Mnafaili mengi naye ila mnapompeleka kuna siku wana anawauza tena anawauza kwa kupenda sifa.
Siku zake zinakaribia sio kwenye kutetea CCM na utawala wake ila hapo hapo mwambie hisa tambuu anaweza kumponza.Huyu dotto magari sijui kama anaelewa kuna mafia na mafia wanamuangalia hapo alipo
Hapa ni kwa Kituo cha Daladala cha "Kwa Yusuph" kilichopo Mbezi (Morogoro Road) kwa sasa kimegeuka kuwa stendi ya magari makubwa (malori) yanayosimama kwa ajili ya kupakia abiria pamoja na gari ndogo zinazosafirishwa kwenda mikoan na nchi jiran, (IT) bila kusahau mabas kwa nyakari za usiku.
Hii...
Anonymous
Thread
daladala
kituokituo cha daladala
kwa yusuph
malori
mbezi
mbezi mwisho
mwisho
yusuph
Hello wanajukwaa,
Nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa afya na uzima anaotupa kila siku, pia niwashukuru jamiiforums kwa kuwa karibu na wananchi kwa kupeleka kero zetu mahali husika na utatuzi kutolewa kwa wakati(Asante Team JF). Mwezi wa tatu ilipostiwa kero kuhusu kituo Cha afya Kigamboni...
Anonymous
Thread
afya
jamiiforums
kigamboni
kituokituo cha afya
mrejesho
taarifa
tarehe
Napenda kuwasilisha malalamiko kuhusu yanayoendelea katika Kituo cha Afya Makurumla (zamani Mianzini) kilichopo Mburahati, Dar es Salaam.
Kwanza, kuna changamoto kubwa ya malipo ya overtime kwa watumishi. Tulilipwa mara ya mwisho mwezi Oktoba 2025, na tangu Novemba hadi sasa hatujalipwa kabisa...
Naitwa Batuli Selemani Kiberenge, Mwalimu wa shule ya sekondari Mirijo na mkazi wa kijiji cha Mrijo wilaya ya Chemba. Mnamo tarehe 2 Julai 2026 binti yangu mwenye umri wa miaka 8 (jina nalihifadhi ili kulinda faragha yake), mwanafunzi wa darasa la 4 shule ya msingi Sanzawa, alitekwa na kisha...
Mimi ni mmoja wa watumishi wa Kituo cha Afya Yombo Vituka, na ninaomba kufikisha kilio chetu kuhusu mazingira ya kazi ambayo kwa muda mrefu yamekuwa magumu kutokana na mwenendo wa katibu wa kituo chetu.
Sisi watumishi tunafanya kazi kwa muda wa ziada (overtime), lakini malipo yake hayafanyiki...
Anonymous
Thread
afya
kituokituo cha afya
mambo
mambo ya
sawa
serikali
uongozi
watumishi
yombo vituka
Nina Imani ningeenda kwa Afande Muliro kumsalimia hata chai angenipa, ila huyu OCD ndo kwanza akaishia kunishangaa.
Nimefika kwake kituoni nikajitambulisha Mimi ni mgeni wa OCD, nikafika ofisini kwake, nikajitambulisha NAITWA sifi Leo ni mgeni wako, akanipokea
Akachukua note book na karamu tayr...
Sisi wananchi wa eneo la Kindimbachini, Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, tunaomba kuwasilisha malalamiko rasmi kuhusu vitendo vinavyodaiwa kufanywa na mmoja wa wahudumu wa afya katika Kituo cha Afya Kindimbachini.
Mhusika huyo amekuwa akiwaambia wagonjwa kuwa baadhi ya dawa muhimu hazipatikani...
Anonymous
Thread
afya
dawa
kituokituo cha afya
mbinga
mtumishi
mtumishi wa umma
taasisi
umma
Ninaishi Iselemagazi, Wilaya ya Shinyanga Vijijini, na ningependa kuwasilisha malalamiko kuhusu huduma zinazotolewa katika Kituo cha Afya Nindo.
