Hivi kwa hili jamii yetu ya kiafriaka itakuwaje kwa sababu sisi kila kitu tunawafuata Wazungu?

mtoto wa mchungaji

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
279
480
Taarifa nilizo zipata ambazo ni za ukweli na kuaminika ni kuwa huko Ulaya makanisa yanafungwa kila kuitwapo leo, wazungu wanaacha kwenda kanisani kwa kasi ya ajabu kuwai kutokea, watafiti wanasema kuwa baada ya miaka5 mpaka 10 ulaya inaweza ikawa na makanisa machache sana au kupotea kabisa.

Swali, sisi Waafrika tuliwafuata wazungu kwa kutuletea dini sasa leo wanaacha je sisi afrika tutaendelea nayo? Na je kama wataleta kitu/imani nyingine je tutaingia tena huko? Au sisi tutabaki na ukristu walio tuletea?

Na tutawezaje leo kuto kupokea kama wakija na imani nyingine tofauti na ukristu wakati sisi waafriaka kuanzia kuonge kama wazungu, kula, kuvaa, kuoa, kuzika na vingi tunafuata huko.

Mimi mtoto wamchungaji sielewi.
 
Sio ajabu tutafata tuu kwa kuwa kila waanzishalo wao sie hatujielewi hufata bila kuwaza faida na madhara yake
Mi sio mfuasi wa Wazungu ila vilivyo vizuri vyao nafata ila vilivyo ovyo hapana
 
Tutawasikiliza kina Maria sarungi,kigogo na Chadema.

Wakisema sawa Basi tutafuata,atayepinga tutamshambulia mitandaoni na bungeni ataitwa kwenye kamati ya maadili.

Hii ndo Africa banaa
 
Nani na wapi Africa wanalazimisha uwe mkristu?

Imani yako ya ukristu inakusaidia nini wakati hata huna imani nayo?

Unaabudu nini kwa maslahi ya nani?

Imani ya kigeni katika africa ni huo ukristu tu?

Kama humjui Mungu, wala huna imani naye, kwa nini unajihusisha na imani?

Kama imani haikuhusu, kwa nini kujidai mwalimu wakitu hukijui?

Huna Ukristo wowote ila ni jitu limebeba agenda ya kupinga ukristo ukidhani ukija kwa mtindo huu utaonekana una hekima.

You are a big pagan and anti-Christ in a disguise. Waambie wenye roho kama zako, kwamba hamna ubavu wowote kwa kuwa muda wenu bado.
 
Taarifa nilizo zipata ambazo ni za ukweli na kuaminika ni kuwa huko ulaya makanisa yanafungwa kila kuitwapo leo, wazungu wanaacha kwenda kanisani kwa kasi ya ajabu kuwai kutokea, watafiti wanasema kuwa baada ya miaka5 mpaka 10 ulaya inaweza ikawa na makanisa machache sana au kupotea kabisa...
Lakini pia idadi ya waumini wa dini ya kiisilamu wanaongezeka ulaya kwa kasi na ajabu Kinisa nyingi zinabadilishwa kua misikiti, kwa mfano Google unasema 'Uislamu is the fastest growing religion in Europe', tangu sept 11 2001, wazugu zaidi ya 100k uingereza wameingia dini ya uislamu wafaransa ina waislamu zaidi ya 6m, kwasasa 10% ya wafaransa wote. Je ndani ya miaka 50 uislamu ndo utakua dini kuu ulaya?
 
Mhu! Sidhani kama utafiti huo ni wa kweli. Ingawa waumini wengi wa Ulaya na Marekani wanazeeka, kuna vijana pia wanaoenda kanisani. Ukiangalia maeneo ambayo papa anatembelea Ulaya na Marekani, idadi ya watu wanaoonekana katika mikusanyiko ya ibada ni vijana. Pia ukiangalia pale anaposalisha ibada (Roma) kila Jumapili idadi kubwa ya waumini ni vijana pia. Hali hii unaweza kuielezeaje?

'Christianity is the largest religion in Europe. Christianity has been practiced in Europe since the first century, and a number of the Pauline Epistles were addressed to Christians living in Greece, as well as other parts of the Roman Empire. According to a 2010 study by the Pew Research Centre, 76.2 per cent of the European population identified themselves as Christians, Europe constitute in absolute terms the world's largest Christian population. As of 2010, Roman Catholics were the largest Christian group in Europe, accounting for more than 48 per cent of European Christians. The second-largest Christian group in Europe were the Orthodox, who made up 32 per cent of European Christians. About 19 per cent of European Christians were part of the Protestant tradition. Russia is the largest Christian country in Europe by population, followed by Germany and Italy.' Source: Christianity in Europe - Wikipedia

‘Islam is the second-largest religion in Europe after Christianity. Although the majority of Muslim communities in Western Europe formed recently, there are centuries-old Muslim societies in the Balkans, Southeastern Europe, Caucasus, Crimea, and Volga region, such as Slavic Muslims, Muslim populations of Albanians, Greeks, Romani, Balkan Turks, Pomaks, Yörüks, Volga Tatars, and Crimean Tatars. The term "Muslim Europe" is used to refer to the Muslim-majority countries in the Balkans (Bosnia and Herzegovina, Albania, Kosovo) and parts of countries in Eastern Europe with sizable Muslim minorities (Bulgaria, Montenegro, Serbia, North Macedonia, and some republics of Russia) that constitute large populations of native European Muslims, although the majority are secular…In the late 20th and early 21st centuries, large numbers of Muslims immigrated to Western Europe. By 2010, an estimated 44 million Muslims were living in Europe (6 per cent), including an estimated 19 million in the EU (3.8 per cent). They are projected to comprise 8 per cent (58 million) by 2030’. Source: Islam in Europe - Wikipedia
 
