Mtaa gani ni hatari kutembea usiku wa manane Arusha mjini? Maana jana nilizunguka Ungalimited usiku mnene na hamna kitu nimefanywa!!

Jugado

JF-Expert Member
Oct 28, 2021
1,449
3,135
Mitaa ipi mingine ni hatari? Nimetia timu Arusha Kwa wiki moja from jiji la panyaroad nikaona nikatembee mitaa ya Ungalimited saa saba usiku nione machalii wana jipya gani....

Nikiwa nimetupia nguo nyeusi, buti la jeje na boshori huku Kila saa nikigusa gusa kiuno as if nina paja la kuku kumbe sina kitu!

Nimekuta machali kwenye vikundi wanavuta jani huku wakionesha wasiwasi jinsi ninavyodunda kukataa mitaa...

Nataka leo usiku niende mtaa hatari nikawaoneshe hawa wavuta bangi Mimi ni nani.

Nyie panyaroad wa dar nitarudi next week.
 
Utaliwa nyama wewe
 
Hakukuwa na namna ilikuwa lazima watishike
1704719520772.png
 
Mitaa ipi mingine ni hatari? Nimetia timu Arusha Kwa wiki moja from jiji la panyaroad nikaona nikatembee mitaa ya Ungalimited saa saba usiku nione machalii wana jipya gani....

Nikiwa nimetupia nguo nyeusi, buti la jeje na boshori huku Kila saa nikigusa gusa kiuno as if nina paja la kuku kumbe sina kitu!

Nimekuta machali kwenye vikundi wanavuta jani huku wakionesha wasiwasi jinsi ninavyodunda kukataa mitaa...

Nataka leo usiku niende mtaa hatari nikawaoneshe hawa wavuta bangi Mimi ni nani.

Nyie panyaroad wa dar nitarudi next week.
Kwajiyo ulitaka wakufanye nini! Unauza 0712 au?
 
arusha usiku hakuna maajabu, biashara zinafungwa saa nne kuanzia hiyo saa nne usafiri wa public hamna hata boda ni zakuvizia.

Hii ni arusha town nazungumzia 😂
arusha hovyo sana!
 
Peleka Facebook.
 
Hamna jipya
 
Toka nione upuuzi wa dogo Dangote,mpaka Leo Waduduu wa Chuga nawachukulia poa sana.Dogo kama yule wakuta mfukoni tu ata alitesa mitaa. Chaga ni wanawake wotee.......
 
Back
Top Bottom