Wananchi wamepita na kituo cha polisi Tabata Relini, mabomu yanarindima huko hadi maeneo ya Buguruni.
Harakati za kufika Ikulu zinaendelea. Leo polisi wamejua Watanzania sio waoga! Upole haimaanishi mtu hawezi kukurarua.
Mtu anakuwa anakulia timing tu, akichoka utajua ujui. Polisi...
KInachoendelea huko Mabatini Sinza, kituo cha polisi kimetiwa moto, polisi nao wapigana kujaribu kuwadhibiti wananchi lakini wanazidiwa nguvu.
Kwa upande mqingine wanajeshi wameanza kuungana na wananchi. Mambo yakiendelea vizuri siku itaisha nchi ikiwa mikononi mwetu.
Wakuu,
Kinachofanyika sasa hivi ni kuhakikisha mawasiliano yanakata, wanafanya kila njia ili tusipate taarifa, tuwe disorganized kukataa udhalimu wa serikali hii.
Tunatakiwa kufika TCRA ili tuendelee kupata mtandao, waambiwe kabisa tunachotaka ni mtandao na si kitu kingine, hawawezi...
Katika jambo ninaliliamini 100% Mapolisi wengi aina ya Muliro, Mafwele na genge lao , Huwa Elimu zao ni za kuunga unga sana, Wakiwaga chuoni Wanaishia Kuhonga na kununua Mitihani .
Unaweza jiuliza, Muliro kasema wamemkamata Niffer, lakini bado Mpaka muda huu Ndugu wa Niffer Wanazunguka Kila...
Asajile Mwanjala amechukuliwa usiku wa jana Kijiji cha Ihemi kata ya Mgama, Nimeongea nae amechukuliwa na Afande Ally polisi wa kituo cha ifunda na Afande Razaro Polisi wa Iringa mjini. Fikeni hapo kituoni Ifunda haraka.
Mgombea wa ccm jana alitoa wito kwa wazazi kubeba familia zao kuelekea kupiga kura. Zaidi akasema mabalozi wa nyumba 10 wahakikishe wanawapitia wakazi wake kwenda nao kuipigia ccm kura.
1. Nauliza, kauli hiyo ni sahihi? Kama mimi sio mwanaccm nitaenda kumpigia nani?
2. Kama sera za wale...
Mipango yako tunajua hujaisitisha. Kule kujishusha kwako tunajua ulikuwa mtego lakini mtego mabua usioweza kumkamata hata panya. Nakukumbusha tuu baada ya huu uchaguzi kituo kinachofuata ni wewe. Kama unafikiri 2030 utamweka yule kijana wako hilo wazo futa. Nitazame hivihivi ukiniona. Habari...
Baada ya kutekwa kwa Balozi Polepole natoa tahadhari kwa watu wengine ambao wapo kwenye hatari ya kutekwa kwanza Askofu Josephat Gwajima, pili Joh Heche na tatu Mkurugenzi wa JF Melo yupo hatarini sana kwa namna alivyokuwa akizungumza inaweza kuwa hatari kwake.
Hawapaswi kabisa kuwa nchini...
Kuna kipindi fulani, hasa miaka ya 1990 hadi mwanzoni mwa 2000, jina Discovery Channel lilikuwa alama ya heshima kwa yeyote aliyependa kujifunza kupitia runinga. Ilikuwa ni “chuo cha nyumbani,” chenye vipindi vya kuvutia juu ya sayansi, historia, teknolojia, safari na siri za ulimwengu ambazo...
Wakuu salaam,
Naombeni ushauri kwa wajuzi wa mambo na wenye uzoefu hapo Tanzania nataka nifungue kituo cha Afya kwa Tanzania sasa sijajua na nimeandaa bajeti ya milioni 100 kuanzia manpower,vifaa tiba,majengo na kila kitu na lengo niwasaidie Ndugu zangu waTanzania maana nimewaza kufungua huku...
https://www.youtube.com/live/oKhmY026yws?si=5-O75s2JdtUZjczD
Angalia hii Live yanayoendelea Songwe-MLOWO
Leo, macho na masikio ya Watanzania yameelekezwa Mkoani Songwe ambako mgombea urais anayependwa zaidi duniani kwa sasa, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaendelea...
Kwakuwa Tume ya Uchaguzi ya watu wa Malawi ni Huru , basi hakuna sababu ya kuzuia mawakala kupata nakala ya matokeo waliyoshuhudia.
Kunyima nakala ni uhuni, uwazi unahitaji kila chama kuthibitisha takwimu... Tume Huru haipaswi kuogopa ushahidi, kwani ukweli hudumu kupitia uwazi na usawa.
Ila...
Mimi ni mwajiriwa kwenye taasisi X na nimepangwa mkoa ambao mazingira yake sio mazuri kuendana na afya yangu. Nataka niombe kuhama kwenda mkoa Y.
Je, inawezekana ikiwa bado sijathibitishwa kazini? Na nifanye nini ili uhamisho wangu uweze kukubalika?
Teknolojia ya usafiri inabadilika kwa kasi. Dunia nzima inasogea kwenye magari ya umeme (EVs), na ili kuendesha mapinduzi haya kunahitajika kituo cha kuchaji (EV Charging Station).
Kwa sasa, gharama ya kufunga kituo cha kibiashara cha kuchaji magari (hasa DC Fast Charging) inakadiriwa kati ya...
Waziri tunjua mnatafta kura ila sio hivyo HACHENI kuchezea fedha za UMMA tafadhali hicho kituo Mwenge ulikikataa wewe unakizindua baada ya takukuru na DSO kutoa ripoti ya ubadhilifu uliodanyika?
Je, unahitaji
Mpango wa Biashara wa Kuanzisha Kituo cha Kujaza Gesi Asilia (CNG)?
Yaani: Business Plan for Establishing a CNG Refueling Station
Biashara ya kuanzisha kituo cha kujaza gesi asilia (CNG) nchini Tanzania ni fursa kubwa na ya kipekee, hasa kutokana na mabadiliko ya dunia kuelekea...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Yas, Pierre Canton Bacara (katikati), akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (kulia), wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC), iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.