satellite station na kituo cha mawasiliano ''radar'' karibu na beit shemesh nchini israel zimelipuliwa na kusababisha moto mkubwa kuwaka siku ya jana mara baada ya msururu wa makombora na drones kurushwa na jeshi la IRGCC.
Hali kadhalika pentagon wamethibitisha wanajeshi 140 wa usa...
Wiki iliyopita nilienda Zahanati ya Kimara Mwisho kwa ajili ya matibabu ya kijana wangu ambaye hakuwa sawa kiafya, baada ya kufika tulipokelewa na kufanyiwa vipimo vinavyohitajika.
Hata hivyo, baada ya majibu kutoka, tuliandikiwa dawa muhimu kwa ajili ya matibabu yake lakini nikaambiwa...
Anonymous
Thread
dawa
dawa muhimu
kimara
kituo
muhimu
nje
sawa
sio
wagonjwa
zahanati
Kampuni ya mabasi Shabbiy Bus imefanya maboresho ya vyoo katika Kituo Kikuu cha Upakiaji Abiria jijini Dodoma, ambavyo awali vilikuwa katika hali ya uchakavu, hatua inayolenga kuboresha mazingira na ustawi wa wasafiri.
Mbali na marekebisho hayo, kampuni hiyo inaendelea na ukarabati mkubwa wa...
Mhe. Lissu anaendelea na Cross examination.
Mhe.Lissu: Sasa shahidi naomba uwaeleze waheshimiwa Majaji kama niliyoyasoma yanalingana na maelezo yako ya police.
Coplo Vicent: ndiyo yanalingana.
Mhe.Lissu: Sasa shahidi naomba nikupitishe kwenye Maeneo ambayo nataka nikuhoji.
Mheshimiwa Lissu...
Inasikitisha sana sana anyway
Mnamu saa tano asbh tar 18 feb
Traffic mmoja mwembamba akishirikiana na wenzie watatu wakiwa mbele ya kituo cha polisi kawe walianza kukamata pikpik.. toyo... na bajaji
Hatujakataa kukamata njia walizotumia ni hatarishi mh rto hata rc wetu aliepita alipiga...
Msikilize!
Pascal Mayalla
Naombeni muendelee kuombea taifa letu lakini pia muendelee kumuombea Rais wetu maana kuna watu hawajui umuhimu wa rais, rais akitikiswa nchi inatikisika, kwahiyo tumuombee afya njema na kupata macho ya tai ili atambue watu waongo, wahalifu Amesema Nchimbi Makamu wa Rais
Mimi ni Mtumishi wa Serikali Kada ya Afya nipo Uyui Mkoani Tabora, nina maoni ambayo pia ni kama kero kwangu na kwa Watu wengi kuhusu mchakato wa Uhamisho wa Njia ya Online kwa Watumishi wa Serikalini.
Serikali ilitambulisha mfumo wa Digitali kwa nia nzuri lakini ukweli ni kuwa umekuwa mgumu...
Natumaini kila mmoja wetu hapa yupo na siku nzuri kabisa;
Nimekuja kwenu asubuhi hii ili kuomba ushauri wa mambo ya kielimu; hasa kurudia mtihani wa kidato cha sita. Kitaaluma mimi ni mwalimu wa ngazi ya cheti, pia nilisoma kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM. Sikufanya vema...
Mwezi wa 12,2025 alikuja mama kituoni kulalamika aliyekuwa mume wake jinsi alivyokuwa akimpiga mara kwa mara na kumtishia kumuu. Badala ya kumpa msaada mkamjibu malalamiko yake ni kesi ya kifamilia wakamalizane wenyewe nyumbani ikambidi arudi nyumbani kweli, mlishindwa hata kumuelekeza kwenda...
Kwenye ghorofa ya tatu ya Kituo cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki (EACLC) nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania, majora mengi ya vitambaa yaliyopangwa vizuri yamejaza rafu huku wateja kutoka kila pembe ya nchi na nje ya nchi wakiingia ndani.
Na kwa Ayoub Katuga...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika Twaha Mwaipaya juu ya jeshi la polisi kuwanyima ndugu wa clemence Mwandambo haki ya kumuona na baadaye kuchukuliwa mbele ya ndugu zake.
"Jeshi la Polisi Mbeya lilimkamata kaka yetu Clemence Mwandambo tarehe 29. 12. 2025 alipokuwa ameenda kuripoti na...
Tumechoka kutekwa, kuuliwa, kufunguliwa kesi za uongo, kulawitiwa na kupotezwa.
Tumechoka wachungaji na mapadre kushambuliwa, kutekwa na kutishwa.
Tumechoka walimu kutekwa na kupangiwa cha kufundisha madarasani.
Tumechoka kugombanishwa kidini huku masheikh wakitumwa kusema watatukata vichwa...
Katika juhudi za kuimarisha usalama, Umoja wa Umbwe Sinde Community umeandika historia mpya ya maendeleo ya kijamii kwa kuchukua hatua madhubuti za kuboresha usalama na huduma za afya kwa wakazi wa eneo hilo, baada ya kukamilisha ujenzi wa Kituo cha Polisi Kibosho.
Umoja huo umefanikiwa...
Huyu mmliki amepata hasara kubwa sana sheli zake nyingi zimeharibiwa vibaya kwa moto, watu wamepora mitungi ya gesi yotee yaani kweupe.
Lakini pia nitoe pole kwa watz waliouawa kwenye maandamano, pia natoa pongezi kwa JW walikuwa maeneo ya Igoma jijini Mwanza hakuna raia aliyepigwa risasi .
Leo, 04 Novemba 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche alichukuliwa mahabusu ya Polisi kuwa anahitajika kwa RPC Dodoma.
Heche amechukuliwa huku mke wake akishuhudia akiwa na Katibu wa Kanda ya Kati (CHADEMA) Bi ashura Masoud.
Walijaribu kuongozana na gari la Polisi lakini magari hayo...
Arusha: Waandamanaji wamevamia na kukiharibu kituo cha majumuisho ya Matokeo ya Mkoa huo.
Madai ya waandamnaji hao ni kuwa Matokeo ya uchaguzi yafutwe, Nchi ipate KATIBA MPYA, Waliotekwa waachiliwe huru, Iunder Tume huru ya Uchaguzi na uwepo Utawala wa Haki.
Wananchi hao wanasindikizwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.