Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,166
- 866,415
Leo tunazindua rasmi kijiwe chetu spesheli cha Chitchat Meeting Point.🔥
Hapa si mahali pa chai tu. Huu ni uwanja wa ndege ambapo maneno yanatua na kupaa bila visa wala pasipoti.
🔍 Sheria za Eneo Hili:
Ukileta habari ya mtu kuwa amenunua baiskeli, akiondoka hapa atakuwa amenunua ndege.😂
Sisi hatuachi stori ikiwa ya kawaida. Tunatia chumvi, pilipili, ndimu, mbilimbi na ukwaju😩
Macho ya VIP:
Hapa kila mmoja wetu ana macho yenye uwezo wa X-ray. Tukikuona umenuna, tayari tunajua umeshapigwa na kitu kizito au umeshaingizwa cha jiji.🤣
Siri za Humu Humu: "Usomaji wa ramani" ya maisha ya watu ni siri yetu. Ukiondoka hapa na siri, ujue wewe ni msaliti wa tasnia🔥
⚠️ Onyo la Muhimu:
Ukikaa hapa, unalindwa. Ukizingua unazinguliwa vilevile.. Makavu live!
Karibuni sana Chitchat Meeting Point, mahali ambapo hatuna mshahara, lakini tunafanya kazi kwa saa 24 kuhakikisha vibe la chitchat halipoi wala haliboi💪🏿🔥🔥