Baada ya kusema hakuna wa Kumuweza na sasa Mashambulizi yanazidi Kwake, Haji Manara atishia kuwafanyia Kitu mbaya wanaomshambulia Mitandaoni

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Tukiweka Kumbukumbu sawa ni huyu huyu Haji Manara (Msemaji mpya wa Yanga SC ) alipohamia huko alijigamba na Kujimwambafai kwa kila namna kuwa hakuna mwana Simba SC anayemuweza kwa Kuchafuana na Kutaniana pia.

Leo akiwa katika Interview EFM katika Kipindi Bora kabisa cha Michezo nchini cha Sports Headquarters Msemaji wa Yanga SC Haji Manara ametishia kuwafanyia Kitu mbaya wale wana Simba SC wote wanaomchafua na kumuanzishia Zengwe (Mada Chonganishi ) humu Mitandaoni.

"Subiri tumalize Mechi yetu hii ya CAF CL Jumapili nakuhakikishia nitadili nao Wote hawa ambao Kutwa wananichokoza na kuniandika vibaya Mitandaoni na bahati nzuri nawajua kwani ni Kakikundi fulani ka Waandishi wa Habari. Nitawakomesha nakuapia", alisema Manara.

Nami Mightier nichukue tu fursa hii Kumuambia na Kumuonya Haji Manara kuwa Moto aliouanzisha Kwetu wana Simba SC tunaomjua vyema tena kuliko anavyojijua na kutujua hautazimika leo wala Kesho kwa Vitisho vyake sana sana Mashambulizi Kwake ndiyo yatazidi ukizingatia Wengine Sisi ni Mashemeji zake kwa Dada zake wa Ilala na Buguruni na hata Waume wenzie hivyo tukiwakoleza hao hutupa Siri zake nyingi.

Akitaka Mashambulizi Kwake yasitishwe Sharti ni moja tu aache Kuizungumzia Simba SC, Watendaji na Mashabiki zake wote na ajikite zaidi Kuizungumzia Yanga SC yake. Na ikimpendeza pia atuombe Radhi wana Simba SC kwa Usaliti na Unafiki mkubwa aliotufanyia.

Usicheze na Watu wanaokujua vizuri.
 
Jamaa nimemsikiliza kwenye kipindi hicho, daah niseme jamaa ni empty kichwani kabisa, yaani hana hoja anaulizwa hili anajibu lile pamoja na visingizio vya kuwa anahujumiwa Mara ageuke aiseme simba, pia ni mropokaji anataka azungumze yeye tu, kiufupi jamaa haaminiki, muongo muongo flani hivi tapeli hivi, hana maadili ya kazi kiufupi sio professional ni mganga njaa flani.
 
Ukimtaka kapumbu tu wanakimbia hao😁😁😁

20210903_191936.jpg
 
Jamaa nimemsikiliza kwenye kipindi hicho, daah niseme jamaa ni empty kichwani kabisa, yaani hana hoja anaulizwa hili anajibu lile pamoja na visingizio vya kuwa anahujumiwa Mara ageuke aiseme simba, pia ni mropokaji anataka azungumze yeye tu, kiufupi jamaa haaminiki, muongo muongo flani hivi tapeli hivi, hana maadili ya kazi kiufupi sio professional ni mganga njaa flani.
Simba SC tulikuwa na bahati mbaya sana kuwa na Mtu Mpuuzi wa aina yake hata hivyo naushukuru Uongozi wa Simba SC Kumshtukia mapema na Kuachana nae kwani huenda huko mbeleni angetugharimu zaidi.
 
Mpuuzi Wewe nimeanza kuwa Famous Tanzania yako hii kuliko huyo Mpuuzi Mwenzenu tena akiwa Mwizi wa Magari ya CCM na nikiwa na Dada yake pia.

Bwasheeee Haji Manara sote tunamjua vizuri ,sasa na wewe jiweke wasi wasi kama Haji
 
Huyu Haji anachonishangaza ni zile sifa zote za kweli na za uongo alizokuwa anaimwagia Simba, ndio anahama nazo na kuzigeuzia kwa Yanga. Ni kama vile hana jipya.

Namshauri angekuwa anatafuta yale mazuri ya Yanga ndio ajikite nayo labda ingemjenga sana. Kuliko staili hii ya kucopy na kupaste kilakitu, Inafanya yeye ndio haonekane Kituko, maana uhalisia unajulikana
 
Huyu Haji anachonishangaza ni zile sifa zote za kweli na za uongo alizokuwa anaimwagia Simba, ndio anahama nazo na kuzigeuzia kwa Yanga. Ni kama vile hana jipya.

Namshauri angekuwa anatafuta yale mazuri ya Yanga ndio ajikite nayo labda ingemjenga sana. Kuliko staili hii ya kucopy kilakitu - inafanya yeye ndio haonekane Kituko, maana uhalisia unajulikana
Hahahahahaha Njaa mbaya sana
 
Tukiweka Kumbukumbu sawa ni huyu huyu Haji Manara (Msemaji mpya wa Yanga SC ) alipohamia huko alijigamba na Kujimwambafai kwa kila namna kuwa hakuna mwana Simba SC anayemuweza kwa Kuchafuana na Kutaniana pia.

Leo akiwa katika Interview EFM katika Kipindi Bora kabisa cha Michezo nchini cha Sports Headquarters Msemaji wa Yanga SC Haji Manara ametishia kuwafanyia Kitu mbaya wale wana Simba SC wote wanaomchafua na kumuanzishia Zengwe (Mada Chonganishi ) humu Mitandaoni.

"Subiri tumalize Mechi yetu hii ya CAF CL Jumapili nakuhakikishia nitadili nao Wote hawa ambao Kutwa wananichokoza na kuniandika vibaya Mitandaoni na bahati nzuri nawajua kwani ni Kakikundi fulani ka Waandishi wa Habari. Nitawakomesha nakuapia", alisema Manara.

Nami Mightier nichukue tu fursa hii Kumuambia na Kumuonya Haji Manara kuwa Moto aliouanzisha Kwetu wana Simba SC tunaomjua vyema tena kuliko anavyojijua na kutujua hautazimika leo wala Kesho kwa Vitisho vyake sana sana Mashambulizi Kwake ndiyo yatazidi ukizingatia Wengine Sisi ni Mashemeji zake kwa Dada zake wa Ilala na Buguruni na hata Waume wenzie hivyo tukiwakoleza hao hutupa Siri zake nyingi.

Akitaka Mashambulizi Kwake yasitishwe Sharti ni moja tu aache Kuizungumzia Simba SC, Watendaji na Mashabiki zake wote na ajikite zaidi Kuizungumzia Yanga SC yake. Na ikimpendeza pia atuombe Radhi wana Simba SC kwa Usaliti na Unafiki mkubwa aliotufanyia.

Usicheze na Watu wanaokujua vizuri.
Genta unatafuta umaarufu kwa Manara! Hata hivyo huwezi kumfikia.
 
Back
Top Bottom