Police online loss report hamna kitu, ni uozo mtupu

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,701
36,116
Nimejaza online loss report nimelipia, nimekaa zaidi ya masaa 24 report not approved.

Mwaka jana nilijaza loss report ya vitu 4 nilipata report 2 instantly, vitu 2 vingine nilikaa wiki sijapata loss report. Sijaangalia kama walitoa au la. Imagine unakaa wiki moja bado panasoma not yet approved.

Tatizo liko wapi?

Kama mmeshindwa kuboresha basi ondoeni turudi kama zamani. Mambo ya kwenda vituo vya police kuripoti umepoteza line ya simu, kitambulisho na sijui tv watu hatutaki.

Polisi ukiwakuta kituoni wanakuwa miungu kabisa.
 
Na ukienda kituoni umeshajaza online wanakuona wewe much know watakugandisha kwenye foleni mpaka ukome .Polisi siyo kabisa.
 
Mimi nilisha jiwekea kichwani kwamba pale jamaa hawatendagi haki na pia sio wawajibikaji...
 
Wanataka uende kwenye vituo ili wakuambie nenda kajaze form pale stationary upate conrol number afu nje unamkutana na madogo wanakwambia kujaza form ni 2000
 
Sio kujaza form tu bali unaweweza kumaliza kila kitu mwenyewe online but ndio waletewa ujumbe haijawa approved,
Ukienda kwa wale madogo na Control number wanabofya bofya kwenye pc yao then wanaprint na utatakiwa ulipie buku 2 yaelekea madogo wamepewa access ya hizi mambo.
Nadhani ni miradi ya Wakuu vituo kupiga hela
 
Mimi nimeenda mpaka kwa hao mawakala wao lakini mpaka sasa hivi wamekataa kunigongea mhuri kwenye hizo form zao, hovyo kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom