Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,961
- 3,921
Hakuna kitu kibaya kama
Kupoteza nauli usiku na kila unaemuomba msaada anakuona kama nnya😒😒😒
Kukosa msosi harusini pekeyako halafu unaona wenzio wanakula mapilau na mapaja ya vyuku😅😅
kukataliwa na mpenzi wako mbele ya kadamnasi siku mnafunga ndoa..😉😉😉
Unaunga bando lako freeeeshi ili umpigie mpenzi wako mara paap unaambiwa hapatikani...🤪🤪
𝐞𝐧𝐝𝐞𝐥𝐞𝐚 𝐡𝐚𝐩𝐨 𝐜𝐡𝐢𝐧𝐢