kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania mnaokimbiliaga South Afrika kuna kitu gani cha maana huko?

    Mbona ni kama wana maisha magumu tu kama sisi tena inawezekana magumu kuliko hata sisi
  2. LUKAMA

    JamiiForums Tanzania Ni macho yangu au nimekosea! Msaada nifaamishwe hiki ni kitu gani!

    Nipo nafanya kazi kwenye ofisi fulani hivi za serikali mkoa Kilimanjaro. Ninapokaa hapa unaweza kuona kwa uzuri kabisa maua yaliopo nje, katika kopo moja wapo kuna ua la kawaida na jani lImeota pembeni yake. Kama nilivyoweka picha hapo chini. Sasa tunabisha wengine wanasema ni weed na wengine...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Heshima sio kitu cha Bure

    Kwema Wakuu! Ukiona unataka kuheshimiwa na kila mtu basi jua hujiamini. Mara nyingi mtu akikosa pesa tena Kwa bahati mbaya akakosa na elimu basi hufikiri kila mtu anamdharau. Heshima sio kitu cha Bure. Huwezi heshimika Kama hujagharamia heshima husika. Maisha ni bure lakini kuishi ni...
  4. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Ukifungua macho yako, kila kitu kiko wazi

    No one will be part of the New World Order unless he carries out an act of worship to Lucifer. No one will enter the New Age unless he receives Luciferian initiation. Maana yake: Hakuna mtu atakayekuwa sehemu ya New World Order Hadi afanye kitendo cha ibada kwa Lusifa. Hakuna atakayeingia...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mambo gani ya fedheha umewahi kufanya kwasababu ya kufulia (kukosa Hela)?

    Pesa ni muhimu aisee, pesa hainunui Kila kitu ila inakamilisha mambo mengi sana, ikose ujue namaanisha nini. Nakumbuka kuna kipindi nlikuwa sina pesa nlikuwa nashindia kiazi utamu kilichochomwa, nashushia maji ya bombani, hicho kiazi ndio msosi wa siku nzima. Nimewahi kukaa na chaja ya...
  6. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Soko la pamoja la Afrika ni nini?

    Jamani tufafanulieni Soko la pamoja la Africa ni kitu gani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusema hakuna wa Kumuweza na sasa Mashambulizi yanazidi Kwake, Haji Manara atishia kuwafanyia Kitu mbaya wanaomshambulia Mitandaoni

    Tukiweka Kumbukumbu sawa ni huyu huyu Haji Manara (Msemaji mpya wa Yanga SC ) alipohamia huko alijigamba na Kujimwambafai kwa kila namna kuwa hakuna mwana Simba SC anayemuweza kwa Kuchafuana na Kutaniana pia. Leo akiwa katika Interview EFM katika Kipindi Bora kabisa cha Michezo nchini cha...
  8. BAK

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anapoonekana anajua kila kitu

    Wanyakyusa wanasema: "Indalama syalile Juta", yaani Fedha ilimla au ilimuua Yuda [Iskarioti]! Tanzania ya leo, mtu mwenye pesa na mamlaka anaweza kumfundisha na kumuamrisha hata Askofu Mkuu au Mufti katika mambo ya imani hata kama mtoa amri hana hata Cheti cha Theologia au Tauhidi! Ole wake...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na marafiki tunaowaamini na kuwaona ndio kila kitu.

    Si vyema kuishi bila rafiki lakini je, unamuamini rafiki yako kiasi gani na mangapi kukuhusu wewe anayafahamu. Kuna baadhi ya marafiki zetu, tunaowaona kuwa watu wa karibu wamekuwa na tabia za panya, yaan wanang'ata huku wanapuliza. Unaweza kupata shida fulani katika maisha mfano ya kifedha na...
  10. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Kwamba pesa siyo kila kitu, sawa lakini hakikisha unazipata kwanza ndipo uongee huo upuuzi wako - Warren Buffet

    Pesa bila mikakati sio kila kitu ni pesa. Ili muamini;hoja yangu,tokea tumekusanya za Tozo kipi kimefanyika tukaanbiwa hiki ni Ile Tozo yenu? Mbona mwananchi moja moja anazidi kudidimia? Gesi juu Petroli juu, mafuta ya kula juu. Sasa kuanzia tarehe 8/09/2921 ukihamisha tu pesa benki kwenda benk...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nisaidiaeni hiki kitu

