A
Anonymous
Guest
Madereva tunapata changamoto kubwa pale kwenye Kituo cha SGR kilichopo Stesheni, Dar es Salaam, wanatukamata tukienda kubeba abiria, wanataka tuingie ndani ili tulipie shilingi 1,000, wakati sisi ni madereva wa mtandaoni na pale tunapita tu siyo kwamba tunaenda kuegesha vyombo vyetu.
Namaanisha kwamba wangetenga sehemu ya kuchukua abiria iwe tofauti na yule ambaye anaingia kupaki.
Unakuta abiria ana ku request sehemu ya shilingi 2000, mimi niingie hapo nilipe buku, kisha Bolt nao wakikata hela yao Asilimia 25, sasa hapo si ninakuwa nimefanya kazi bure tu.