Katika kituo hicho, wanawake wajawazito wanaoanza huduma za kliniki hutakiwa kulipa shilingi 10,000, na wakati mwingine fedha hizo hukusanywa bila...
Anonymous
Thread
afya
fedha
halmashauri
kiti
kituokituo cha afya
pesa
risiti
shinyanga
wagonjwa
wajawazito
wanawake
wanawake wajawazito
wilaya
Kwa heshima kubwa, tunaiomba Serikali kupitia Jeshi la Polisi Tanzania na hasa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) kuchukua hatua za haraka kuhusu malalamiko yanayoendelea kujitokeza juu ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Itumbi, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya.
Wananchi wa Itumbi pamoja na...
Je, ni kawaida kwa mwanamke mwenye ujauzito kuwa anatapika frequently kiasi kwamba hakuna chochote anachoweza kula iwe ni maji ama chakula ni lazima atapike?
NI ujauzito wake wa kwanza.📌
dawa zote alizopewa siku ya kuanza clinic hazimezwi sababu ya kutapika.
Malalamiko yangu kituo cha mafuta satale mpigimagoe pump ⛽ zao zinatupunja mafuta tunaomba ewura wake wahakiki .
Mafuta Yao ni machache ukilinganisha na unayoweka kwenye kituo kingine cha mafuta
Wizara ya Ardhi pamoja na TAMISEMI zinapaswa kulitazama kwa makini suala la uuzaji wa viwanja kupitia mfumo wa Tausi, hususan kuhusu muda unaotolewa kwa wanunuzi kukamilisha malipo.
Kwa sasa, baadhi ya halmashauri hutoa muda mfupi sana wa kulipia viwanja hivyo. Kuna maeneo ambapo mnunuzi...
Anonymous (29c2)
Thread
gerson msigwa
kituokituo cha mafuta
mafuta
malalamiko tamisemi
njia
ELIMU: Elimu ya Msingi
NGAZI YA MSHAHARA: TGTS C
KITUO NILIOPO: Tabora Municipal Council (Tabora MC) – Makao makuu ya mkoa, huduma na miundombinu iko vizuri sana.
KITUO UNACHOHITAJI: Dar es Salaam (Halmashauri yoyote: Ilala, Kinondoni, Temeke, Ubungo, au Kigamboni)
MAWASILIANO: 📞 0620282169...
Wana-JamiiForums,
Nimefika kikomo cha uvumilivu. Naandika post hii kwa hasira, masikitiko na maswali mengi ambayo naamini mimi siyo mhanga pekee katika nchi hii.
Mnamo mwaka 2020, nilikamilisha taratibu zote za usajili wa Kitambulisho cha Taifa (NIDA). Nilipigwa picha, nikatoa alama za vidole...
Rais William Ruto ametetea mpango wa ujenzi wa kituo cha maandalizi na kukabiliana na ugonjwa wa Ebola katika Kaunti ya Laikipia, akisema kuwa Kenya lazima iwe tayari kukabiliana na milipuko ya magonjwa hatari yanayoweza kutokea wakati wowote. Akizungumza baada ya sherehe za Madaraka Day...
Rushwa Rushwa Rushwa!!
Maafisa Rasilimali Watu, Makatibu wa Afya na viongozi waandamizi Ofisi ya Katibu Mkuu na Porthealth wanachukua Rushwa (Million 5 hadi 7) kuhamisha watu vituo, ilihali ukiomba kupitia mfumo maombi hayapitishwi kwa wakati na wanayapuuzia, ila wanakujengea mazingira ya kutoa...
Kituo cha Rwampara kilichomwa moto na vijana wenye hasira wakati wakijaribu kuchukua mwili wa rafiki yao aliyedhaniwa kufa kwa Ebola, kwa mujibu wa ushahidi wa mtu mmoja aliyezungumza na shirika la habari la Associated Press.
Naibu Kamishna Mwandamizi Jean Claude Mukendi, ambaye ni mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.