kituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Chadema yaadhimisha Sikukuu ya Eid na Watoto yatima wa Kituo cha Rahman Orphanage centre

    Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo 07/06 2025, Chadema badala ya kuita Matajiri wenye uwezo wa kuchinja chochote na kula nao Idd, ili kutafuta sifa kama wanavyofanya viongozi wengine, Wao wamechagua kupeleka Mkono wa Idd kwa Watoto Yatima. Huyu hapa ni Maalim Heche akiwa na viongozi wengine...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa biashara ya kituo Cha mafuta deepbond

    Habar wakuu naomba muongozo abc za biashara ya kituo Cha mafuta mchakato wake ukoje faida kwa siku na vibali na eneo l,na Hali ya ushindand ,,NB deepbond njoo uku tunakuhitaji ushauri
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania KERO Licha ya makusanyo makubwa, hali ya Vyoo vya Kituo cha Mwendokasi Kimara Mwisho inasikitisha

    Nimepita kwenye Kituo cha Mabasi yaendayo Haraka maarufu kwa jina la Mwendokasi pale Kimara Mwisho, jana Mei 25, 2025 sehemu ya vyoo vya haja ndogo upande wa Wanaume hali niliyoikuta ni hii kama unavyojionea. Kinachoshangaza ni kuwa hali hiyo imekuwepo kwa muda sasa, licha ya kuwa abiria ni...
  4. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Ukipita karibu na kituo cha bodaboda ukiwatazama tu wanawasha pikipiki

    Baadhi ya Bodaboda wa Bongo ni miyeyusho sana. Ukiwa katika pitapita zako karibu na kituo chao,ukiinua kichwa kutazama upande wao, bam! ,Wamewasha pikipiki zao zote,chapu kukufuata, kabla hata hujawaita ,ukiwaambia nipo around sihitaji usafiri,tena chapu kwa haraka pikipiki zao zinarudishwa...
  5. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba ingetakiwa mpaka mda huu wawe either wapo kituo cha polisi au wameshajulishwa wito wa kwenda kituo cha polisi

    Walichofanya viongozi wa Simba ni utapeli wa maksudi 👇👇👇👇👇👇👇👇 Uwanja umefungiwa hakuna taarifa ya kufunguliwa umeanza kuuza tiketi bila go ahead, umepewa taarifa rasmi ukajitoa ufahamu ukaendelea kuuza tiket ukijua unachofanya sio sahii Baada ya mechi ya berkane ukaambiwa mechi inayofuata ni...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 THRDC: Mwanaharakati Boniface Mwangi wa Kenya na Mwanasheria Agather Atuhaire wa Uganda wanashikiliwa na Jeshi La Polisi

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza kuwa mwanaharakati kutoka Kenya Boniface Mwangi, pamoja na mwanasheria kutoka Uganda Agather Atuhaire wanashikiliwa katika kituo cha polisi cha Kati Dar es Salaam. Mwangi na Atuhaire walikuja Tanzania kufuatilia kesi inayomkabili...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni ufafanuzi kuhusu posho za nje ya kituo cha kazi

    Salaam wakuu. Naomba msaada tajwa hapo juu kuhusu posho Kwa viongozi Hasa kuanzia ngazi ya wizara na juu yahapo. Kinachonitatiza nikwamba,hivi kiongozi mwenye dhamana ya kushughulikia masuala yote ndani ya nchi(mikoa yote) ambaye ofisi Yake ipo Dar Kwa mfano, anaweza kulipwa posho akiwa...
  8. Doctor MD

    JamiiForums Tanzania Kama una jengo lenye sifa za kuwa kituo cha afya au hospital karibu tufanye biashara

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri Mimi ni daktari nafanya kazi katika moja ya taasisi hapa nchini Nina uhitaji wa kufungua kituo Cha afya au hospital endapo nitafanikisha kupata jengo lenye sifa zifuatazo 1. Jengo liwe limezungukwa na idadi ya watu wengi 2. Jengo liwe na vyumba vya kutosha walau...
  9. K

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Miaka mitano Serikali inajenga kituo cha kupozea Umeme Simiyu. Hakuna kinachoendelea, tumedanganywa?

