GRAPHIC-VIDEO: Kituo cha Polisi kinachosimamiwa na Hamas chashambuliwa!!

GRAPHIC-VIDEO: Kituo cha Polisi kinachosimamiwa na Hamas chashambuliwa!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,426
Reaction score
7,851
Shambulio lililolengwa na Israeli lilipiga kituo cha polisi cha Hamas huko Sheikh Radwan, kaskazini mwa Gaza. Angalau magaidi 2 waliuawa na wengine 3 walijeruhiwa vibaya kwa kufumuliwa makalio yao hakuna uwezekano wa wao kupona.

Shambulio hilo lilifuatia baada ya magaidi hao kuvishambulia vikosi vya Israel vilivyokuwa karibu na kituo hicho hivyo kusababisha IDF waagize drone kufanikisha shambulizi hilo!!
 
Hawa hamas kwanini wasinyooshe mikono juu... kupigana vita na MTU uliyekuzidi uwezo wa kivita ni ngumu Sana kushinda
 
Back
Top Bottom