kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. mama D

    JamiiForums Tanzania Mama aliyezaa watoto7 akimbiwa na wanawe, aishia kutunzwa na mjukuu wa miaka8 - Kuzaa ni kitu kimoja na kupata furaha ya uzao wako ni kitu kingine!

    Mama amezaa watoto7 lakini hana hata wa kumjulia hali, tena katika maradhi yanayomsibu. Hivi kweli waafrika wa Tanzania tumefikia hatua ya kushindwa kulea wazazi wetu!? Yaani hii ni kinyume kabisa na mila na desturi zetu. Mgonjwa kiasi hiki kutelekezwa na watoto wake wa kuzaa! Inaumaaaa...
  2. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Mzembe, mvivu huona kila kitu anaonewa kwake kulalamika ndio silaha kuu na huyu ndo Mtanzania

    Ndugu Leo tuongee kidogo kuhusu maisha yetu halisi hapa tujiseme, tujitukane hii italeta taswira mpya kamasio sisi basi hata uzao wetu huenda ukawa Bora. Sisi n hatupendi kufanya kazi lakini tunataka tuwe napesa mfukoni je tutazipata vipi bila kufanya kazi tena sio kufanya kazi tuu bali n kwa...
  3. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Awamu ya tano Zitto Alikuwa anapinga kila Kitu, leo yupo Kimya

    "Awamu ya tano Zito Kabwe alikuwa anapinga kila kitu hata yaliyokuwa ndani ya Ilani ya Chama chake,leo yupo kimya pamoja na maswahibu yote yanayowapata wananchi kwenye Kodi za umauti za Miamala ya simu pamoja na viongozi wenzake wa kisiasa kama Freeman Mbowe " Afande Sele
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi unathibishaje kitu ambacho huwezi kukitengeneza kama kinafaa?

    Asalaam aleykum! Daah! Hii dunia ngumu sana bora tu uwe chizi.Kila nikitafakari akili inagoma kuamini. Jamani embu nisaidieni kunielewesha maana akili ya darasa la saba inakataa na akili ya form C ndio kabisa inakubali kukataa
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nikimtizama Askofu Gwajima naona kitu hiki...

    Ana maadui wengi kuliko marafiki. Upande wa CCM na Wapinzani. Alishaharibu kote. Mwenzetu Pascal Mayalla ni mmoja ya watu ambao wanaonesha kuwa waliathiriwa sana na Gwajima hasa jimboni Kawe. Mpaka leo amebaki kuwa na chuki si Pascal yule kabla ya kubadilika na kuwa mwanasisi emu njaa. Mimi...
  6. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Hapa duniani kitu gani kilitakiwa kiwe bure?

    Hivi hapa duniani unadhani ni kitu gani kilitakiwa kiwe bure ila ndo kinauzwa lakini hakistahiki kuuzwa. Kinatakiwa kitolewe bure kwa kila anaehitaji?
  7. The Boss

    JamiiForums Tanzania Dream team hamna kitu

    Natazama Olympic Basketball USA Vs France. Naona hii USA the dream team hamna kitu kabisa.. Niliona walifungwa hadi na Nigeria kwenye maandalizi ..naona mwaka huu hata medali ya Shaba hawapati
  8. M

    JamiiForums Tanzania Roho inaniuma vile nahukumiwa kwa kitu ambacho sijawahi fikiria kumfanyia huyu

    Poleni na majukumu wakuu, NAHITAJI ushauri wenu Kwa hili..,Mimi nipo na mrembo wangu kwa muda Sasa alienivumilia kwa mengi na tumedumu karibun miaka miwili.ni msichana alienipenda kwa dhati na Hilo nilidhihirisha baada ya kunikuta Sina mbele Wala nyuma lakin hakujali, na hata ingetokea nina...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya

    Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba, amesema jambo hilo tayari limefika...
  10. infinix2020

    JamiiForums Tanzania Utata juu ya Rais Samia kuingilia kati tozo mpya za miamala

    Mi nimetafakari kwa kina sana ila nimeshindwa kupata jibu. Yafuatayo najiuliza 1. Mh. Rais alisaini au hakusaini hiyo sheria ya TOZO mpya? 2. Kama alisaini, je alikuwa anapima upepo wa wananchi? 3. Je, ni political tension? 4. Je, itakuwa imemuongezea asilimia za kuupiga mwingi? Kama kuna...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Je, Wananchi wamezoea bure kila kitu?

