Picha ya siku: Kumbe hii kitu ipo tokea zamani

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,901
95,404
Mimi kila siku ninapoona na kusikia kwenye vyombo vya habari hapa Tanzania kuwa wanaume waonywa kuwa wasinyonye maziwa ya wake zao ambayo ni chakula cha watoto basi nilikuwa nafikiri kuwa huu ujinga upo hapa Tanzania tu kumbe upo tokea enzi za utawala wa Roma.
670AYRO5S.jpg
 
hii ni stori moja kuwa binti alikuwa akimtembelea baba yake jela ambako alitakiwa afe kwa njaa , binti akawa anamnyonyesha mzee mpaka wakaamua kumuachia maana waliona hafi, ujumbe kwenye suala la kuokoa maisha ya watu hakuna suala la dhambi wala kinyaa, tenda wema na hii ndio ile kitu inaitwa upendo wa kweli
 
MKUU HIYO PICHA INASEMEKANA NI JAMAA ALIKUWA JELA NA AKAPEWA ADHABU YA KUTOKULA,MKEWE SIJUI MWANAE ALIKUWA ANAKWENDA JELA NA KUMPA ZIWA ANYONYE KWA SIRI BILA ASKARI KUTAMBUA,PICHA KAMILI MWANAMKE HUWA AMEBEBA MTOTO KWA PEMBENI
hii ni stori moja kuwa binti alikuwa akimtembelea baba yake jela ambako alitakiwa afe kwa njaa , binti akawa anamnyonyesha mzee mpaka wakaamua kumuachia maana waliona hafi, ujumbe kwenye suala la kuokoa maisha ya watu hakuna suala la dhambi wala kinyaa, tenda wema na hii ndio ile kitu inaitwa upendo wa kweli
Daah kumbe hayo maziwa yanaweza kumfanya mwanaume ashibe, vp hapa Bongo wanaonyonya ni kwa ajili ya njaa au nn
 
hii ni stori moja kuwa binti alikuwa akimtembelea baba yake jela ambako alitakiwa afe kwa njaa , binti akawa anamnyonyesha mzee mpaka wakaamua kumuachia maana waliona hafi, ujumbe kwenye suala la kuokoa maisha ya watu hakuna suala la dhambi wala kinyaa, tenda wema na hii ndio ile kitu inaitwa upendo wa kweli
💯
 
Umenikumbusha story ya jamaa mmoja yaliyomkuta baada ya kutumia mkongo halafu manzi hakutokea ghetto
 
Mimi kila siku ninapoona na kusikia kwenye vyombo vya habari hapa Tanzania kuwa wanaume waonywa kuwa wasinyonye maziwa ya wake zao ambayo ni chakula cha watoto basi nilikuwa nafikiri kuwa huu ujinga upo hapa Tanzania tu kumbe upo tokea enzi za utawala wa Roma.
View attachment 1890427
Sio kweli cheki huyo Mzee kafungwa minyororo miguuni hivo yupo gelezani.Hapo Binti anamnyonyesha babake asife njaa.Ukicheki vzr hiyo picha Binti yupo makini kwa taadhali kubwa
 
hii ni stori moja kuwa binti alikuwa akimtembelea baba yake jela ambako alitakiwa afe kwa njaa , binti akawa anamnyonyesha mzee mpaka wakaamua kumuachia maana waliona hafi, ujumbe kwenye suala la kuokoa maisha ya watu hakuna suala la dhambi wala kinyaa, tenda wema na hii ndio ile kitu inaitwa upendo wa kweli
Anaitwa Jack Daniel
 
Back
Top Bottom