Mhu! Sidhani kama utafiti huo ni wa kweli. Ingawa waumini wengi wa Ulaya na Marekani wanazeeka, kuna vijana pia wanaoenda kanisani. Ukiangalia maeneo ambayo papa anatembelea Ulaya na Marekani, idadi ya watu wanaoonekana katika mikusanyiko ya ibada ni vijana...
Ila kitu gani kinacko vutia wazungu kuingia katika dini ya uislamu? Kuliko dini zingine
 
Nani na wapi Africa wanalazimisha uwe mkristu?
Imani yako ya ukristu inakusaidia nini wakati hata huna imani nayo?
Unaabudu nini kwa maslahi ya nani?...
We usiniite mimi mpinga kristu, kwani mimi ndiyo nimeyafunga hayo makanisa, usiwe mvivu kusoma na kutanua kichwa chako mimi naongea vitu ambavyo vinatokea chini ya jua vilitokea na vinatokea sasa mimi kukujuza tu unajaa.

Wapinga kristu ni wa China ambao walibomoa makanisa na kuwaua watumishi wa Mungu hata leo wanaita ukritu ni upagani hawamtaki Yesu wa Jehova lakini Mungu amewabariki na sisi ni malofa.

Ungejibu hoja kwanza alafu ndiyo utoe hukumu itapendeza kumtukuza Mungu aliyekuwekea ubongo alikuwa na maana yake P"$*^#.
Angalia hizo pics ngoma walisha achana nayo hayo makanisa kwani mimi, mimi ni mtoto wa mchugaji kwanza nina hofu ikifika kwetu sadaka itakuwaje si maisha yatakuwa magumu hujui.

1630911560470.png

1630911814691.png

1630911878482.png


1630912224029.png

1630912293658.png
 
Taarifa nilizo zipata ambazo ni za ukweli na kuaminika ni kuwa huko ulaya makanisa yanafungwa kila kuitwapo leo, wazungu wanaacha kwenda kanisani kwa kasi ya ajabu kuwai kutokea, watafiti wanasema kuwa baada ya miaka5 mpaka 10 ulaya inaweza ikawa na makanisa machache sana au kupotea kabisa...
Ulaya makanisa yamebaki ni historical sites hasa yale ya zamani. Wanatunza historia ili watoto waje waone sehemu ambapo wazazi wao walikuwa wanaabudia.
 
Ila kitu gani kinacko vutia wazungu kuingia katika dini ya uislamu? Kuliko dini zingine
Ukumbuke binadamu wote tunamtafuta Mungu anakopatikana. Unaweza kuanza na dini moja, kisha ukaondoka kwenda dini ingine na baadaye kurudi na kisha kuondoka tena mpaka pale roho itakaporidhika au tulia.

Hata wanaojiunga na Uislamu baada ya muda wanaacha na kurudi tena walikotoka. Ulishaangalia midaharo ya dini?

Wanaoendesha midaharo hiyo mara nyingi au baadhi yao ni wale waliohama dini zao na kwa kufanya hiyo midaharo wanajiona wana kitu cha ku'share' na wenzao ambacho wanafikiri wenzao hawakifahamu kuhusu waumini wa dini fulani wanaofanya nao mdaharo.
 
Dini ni culture. Culture changes overtime. Science is also a culture.
In modern life science is a dorminant culture.
The higher the scuence and technology the higher the self understinging( esteem)and the less the myth dependence.
In those days, poeople depended on religion(myth) to solve their problem but today people depend on scientific method to solve their problems.
Eg. People with low level of tech depend on religion(Maombi) to combat pandemic but in advance science and technology people use science and technoligy to solve pandemic problem( Medicine,social distance, vacine et)
If we refering to Brazilian phylosopher(Paul freiler), sociey is grouped /categorized in three state.
1.Magic
2.Naeive
3.Critical stage.
Most of white people are in Critical stage where by peoople take action and stop what is non sense.
But Most African if not all they are in Magic state where by the force is beyond the man power.
There is external power(God) which enforces/controlling every thing.
Therefore Bkackman can't stop anything except for willing of magic power.
Most of the Blackman decision depends on magic power.
Try to research even in our parliament , decision are made based on MAGIC power not evidence/ research/ fact.
3/4 of members of our parliament are magic people who lead citizen who have magic state of mind!
 
All in all kwa Mkristo kamili mwenye kuijua kweli naimani anaelewa nini kinaendelea Yesu anarudi kuchukua kanisa
 
Nani na wapi Africa wanalazimisha uwe mkristu?

Imani yako ya ukristu inakusaidia nini wakati hata huna imani nayo?

Unaabudu nini kwa maslahi ya nani?

Imani ya kigeni katika africa ni huo ukristu tu?

Kama humjui Mungu, wala huna imani naye, kwa nini unajihusisha na imani?

Kama imani haikuhusu, kwa nini kujidai mwalimu wakitu hukijui?

Huna Ukristo wowote ila ni jitu limebeba agenda ya kupinga ukristo ukidhani ukija kwa mtindo huu utaonekana una hekima.

You are a big pagan and anti-Christ in a disguise. Waambie wenye roho kama zako, kwamba hamna ubavu wowote kwa kuwa muda wenu bado.

ushashikwa na mzungu mpaka hapo
 
Back
Top Bottom