    Inaelekea Tanzania tuna tatizo la wananchi kuzoea bure na misaada. Ukiangalia hata mijadala mingi watu wanaongea na kuandika kama vile kila kitu inatakiwa serikali kutoa. Hatuwezi kuwa na machinga kila mahali hawalipi kodi halafu tushangae kodi kuongezeka kwenye simu. Ni lazima tujue bila...
  12. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Jifunze kitu hapa: Hii hapa Taarifa ya mwanaume aliechomwa moto na mwanamke wake (mchepuko)

    Jamaa huyo maarufu kwa jina la Zungu ameuliwa kwa kuchomwa moto na mpenzi wake huyo kwa jina la Neema. Tukio limetajwa kutokea huko Mbezi Makabe, Dar jana usiku. Sababu inadaiwa ni jamaa kutokuwa mwaminifu katika mapenzi yao ndipo mdada anadaiwa kumfungia ndani jamaa kisha kumwaga petrol na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Uzalendo kitu gani?

    Aandika Mohammed Ghassani Uzalendo gani!? Mpendwa muheshimiwa, anapanda jukwaani huku mbweu anatowa, anukia biriani tutakaohutubiwa, hatuna kitu tumboni Muheshimiwa ajuwa kwamba watu wana njaa lakini kalewa pawa. Basi anatuhimiza: “uzalendo ndu’ zanguni!” “uzalendo!” “nchi yetu!”, hii...
  14. Schoolface

    JamiiForums Tanzania Nikilala baada ya muda kuna kitu mwilini kinakuja kinanivaa kwa nguvu na kunibana

    Habari wana JF, Moja kwa moja niende kwenye mada jamani kumekua na hili tatizo limekua likinitokea mara kwa mara hasa ninapo lala si mchana si usiku yaani ninapo lala baada ya muda nasikia kuna kitu mwilini kinakuja kinanivaa kwanguvu kinanibana. Pengine nakua nahisi mpaka kukosa pumzi kabisa...
  15. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kiliikumba hii familia ya kifahari pale Magomeni

    Habari wadau..! Maisha kweli ni fumbo, mpaka leo sijapata kujua undani wa familia ile ya kifahari pale Magomeni Mwembechai. Kuna siku nilikuwa na project maeneo yale ya Magomeni nilifika site lakini nikajikuta kuna baadhi ya vifaa vya kufanyia kazi sikubeba. Hivyo nikaona sio kesi ngoja...
  16. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM ina kitu cha kujifunza kinachotokea kuhusu Rais Mstaafu Zuma nchini Afrika Afrika

    Nafkiri Serikali ya CCM na Watanzania kwa ujumla wetu kuna kitu cha kujifunza kupitia VURUGU zinazoendelea kuhusu kifungo cha ZUMA. Kiuhalisia asilimia kubwa ya hao wanaondamana na kuleta fujo ni wale ambao wameona wamepata FURSA ya kuonyesha na kupunguza STRESS na HASIRA zao kwa mambo mengi...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Tanzania yetu kwa sasa imekuwa na UCHWARA mwingi kuliko uhalisia

    Ndio tanzania yetu kwa sasa imekuwa na UCHWARA mwingi kuliko uhalisia. Yaani unakuta mtu anayejiita mwanasiasa naye ni uchwara hamna kitu anachokifahamu vizuri au anachosimamia isipokuwa mihemko na ubinafsi. Chama nacho ni uchwara, hakina msimamo unaoeleweka au misingi ya chama kinaendana na...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Benjamin William Mkapa imeandaa mdahalo kuhusu Maisha ya Rais Mkapa

    Marais walioacha legacy huandaliwa midahalo. Lkn wale wenye legacy' za kubumba....NEVER!. Wenye akili mshaelewa maudhui ya uzi huu.
  19. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Dear Nikuambie kitu......

    Kijana Ukisikia hii kauli toka nduki. Mzinga ndo unafuata....kina Dada mmezidi asee. Fanyeni kazi, "supa wuman" Ni pamoja na kufanya kazi halali sio huu uharamia mnaofanya sasa. Full mizinga mnataka tukaibe?
  20. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Hizi dawa za COVID-19 ni siasa au tuna malengo gani? SUA hiki kitu gani?

    Kwa wasiwasi wangu, koo lilipokwaruza tu, nikajua COVID-19 hiyo. Nikabugia chupa langu. Hapa nilipo niko hoi kwa kuharisha usiku kucha. Ni uchafu gani tunauziwa na taasisi za serikali? Watu wa SUA bado munacheza na afya zetu kama enzi iliyopita? Ni kweli hiki ndo kiwango cha utaalamu wa chuo...
Back
Top Bottom