Wakuu naomba mnijuze kuhusu hizi kodi za ardhi zinalipiwa wapi kwa sasa maana nikiingia kwenye website ya WIZARA Wana mfumo wa kulipia na huko HALMASHAURI wana utaratibu wao?
Nimesikiliza hotuba nzuri ya Rais na kubaini kuwa Rais anayo nia njema ya kulipeleka mbele taifa letu. Kwa upande wa miundo mbinu ya watalii mahoteli ni muhimu sana yakaboreshwa kwa kuyawekea mazingira mazuri hivyo nashauri mambo yafuatayo:
1. Kupunguza bei ya leseni ya TALA kwa mahoteli kama...
Habari za muda wakuu, Naomba kupata ufafanuzi ni jinsi gani TRA wanacalculate kodi endapo itatokea gharama za CIF uliyonunulia gari imekuwa kubwa kuliko ya kwenye calculator yao.
Kuna vitu vinaudhi sana. Serikali ya CCM walifanya mbwembwe nyingi kusema wanafufua huduma ya treni kwenda Arusha na Tanga. Na tukumbuke walitumia fedha yetu ya kodi, sio fedha za CCM.
Sasa ni wazi kwamba yote haya walifanya kwa ajili ya kampeni waliyotaka kufanya ya maendeleo ya vitu, ili...
Habari wadau,
Ningependa kufahamu mtu anayesoma kozi TAXATION anaweza kufanya kazi sehemu zipi?
Na kati ya kozi ya TAXATION na PROCUREMENT ni ikozi ipi yenye soko zaidi
Kama tujuavyo serikali ya awamu ya tano chini ya rais Magufuli imeibua miradi mingi mikubwa ambayo ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji, hii ikimaanisha kwamba tayari hii miradi imeshatumia pesa nyingi sana za walipa Kodi ambapo mgombea huyu anatoa ahadi kwamba tukimchagua tena...
Rais mstaafu Jakaya Kikwete, ameishauri Serikali na wamiliki wa hospitali kuangalia upya gharama za mazoezi tiba yanayotolewa kwa watoto wenye usonji ili kuwawezesha kupata huduma hiyo.
Kikwete alitoa ushauri huo Dar es Salaam juzi, alipozungumza wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyolenga...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Chanzo: ITV habari.
My...
Napendekeza, endapo atashinda JPM basi yale majimbo yatakayokuwa yameangukia upinzani kodi zao wabaki nazo ili wapange mipango yao ya maendeleo. Nadhani hili halitakuwa na ubishi kwa sababu JPM ametamka waziwazi kwamba hatapelekea maendeleo kwenye majimbo watakayochagua wabunge wa vyama vingine...
Mara kadhaa nimesoma humu kuwa mgombea wa CCM anadai kutoleta maendeleo kwa watu ambao hawatamchagulia Wabunge ( kama sio kweli Uzi ufutwe)
Najiuliza ikitokea surprise nusu ya Wananchi wakachagua ubunge upinzani. Kisha Kodi ya nchi nzima ikapelekwa kwa nusu ya wananchi licha ya ukweli kwamba...
Wajawazito wanaojifungulia kwenye Hospitali ya Rufaa ya Temeke , wale wanaojifungua kwa njia ya kawaida inawalazimu kulipia pesa taslimu ya kitanzania shilingi elfu 75 kama gharama ya kuzaa , Wale wanaojifungua kwa njia ya upasuaji wanapaswa kulipa zaidi ya Tsh laki 2 na yaweza hata kufika...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ADC, Queen Cuthbert Sendiga ameendeleza Kampeni jijini Dar ambapo Septemba 27 alitembelea soko la Stereo Temeke na kuongea na wafanyabiashara
Amewaahidi wafanyabiashara hao kufuta tozo na kodi zisizo na mashiko kwa wafanyabiashara...
Naona kuna policy mpya ya TRA imetokea takriban wiki 2 au 3 zilizopita za ku block Tansads za wananchi walipa kodi, ambao wanaingiza mizigo yao bandarini au kupitia airport.
Hii sera kwanini ianze sasa wakati wa kampeni za uchaguzi? Kuna nini kilichojificha nyuma yake na TRA ya CCM? Kwanini...
Naendelea na mada zangu za Kumuunga mkono Ndugu Tundu Antipasi Mughai Lissu kwa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bali kwa sababu namuelewa. Ili kuweka kumbukumbu sawa mimi sio mwanachama wa CHADEMA wala CCM na wala mimi siamini katika ITIKADI za chama cha CHADEMA. Tofauti yangu...
Ukimsikiliza Tundu Lissu anavyowasema TRA kubambikizia wafanyabiashara kodi zisizolipika. Halafu TRA hao hao mikoa yote wanapita na magari ya matangazo wakitoa mkwara mzito wa kuanza kwa faini baada ya Septemba 30 bila shaka utajua wako kazini kwa kuongeza kuni kwenye chuki iliyotengenezwa na...
Wakati Rais Magufuli anaingia madarakani mwaka 2015, kodi ya majengo (property tax) iliyokuwa inatozwa kila mwaka na serikali za mitaa (LGA) kwa kila nyumba/jengo ilitegemea thamani ya nyumba. Kodi hiyo ilitozwa kwa asilimia 0.1. Hivyo watu wote wenye nyumba/majengo mijini katika maeneo...
KRA vs TRA (Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania)
KRA: Kenya Revenue Authority
TRA: Tanzania Revenue Authority
Makusanyo (Tax Collection July 2019 to June 2020)
KRA-Kenya: 34 Trillion (Tsh)
TRA-Tanzania: 14 Trillion (Tsh)
Sababu ni hizi hapa.
Matumizi duni ya teknologia (ICT)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.