Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 395
- 400
Baada ya Chadema Kuchoma Kituo cha Polisi Nyankumbu mkoani Geita, leo CHADEMA wameamua kupandisha bendera yao mbele ya kituo hiko cha polisi katika mlingoti unaopandishwa bendera ya Jeshi la Polisi.
Hii ni Ishara kuwa Chadema wamedharau jeshi la Polisi na sasa wamedhamiria kuteka, kulipua na kuchoma vituo vyote vya polisi nchini ili waweze kupandisha bendera zao.
TUWE MACHO