KERO Pump za mafuta kituo cha Satale (Mpiji Magoe) zinatuibia mafuta

KERO Pump za mafuta kituo cha Satale (Mpiji Magoe) zinatuibia mafuta

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Malalamiko yangu kituo cha mafuta satale mpigimagoe pump ⛽ zao zinatupunja mafuta tunaomba ewura wake wahakiki .

Mafuta Yao ni machache ukilinganisha na unayoweka kwenye kituo kingine cha mafuta

unnamed (1).webp
unnamed.webp
 
Kwa hiyo mkuu nimekuelekez chooni ukaona bor unifyatue picha mgongoni sio?
 
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kwani ukienda na kidumu cha lita 5 ukawaambie wapime ya lita 5 hayafiki kwenye ujazo wa lita 5 halisi?
 
Back
Top Bottom