kodi

  1. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yatupilia mbali pingamizi la Barrick. Kampuni hiyo imetakiwa kulipa kodi ya Tsh. bilioni 95

    Kampuni ya African Barrick Gold ilikata rufaa dhidi ya Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) baada ya Barrick kutakiwa kulipa kodi ya Dola za Kimarekani Millioni 41,250,426 sawa na zaidi ya Bilioni 95 za Kitanzania Hii ni rufaa ya 3 iliyokatwa na Barrick ambapo Kampuni hiyo inashindwa kupata ushindi...
  2. JamiiForums Tanzania Mhede anafanya jambo TRA, viwango ya kodi vishushwe sasa

    Mimi ni mfuatiliaji wa masuala ya kodi hapa nchini. Kuna mambo kadhaa ambayo naona TRA wanayafanya sasa tena kwa kasi kubwa sana. Mambo haya kwa hakika yataongeza kasi ya makusanyo ya KODI kwa asilimia 300. Katika mtazamo huo nafikiri sasa ni wakati wa Serikali kufikiria namna ya kushusha...
  3. JamiiForums Tanzania Sherehe za ubatizo, ndoa, kifo, mahari,hitma nk sasa kutozwa kodi hata ukifanyia nyumbani kwako

    Sherehe za ubatizo, Ndoa, kifo, mahari,hitma nk Sasa zinatozwa kodi hata ukifanyia nyumbani kwako. Hii ni aibu Kubwa kwa Serikali hii. https://t.co/pDXnXxa4zD
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya uchaguzi na CCM wainajisi katiba, Deo Mwanyika hastahili kuteuliwa wala kugombea ubunge kwa sababu ya kesi ya kukwepa kodi

    Tuweke rekodi sawa, Deo Mwanyika alihukumiwa kwa kukwepa kodi. Michango ya NSSF ya Deogratius Mwanyika, aliyekuwa Rais wa migodi ya Pangea, North Mara Exploration na Bulyanhulu, imelazimika kulipa sehemu ya fidia ya makubaliano maalum kwa Serikali baada ya kukiri kufanya makosa. Fedha kiasi...
  5. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Naombeni tuchangie kampeni za CHADEMA kwa sababu tumeshachangia za CCM kupitia kodi zetu

    Nawaombeni wananchi wote wapenda HAKI tujitoe kuchangia walau kuanzia sh.500 ili kufanikisha kampeni za CHADEMA. Nawaombeni msishangae kwa hilo kwa sababu tayari fedha zote za kampeni za CCM ni michango yetu sisi wananchi kupitia kodi zetu. CHADEMA wana sera nzuri sana kama tulivyozisikia hapo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tuweke rekodi sawa, Deo Mwanyika alihukumiwa kwa kukwepa kodi

    Michango ya NSSF ya Deogratius Mwanyika, aliyekuwa Rais wa migodi ya Pangea, North Mara Exploration na Bulyanhulu, imelazimika kutumika kulipa sehemu ya fidia ya makubaliano maalum kwa Serikali baada ya kukiri kufanya makosa ya uhujumu uchumi. Fedha kiasi cha TSh bilioni 1, kilichotwa na...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Familia yahamishia makazi porini baada ya kushindwa kulipa kodi Ksh.1500

    Janga la coeona limesababisha raia mmoja wa Kenya na familia yake kwenda kuishi msituni kwa zaidi ya miezi 6 baada ya kushindwa kulipa kodi ya kiasi cha Ksh. 1500 Source: NTV
  8. JamiiForums Tanzania Maendeleo huja kwa kodi au deni atalolipa mtanzania. Je ni sawa CCM kujinadi inaleta mendeleo?

    Hakina maendeleo yanayofanyika bila juhudi ya mwananchi. Wananchi tunachangia katika bajeti ya nchi ili kuletaaendeleo ila cha ajabu vyama vya siasa vimekuwa vikijinadi na kuvuka mipaka utafkiri hela zimetoka mifukoni mwao. Mfanyabiashara atafanya biashara yake kwa kigezo alipe kodi ya leseni...
  9. JamiiForums Tanzania Mfanyakazi/Mwajiriwa sasa kupewa TIN Number ili kutambulika kama mlipa kodi kupitia PAYE

    Wakuu kwema? Sasa kila Mwajiriwa atatakiwa kuwa na TIN, hii itatumika kumtambulisha kama mlipa kodi pale anapokatwa PAYE kwenye Mshahara wake.
  10. JamiiForums Tanzania Je, ni kuna ulazima wa kuwatoza kodi wananchi wanyonge watumiapo mitandao ya Kijamii?

    Tumepata kusikia ndugu Andrew Kisaka (Mkuu wa Kitengo cha Leseni za Mawasiliano TCRA) akibainisha kuwa kuna haja ya watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania waanze kutozwa kiwango fulani cha pesa ili Mamlaka ya TCRA iweze kugharamia huduma ya kudhibiti Maudhui yanayojadiliwa mitandaoni...
  11. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa watumishi wa Serikali si walipa kodi?