    Ilikuwa Machi 3, 2021 Siku ambayo aliyekuwa Waziri wa Nishati wakati huo Medard Kalemani alipoweka jiwe la msingi ujenzi wa kituo cha kupozea umeme (Sub Station) Mkoa wa Simiyu. Hafla ya kuweka Jiwe la Msingi ilifanyika katika eneo la Imalilo, eneo ambalo lilichaguliwa kituo kijengwe ni nje...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Kapinga azindua Kituo Mama cha Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG), kitajaza Gesi Asilia kwenye magari 1200 kwa siku

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amezindua Kituo Mama cha Gesi Asilia iliyoshindiliwa (CNG) ambacho kina uwezo wa kujaza Gesi Asilia kwenye magari 1200 kwa siku huku kikifanya kazi kwa muda wa saa 24. Kapinga amezindua kituo hicho tarehe 9 Mei, 2025 jijini Dar es Salaam akimwakilisha...
  11. Shakala

    JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha Polisi Mtumba, Dodoma muache uonevu

    Imekuwa miezi kadhaa sasa askari toka mtumba wanapita na difenda zao Mahoma, Ipala na Hombolo kubeba vijana wasio na hatia na kuwavisha kosa la uzururaji. Wanapita saa 3 usiku wakakamata mpaka madogo wanaorusha movie tena wakiwa ndani ya vibanda vyao. Ndugu zao kufika kituoni wakatozwa 50000...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Usitoe nguo zako ulizozivaa kwa kituo cha yatima

    Kila mtu anapaswa kujua kwamba ili Mungu akubariki ni lazima utoe kilicho bora zaidi na sio kitu ambacho hata hukihitaji tena. Hata Mungu alimtoa mwanae wa pekee kama tunavyoamini sisi wakristo. Angeweza kumtoa mmoja wa malaika wake lakini alitoa kilicho bora zaidi. Ikiwa unataka kuwapa...
  13. Vanclassic

    JamiiForums Tanzania Ombi la kubadili kituo cha kazi

    "Nataka wa kubadilishan kituo mimi nipo TANGA WILAYA YA HANDENI NO;0628856440~kwa mawasilano Wakuu kwa ambae yupo tayari uyo kijana kapangiwa ualimu sehem tajwa hapo juu amcheki kwa izo no
  14. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kituo Cha Usaili Cha (Ajira portal)Kwa Dsm

    Wakuu naomba mnijuze Hawa PSRS kituo Chao Cha Usaili Kwa Daresalaam ni kipi ? Kipo wapi ?
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Familia yadai ndugu yao kauawa mikononi mwa Askari katika Kituo cha Polisi Tabata Shule

    Mnamo Tarehe 6 Aprili 2025, kijana mwenye umri wa miaka 29, Nestory Raphael Majembe, aliripotiwa kukamatwa na kupelekwa katika kituo cha polisi Tabata Shule kwa tuhuma za wizi wa simu. Saa chache baadaye, familia yake ilipokea taarifa ya kifo chake ndani ya kituo hicho, hali iliyoibua maswali...
  16. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania Kituo cha mafuta kinauzwa mkoa wa Songwe,

    Kituo cha mafuta kinauzwa mkoa wa Songwe, kiwanja kina ukubwa wa sq 2500, kina hati kwa ajili ya matumizi ya kituo cha mafuta Tshs 350m. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050 nyote mnakaribishwa!!
  17. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania Kituo cha mafuta kinauzwa Mbeya mjn

    Kituo cha mafuta kinauzwa Mbeys mjini. Kiwanja kina ukubwa wq sq 3000. Bei ni maelewano ya kati ya mnunuzi na muuzaji. Wasiliana nasi. +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!!
  18. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza viwanja Kigamboni njia ya fun city kituo njano

    Nauza viwanja vipo 4 vipo kigamboni njia ya kuingia Fun city nyuma ya kituo cha Njano kila kimoja kina sqm 500 kila kiwanja kinaanzia Tshs,28ML kama upo intrested njoo tuyajenge piga hii no 0743921019
  19. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi wakuu inawezekana mtu kuijiandikisha kupiga kura zaidi ya kituo kimoja na mashine ikakubali

    Hivi huwa najiuliza mfano mwaka huu mtu mmoja ujiandikishe zaidi ya kituo kimoja je hii inawezekana na ukapatiwa kitambulisho Mimi naona kama hili jambo haliwezekani sababu Kuna finger print tulikua tunabishana Ili swala na wadau kijiweni wengine wanadai inawezekana wengine wanasema haiwezekani...
  20. Isenye

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kubadili kituo cha kufanyia usaili kwenye hizi ajira za TRA?

    Mko salama wakuu? Nilikua nauliza, inawezekana kubadili kituo cha kufanyia usahili kwa hizi ajira za tra? Mfano nimepangiwa dar ila kwa sasa niko Mwanza.je inawezekana nikafanyia kituo kilichopo mwanza? Ni hatua gani za kufuata? Mwenye kujua anijuze tafadhali.
Back
Top Bottom