kituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini Mawakala wa Vyama Malawi Wasipewe Nakala za Matokeo ya Kituo Husika Kama Uchaguzi Ni Huru na Tume ya Uchaguzi ni Huru Pia?

    Kwakuwa Tume ya Uchaguzi ya watu wa Malawi ni Huru , basi hakuna sababu ya kuzuia mawakala kupata nakala ya matokeo waliyoshuhudia. Kunyima nakala ni uhuni, uwazi unahitaji kila chama kuthibitisha takwimu... Tume Huru haipaswi kuogopa ushahidi, kwani ukweli hudumu kupitia uwazi na usawa. Ila...
  2. J

    Kuhama kituo cha kazi kutoka mkoa X kwenda mkoa Y ndani ya taasisi moja

    Mimi ni mwajiriwa kwenye taasisi X na nimepangwa mkoa ambao mazingira yake sio mazuri kuendana na afya yangu. Nataka niombe kuhama kwenda mkoa Y. Je, inawezekana ikiwa bado sijathibitishwa kazini? Na nifanye nini ili uhamisho wangu uweze kukubalika?
  3. Usiogope unaweza Kumiliki Biashara ya Kituo cha Kuchaji Magari ya Umeme

    Teknolojia ya usafiri inabadilika kwa kasi. Dunia nzima inasogea kwenye magari ya umeme (EVs), na ili kuendesha mapinduzi haya kunahitajika kituo cha kuchaji (EV Charging Station). Kwa sasa, gharama ya kufunga kituo cha kibiashara cha kuchaji magari (hasa DC Fast Charging) inakadiriwa kati ya...
  4. Waziri w Afya anaenda zindua kituo Cha Afya kilichokataliwa na Mwenge baada ya KUKOSA uhusinaonwa fedha iliyojenga na jengo lenyewe Haydom

    Waziri tunjua mnatafta kura ila sio hivyo HACHENI kuchezea fedha za UMMA tafadhali hicho kituo Mwenge ulikikataa wewe unakizindua baada ya takukuru na DSO kutoa ripoti ya ubadhilifu uliodanyika?
  5. Unaendesha gari Lina abiria 20, kituo cha kwanza wakashuka abiria 10, kituo cha pili wakashuka abiria watano. Nitajie umri wa Dereva

    Naomba jibu ukiweza nitakupa like kama zote
  6. Je, unahitaji Mpango wa Biashara wa Kuanzisha Kituo cha Kujaza Gesi Asilia (CNG)

    Je, unahitaji Mpango wa Biashara wa Kuanzisha Kituo cha Kujaza Gesi Asilia (CNG)? Yaani: Business Plan for Establishing a CNG Refueling Station Biashara ya kuanzisha kituo cha kujaza gesi asilia (CNG) nchini Tanzania ni fursa kubwa na ya kipekee, hasa kutokana na mabadiliko ya dunia kuelekea...
  7. N

    Yas kutoa huduma kituo cha Biashara, Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC)

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Yas, Pierre Canton Bacara (katikati), akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (kulia), wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC), iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar...
  8. Y

    FURSA uzinduzi kituo Cha kibiashara Ubungo

    Habari
  9. Kodi kwenye kituo cha biashara Ubungo ni pesa ngapi?

    Naona Leo wanazindua kituo cha biashara Afrika Mashariki, Ubungo. Kodi ya frame hapo ni pesa ngapi?
  10. Zungu,ameshawasili kwenye kituo na mkutano unaendelea!

    .. Mh.Zungu (Asiye na mpinzani)akishiriki kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa CCM unaofanyika kwa njia ya Mtandao kwenye ukumbi wa CCM Wilaya Ilala leo tarehe 26 Julali, 2025.
  11. Fredy Mwanjala: Madereva wasiofuata taratibu ndio sababu ya foleni Kituo cha SGR Morogoro

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuwa ajali ya treni ya Mjini kwenda Pugu, iliyotokea Stesheni ya KAMATA kwenye makutano ya reli na Barabara ya Kawawa, jana Mei 13, 2025 imejeruhi Watu 10 TRC imesema ajali hiyo iliyohusisha mabehewa 12 yaliyobeba abiria takribani 1,200 na kuwa...
  12. KERO Responded Afande Sele: Utaratibu wa kutoka Kituo cha SGR - Morogoro haufai, unachelewesha Watu na unachosha abiria