    Niko na demu mmoja hivi ,single mother, tumeanza relationship nae ila cha ajabu siku na date nae nataka kuingiza chuma ktk K yake, inasinyaa kbs, acha hyo nikarudia mara ya pili same story, ngachoka kbs, kuna aliekutana na hali km hii?
  12. ommytk

    JamiiForums Tanzania Green Card kumbe ni kweli aisee tucheze hii kitu

    Sikuwa naamini Kuhusu Green card ila sasa nimeamini kweli kuna jamaa yangu mwalimu kapata yupo nyarugusu uko anaondoka Na familia yake Mungu kweli humpa anayemtaka
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa hili jamii yetu ya kiafriaka itakuwaje kwa sababu sisi kila kitu tunawafuata Wazungu?

    Taarifa nilizo zipata ambazo ni za ukweli na kuaminika ni kuwa huko Ulaya makanisa yanafungwa kila kuitwapo leo, wazungu wanaacha kwenda kanisani kwa kasi ya ajabu kuwai kutokea, watafiti wanasema kuwa baada ya miaka5 mpaka 10 ulaya inaweza ikawa na makanisa machache sana au kupotea kabisa...
  14. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Msikilize huyu Colonel wa Urusi naamini utapata kitu

    AMEULIZWA: How do you evaluate coronavirus? ……… AKAJIBU: I look at it from military and strategic points of view. I don’t look at it as a healthcare or epidemiological concern etc. Coronavirus is falsely labeled an “pandemic.” It has to be evaluated from global power perspective. Religious...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Katika mazingira haya, Askofu Gwajima anapaswa kujiuzulu na si tusubiri kuchukuliwa hatua kuthibitisha ubunge kwake sio kitu kama alivyowahi sema

    Pamoja na sababu nyingine zozote, nahisi baadhi ya wabunge na Wana-CCM wengine ndani ya CCM, wanataka kuona kama kweli Gwajima ubunge kwake sio issue. Hivyo, Gwajima asisubiri wanuwahii kwa maana ya kumtimua ubunge kwani wanaweza kuanza kumsuta kwanini hakujiuzul licha ya tuhuma zote huku akiwa...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mapenzi kitu kingine, sikutegemea kama naweza kuja kuwa desa boy kwa sababu ya mapenzi

    Mrembo wangu anataka nimtafutie course outlines za course zote za LLB undergraduate. Nimejaribu but in vain.. Jamani Kama kuna mwanafunzi wa llb hapa na una course outline ya course yoyote please kindly share it with me nimpe shemeji yenu.. N.b : She graduated at UDSM more than ten yrs ago na...
  17. Dit000

    JamiiForums Tanzania Napata wapi hii kitu?

    kwaa hapa tanzania nweza pata wapi hii komputa na ni shingapi??
  18. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Tupia picha ya kitu kilichokuvutia mpaka ukakipiga picha

    Mimi nilikutana na huu mto nikavutiwa na mazingira yake nikaamua kupiga picha.Huu unaitwa mto nzovwe.Sio lazima yawe mazingira tu bali kitu chochote ambacho kilikufanya uwe interested nacho.Watu,wanyama,cha msingi isiwe tu picha ya mtu akiwa bafuni anaoga
  19. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Kumbe hii kitu ipo tokea zamani

    Mimi kila siku ninapoona na kusikia kwenye vyombo vya habari hapa Tanzania kuwa wanaume waonywa kuwa wasinyonye maziwa ya wake zao ambayo ni chakula cha watoto basi nilikuwa nafikiri kuwa huu ujinga upo hapa Tanzania tu kumbe upo tokea enzi za utawala wa Roma.
  20. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Kinatakiwa Chama kipya cha Siasa cha Ukombozi hasa. CHADEMA na CCM hamna kitu

    Hivi vyama vikubwa viwili vyote vipo hoi. Hoi sana. Kimoja kinashikiliwa na Dola na kikingine kinashikiliwa na Ukosefu wa Chama mbadala. Utaniuliza ACT nitakujibu hamna kitu pale. Hamna chama cha ukombozi wa Mtanzania. CHADEMA ya sasa Imekuwa Nyepesi sana. Uzito wa Unyoya. Haina nguvu ya...
Back
Top Bottom