kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Jugado

    JamiiForums Tanzania Mtaa gani ni hatari kutembea usiku wa manane Arusha mjini? Maana jana nilizunguka Ungalimited usiku mnene na hamna kitu nimefanywa!!

    Mitaa ipi mingine ni hatari? Nimetia timu Arusha Kwa wiki moja from jiji la panyaroad nikaona nikatembee mitaa ya Ungalimited saa saba usiku nione machalii wana jipya gani.... Nikiwa nimetupia nguo nyeusi, buti la jeje na boshori huku Kila saa nikigusa gusa kiuno as if nina paja la kuku kumbe...
  2. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Hivi Mapenzi ni kitu gani?

    Wengine wanasema mapenzi matamu hakuna mfano hasa mkitokea kupendana, kuaminiana, kuheshimiana nk Wengine waliowahi kutendwa hawataki hata kusikia habari za mapenzi, Wengine wamepoteza maisha kwa sababu ya vivu wa kimapenzi, Wengine waliwasomesha wapenzi wao kwa gharama kubwa mwisho wa siku...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kitu gani cha Ajabu wanachofanya CCM Madarakani ambacho vyama Vingine haviwezi kufanya?

    Kila siku tunaambiwa ikitoka CCM Madarakani hakuna chama kingine cha siasa chenye uwezo wa kuchukua nafasi yake. Hivi CCM inafanya kitu gani chanya kwa Tanzania ambacho vyama vingine vya Siasa havitaweza kufanya CCM ikitolewa madarakani?
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kenedy, Kazi, Abel na Mwenda wana kitu; waaminiwe Simba Sc

    Nimeangalia mechi zote za Mapinduzi Cup alizocheza Simba Sc. Kuna kitu nimekiona miguuni kwa baadhi ya wanandinga wa Simba Sc. Nimemuona Kazi akipiga kazi nzuri akiimarisha ulinzi eneo hatari la Simba. Jana dogo sambamba na Kenedy Juma wamepiga soka zuri kwa kujiamini. Kuhusu Israel Mwenda...
  5. African Geek

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kujua rangi ya ile kitu iliyofunikwa bila kuiona?

    Habari za muda huu wana JF. Natamani sana kufahamu ni jinsi gani naweza kujua ile rangi ya ndani, rangi ya asali bila ya kuichungulia. Ni viashiria gani au ni sehemu gani ya mwili iliyo public ambayo naweza kuangalia ili niweze kujua rangi ya kule ndani. Natamani sana asali nyeupe ila dada...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mkiambiwa Mungu hapendi Kulazimishwa Jambo kwani hutupa kila Kitu kwa Kipimo hatusikii tu

    Na kaniambia hii Mvua isiyoisha Koki yake ataisahau wa Makusudi kwa muda mpaka tushike Adabu kisha atarejesha Jua lake na Joto. Ndani ya Wiki Mbili nzima kila Mtu anamlaumu tu Mwenyezi Mungu kwa Joto na Jua Kali na Wengine hata Kumchukia wakati Yeye alikuwa na lengo lake Jema tu na sasa baada...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nyumbani kwenu kuna kitu kilichokuzidi umri au kimeendana umri na wewe!?

    Habari za mwaka mpya 2024 wapendwa katika Bwana, natumaini wooooote wazima, mwenye changamoto yoyote basi MWENYEZI MUNGU ASAIDIE Unajua katika majumba yetu tulikozaliwa kuna vitu utavikuta iwe tv, nguo, kabati, meza chochote kile cha zamani kimetunzwa kweli, na bado kinatumika, ukiulizia hiko...
  8. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Jinsi watu wa mikoani tunavyofanyiwa tunapoagiza bidhaa toka kwa watu wa Dar es Salaam

    Habari za asubuh ndugu wana jf. Leo nimekuja kutoa mikasa miwili mitatu jinsi watu wa mikoani tunavyofanyiwa pale tunapoagiza bidhaa toka huko dar es laam. KISA CHA KWANZA niliwah ona page 1 ya facebook & instagram ambayo inapost nguo nzuri sana za dukani hasa mashati, kwakua nilipenda...
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mnaosema kuwa Mo hajaweka bilioni 20 Simba, hizo Bilioni 20 za kitu Gani?

    Kuna mashabiki wa timu moja ambayo timu nzima ina mashabiki wawili tu wenye akili, kila siku Wanahoji/ kuuliza swali lisilo na mantiki. Kila siku wanauliza kama Rais wa Heshima Simba Mohamed Dewji tayari keshaweka kwenye akaunti ya Simba shilingi bilioni 20 alizoahidi kuwekeza Simba. Kwani...
  10. Ritz

    JamiiForums Tanzania KASHFA kubwa ya usalama wa Israel hawa Mossad kumbe hamna kitu sinema zimetudanganya sana.

