wakati wa auditing akaunti moja ikawa inakaguliwa...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA kukutana Mlimani City ni matumizi mabaya ya Ruzuku ambazo ni kodi za watanzania ina maana hawana Ofisi mpaka wafanyie kikao Mlimani City?!!

    Huu ni muendelezo wa kutumia vibaya na kufuja Mali za umma kwa nini wakutane kwenye kumbi za gharama halafu eti ndo mnasema mtashika dolla labda dollars ya Marekani matumizi ya hovyohovyo ya Mali za umma utakuta wamejiandikia mahela meeengi ukizingatia mkewe ndiye mtunza hazina
  16. J

    JamiiForums Tanzania TBL pekee inalipa kodi ya sh bilioni 500 kwa mwaka ambayo ni sawa na 2% ya pato la taifa

    Mkurugenzi wa TBK Mr Phillip Redman amesema kampuni yake ya Bia inalipa hadi sh bilioni 509 kwa mwaka kama kodi kwa serikali. Phillip amesema kiasi hicho ni sawa na 2% ya pato la taifa hivyo wanajivunia mchango wao huo kwa taifa. Kadhalika TBL wanatoa ajira kwa maelfu ya watanzania pia ndio...
  17. JamiiForums Tanzania Muda muafaka madalali wote wawe registered serikali tupate kodi yetu

    Wakati muafaka sasa hawa watu kuanzia kulipa kodi serikalini kama wanavyolipa wengine. Napendekeza serikali kuanza kutoa tangazo la wote kuwa registered. Else wasiruhusiwe kamwe kujishugulisha na uuzaji wa mali zozote.
  18. JamiiForums Tanzania Marekani kulipiza kisasi kwa kodi ya kidigitali ya Ufaransa

    Utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani umependekeza ushuru wenye thamani ya dola bilioni 2.4 dhidi ya bidhaa zinazoagizwa kutoka Ufaransa kama jibini na mikoba ya wanawake, kulipiza kisasi hatua ya Ufaransa ya kuyatoza kodi makampuni maarufu ya kidigitali kutoka Marekani, kama Google, Amazon...
  19. JamiiForums Tanzania Rais alipomwita Mtu MPUMBAVU na wananchi kushangilia: Inaonyesha tuna taifa la wajinga, wenye chuki na maskini wa akili

    Yaani Rais anamtukana Mhandisi kwa kile ambacho alipaswa ajadiliane na Mhandisi waafikiane au waeleweshane. Maana kina mantiki kubwa. Kama Mkandarasi hakuwa sahihi basi ingetumika lugha ya busara na ya kisomi kumuelimisha. Rais anamwita Mtumishi huyu Mpumbavu sana, na wananchi wanashangilia...
  20. JamiiForums Tanzania Mwaka 2011 nilipewa elfu themanini (80000) na Rostam ya kula sasa endapo ilikuwa ni kodi ya wa Tanzania naomba msamaha

    Mapema mwaka tajwa hapo juu niliambulia kiasi hicho cha pesa kutoka kwa gwiji RA kwa ajili ya soda na biscuits. Muda huu nafsi imenisuta pengine nilikula ya kagoda au ya Richmond. Kwa mantiki hiyo nakuja kwenu wa Tanzania kuwaombeni msamaha na nipo tayari kuirejesha. Ee mwenyezi Mungu nisamehe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…