    Nilikuwa nasoma sehemu niikakutanaa na hii kauli, inaukweli? Keep in mind that civil servants are not taxpayers (even though, in public discourse, they frequently fancy themselves to be so). Rather, their net income is typically paid out of taxes paid by other individuals working in the private...
  12. JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa kisiasa anaouonesha Magufuli hadi CCM wenyewe wanamshangaa

    Tumekua tukisikia kwamba mkuu wa nchi ni mbaguzi hasa linapokuja swala la mitazamo ya kisiasa, kitu ambacho si kuzuri na hakifai kwa mkuu wa nchi. Tofauti na viongozi wengine, hata marais waliopita, Mheshimiwa hapa amefeli na inaonyesha anafanya makusudi. Jana akiwa Msoga, diwani wa hilo eneo...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Rais, tuombe sheria ya kodi ibadilishwe, majimbo yote ya upinzani Serikali ya CCM isikusanye kodi hata senti huko

    Nimeyaelewa vizuri majibu ya jana ya Mh. Rais JPM alipowajibu wananchi wa jimbo la Mheshimiwa mbunge BWEGE, hivyo niombe pia sheria ya kodi ibadilishwe ili majimbo yote ambayo wananchi wamechagua upinzani au watachagua upinzani basi waachiwe na kodi zao ili wajiletee maendeleo wenyewe...
  14. JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma wavurugwa, annual increment wanasema punguzo la kodi

    Hivi mtu akikuambia nakupunguzia kodi so lazima atakuambia ni asilimia ngapi anakupunguzia! Halafu waziri alisema kodi itaondolewa kwa wale wanaolipwa 270, 000 kushuka chini tu ambapo awali favor iliwagusa wale waliokuwa wanalipwa chini ya 170, 000 tu na wengi au karibu wote hapa si watumishi wa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Lissu, kumbe hata Majaji hawalipi kodi!

    Katika akaunti ya twitter ya Mhe. John Heche,kuna clip ya Lissu ambapo Lissu anaonekana alikuwa anaongelea suala la mishahara ya wafanyakazi ambapo amesema Majaji wote wa nchi hii hawalipi/hawakatwi kodi kwa mujibu wa sheria. Katika clip hiyo, Lissu anaonekana kusikitishwa na makato makubwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa sana, mbona wakati watu wanajiuzulu na kusababisha chaguzi za marudio hukuwahi kuona umuhimu wa kukemea ili tuokoe fedha za walipa kodi?

    Mheshimiwa Baba,wakati watu wanajiuzulu ili kuunga mkono juhudi, na kusababisha tuingie kwenye chaguzi za marudio, wako watu wengi walipaza sauti kupinga vitendo vile kwasababu mbalimbali mojawapo ni kuingiza Taifa hasara ya mabilioni kutokana na chaguzi katika maeneo/majimbo yao kurudiwa ili...
  17. JamiiForums Tanzania Kodi ya nyumba imetaka kumliza mtu, tuweni makini

    Kuliluwa na stress za kodi ya nyumba ya mama mwenye nyumba, na pesa ilikuwa imeshapatikana kwa ajili ya kulipwa, khafla meseji hiyo ikaingia. Jamaa akataka kuituma lakini roho ikasita, kumfata mwenye nyumba kasema hiyo meseji haitambui na wala hajatuma meseji hiyo na wakati matukio ya kuzoza...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Picha: Gari la serikali na mafuta ya serikali mtu anatumia shangingi hilo kwenda kulewa na kubebea malaya kwa Kodi za walala hoi

    Kuna watu wamepinda nyie acheni. Pamoja na mkwara wa waziri mkuu lakini wapi! SHANGINGI hilo, jana usiku mtu kalewa nalo chakali!
  19. JamiiForums Tanzania Makamishna wa Ardhi watakiwa kukutana na Taasisi zinazodaiwa kodi ya pango la Ardhi

    Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewaagiza Makamishna Wasaidizi wa ardhi katika ofisi za mikoa kukaa na taasisi za serikali zinazodaiwa kodi ya pango la ardhi kuangalia namna bora ya kulipa madeni wanayodaiwa. Dkt Mabula alitoa agizo hilo jana mkoani...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Awamu ya 5 imeongeza mishahara ya Watumishi kwa njia ya kupunguza kodi ya PAYE

    Wapinzani wamekuwa wakieneza propaganda kwamba serikali haiwajali Watumishi na kwamba haijawaongezea mishahara kwa miaka 5 sasa. Hii si kweli, kuna njia mbili za kuongeza mshahara wa mtumishi ikiwa ni kuongeza mshahara ghafi au kuongeza net salary (take home). Serikali ya awamu ya 5 imetumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…