    Huu ni Ujumbe wa Msanii wa Bongo Fleva, Afande Sele kuhusu huduma ya Kituo cha Treni ya Mwendokasi (SGR) Mkoani Morogoro. Afande ameandika "Time is Money. 🔨Muda ni Pesa.. Muda ni Mali.. Muda ni uchumi✊🏽Jamii ambayo haiwezi kuheshimu muda,isahau kupata maendeleo yoyote ya kijamii ukitoa...
  13. W

    SI KWELI PreGE2025 Utendaji mbovu wa Humphrey Polepole ndiyo sababu ya kuenguliwa

    Wakuu nimekutana na hii Taarifa je ni ya kweli?
  14. Ndoto: Tumjamaa tumefanikiwa kusimamisha uchaguzi. Kila aliyekaribia kituo cha uchaguzi aliwasha ile mbaya

    Sijui hutu tumjamaa tulikuwa tumetumia nguvu za giza au tulikuwa tumemwaga upupu kwenye kila kituo cha uchaguzi. Kila aliyekaribia kituo alianza kuwasha mwili mzima. Jinsi alivyokuwa anakikaribia ndvyo alivyozidi kuwasha na kumfanya arudi nyumbani. Ukiondoka kwenye kituo kuwashwa kunaisha...
  15. Kwanini TANROADS wanajenga kituo cha mwendo kasi eneo la Flyover Mwenge?

    Nchi hii ni ya maajabu sana, ukipita pale mwenge junction, utakuta kuna kituo cha mqendokasi kila upande kinajengwa. Kwa utalaam wa ujenzi, unatakiwa kuondoa vitu kama stand au masoko karibu na junction. Imekuwaje tanroad wameamua kujenga vituo vya mqendo kadi mita chache kutoka junction...
  16. Plot4Sale Kituo cha mafuta kinauzwa (hakikukamilika) kipo kwenye eneo la heka 1

    Kituo kipo barabara ya Bagamoyo/Mlandizi, eneo tambarare kabisa, kina matanki 3 chini tayari na nyumba/ofisi tayari . Bei ni 150M . Hakuna kituo chochote karibu katika hii barabara na barabara nzima yenye umbali wa 35km kuna kituo kimoja tuu . Karibu kwa mazungumzo 0764452424 / 0785452424
  17. Tetesi: Matokeo ya uraisi kupingwa mahakamani, wakala wa mgombea kuingia na simu kwenye kituo Cha kupigia kura

    Kama kawaida nawaletea za ndani kabisa. Ikumbukwe wiki hii niliwaletea habari kuwa bunge halitovunjwa Hadi August, na imekuwa hivyo. Sasa ndani ya mwezi July kutafanyika marekebisho madogo ya katiba na kanuni za uchaguzi. Marekebisho hayo ni kuwa Kwa mara ya kwanza matokeo ya uraisi yataweza...
  18. Safari ya Harland Sanders: Kutoka Kituo cha Mafuta Hadi KFC ya Dunia na Mafunzo kwa Vijana wa Leo

    KFC ni kifupi cha Kentucky Fried Chicken, mgahawa maarufu duniani kwa kuuza kuku wa kukaanga. Historia yake inaanzia kwa mtu mmoja aitwaye Harland Sanders, ambaye alizaliwa mwaka 1890 huko Indiana, Marekani. Maisha yake hayakuwa rahisi. Baba yake alifariki akiwa na miaka sita, na hivyo...
  19. Mwijaku ana immunity gani ya kumuwezesha kudhalilisha watu atakavyo?

    Inamaanisha kuwa chawa wa CCM ndio kunampa ruhusa ya kudhalilisha watu atakavyo. Japo kwa Tanzania kila kitu kinachukuliwa poa, ila kuwepo na ukomo wa udhalilishaji. Mwijaku amevuka mipaka ya udhalilishaji. Kwa nchi zinazojielewa Mwijaku ilipaswa iwe keshasimamishwa kazi hapo Crown kwa...
  20. Kituo kinachofata ni Pakistan, Qatar, Uturuki, Saudia kisha Jordan

    Ukishakua upande wa Marekani unaweza fanya lolite na hakuna kitakutokea, Na Israel hataki kuzunguukwa na nchi zilizo imara. 1. Walisema Israel ikiingia gaza ni ww3, nothing happen 2. Walisema Ukraine ikipiga ndani ya Russia itafutwa, nothing happened 3. Wakasema hisbullah wakiingia wataifuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…