    Wanaukumbi. KASHFA kubwa ya usalama wa Israeli: Mwisraeli aitwaye Roi Yifrah, tapeli, aliyeigiza kama mpiganaji wa IOF kutoka kitengo cha Yamam na aliingia Ukanda wa Gaza. Katika kukaa kwake kwa miezi 1,5, aliiba vifaa vya kupigana, silaha, vifaa n.k. Pia alijifanya kuwa mwanachama wa Shin...
  11. Half american

    JamiiForums Tanzania Ni tabia gani umepanga/ulipanga kuiacha kufanya punde tu ukiuanza mwaka mpya? Vipi matokeo yake

    Habari wakuu, herini wote kwa sikukuu za mwisho wa mwaka. Tukiwa kwenye siku ya mwisho ya mwaka 2023 ni jambo jema sana kumshukuru Mungu na kumuomba atuvushe salama wote tuuone na kuuanza mwaka mpya wa 2024. Kama ilivyo kawaida kwa miaka mingine iliyopita, baadhi yetu huweka maazimio ya...
  12. Half american

    JamiiForums Tanzania Ni tabia gani umepanga/ulipanga kuiacha kufanya punde tu ukiuanza mwaka mpya? Vipi matokeo yake.

    Habari wakuu, herini wote kwa sikukuu za mwisho wa mwaka. Tukiwa kwenye siku ya mwisho ya mwaka 2023 ni jambo jema sana kumshukuru Mungu na kumuomba atuvushe salama wote tuuone na kuuanza mwaka mpya wa 2024. Kama ilivyo kawaida kwa miaka mingine iliyopita, baadhi yetu huweka maazimio ya...
  13. stephenga

    JamiiForums Tanzania Sasa nahitaji ndoa kuliko kitu kingine chochote. Siwezi tena kusubiri

    Nimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa. Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa. Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa. Haswa ukizingatia...
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Jijengee mfumo wa kutompa mtu ahadi yoyote kuhusu jambo au kitu chochote

    Katika maisha tunaishi ila usikubali kumpa MTU ahadi yoyote , ishi maisha yako tu. Kuwa na ule mfumo wa MTU akikuomba kitu mwambie ebu tuone hali itakuaje. Wafanyie WATU surprise ila usiwape ahadi. Avoid entitlement trap -this life is yours hakuna MTU aliapa kuwa atakupa chochote unachokitaka...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Inawezekana niamkie Kariakoo na kupata kipato ikiwa sina ofisi wala chochote?

    Inawezekana niamke asubuhi na kwenda Kariakoo ikiwa Sina ofisi yeyote hapo???? Udalali huwa unafanywaje jamani! Kazi gani unaweza kuifanya pale Kariakoo kwaajili ya kukuingizia chochote kitu ikiwa huna duka, huna chochote?
  16. Championship

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani raisi Samia amekiweza? Mbeya hakuna maji wiki ya pili hii

    Nimefika huu mkoa naambiwa maji hamna kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Nipo maeneo ya soweto, block Q. Niliwahi kuishi hapa karibu miaka 10 kipindi cha nyuma na hapajawahi kuwa na tatizo la ukosefu wa maji hata siku moja. Ni kipi Rais anakiweza?
  17. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Member gani JF amekuwa chawa kupitiliza, kwa mtu au kitu 2023?

    Mwaka ndo huo una elekea kuisha, kila mmoja ana mtazamo wake wengine furaha au huzuni. 👉Tukija Humu jf Kuna baadhi ya member wame kuwa na mapenzi yaliyo pitiliza kwa mtu au kitu kwa Mwaka huu 2023. 1, Lucas mwashambwa dah huyu brother nahisi tuki mchanja damu yake tuta kuta dna za chama chake...
  18. Vumbi la congo

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya hii kitu (dns.adguard.com)

    Nilikuwa napata kero ya matangazo online..katika kupekuwa nimekutana na hiyo kitu nikaiweka kwenye setting kama yanavyoelekeza maelekezo naona matangazo sipati tena kwenye zile sites zote ambazo nilikuwa napata kero hiyo..je nauliza pamoja na kwamba matangazo hayaji ipi hasara ya kusett...
  19. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinapelekea mshahara kutoka kwa mafungu awamu hii?

    Natamani kujua, Maana kwa uelewa wangu kama ni system ingeweza kuwa tofauti ya dakika tu, au angalau range ya masaa mawili kwa Kila mfanyakazi kupata mshahara, Lakini Hali hii ya mpishano zaidi ya siku mbili mpaka tatu ni wazi Kuna shida mahali.. Wasi wasi wangu ni kuwa pengine mheshimiwa Raisi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Solution ni kuhama, hakuna kitu inaitwa Formal na Informal blessing

    Salaam, Shalom!!! Ulimwengu wa sasa una hadaa nyingi sana, Watu wanaandika waraka, terminology nyiiingi, chenga za kutosha kufunika dhambi. Marriage/ NDOA, ukitaja tu neno Hilo picha Inakuja ni muunganiko wa Mwanaume na Mwanamke Kwa Tendo TAKATIFU. Leo wanakuja wahuni wanasema Eti, same sex...
Back
Top Bottom