Waafrika waungana kuishambulia BBC mitandaoni. Kweli nimeamini dini ni kitu hatari zaidi ya bomu la nyuklia

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,702
36,143
Takribani ni siku nne sasa BBC inarusha makala za kuonyesha hujuma zilizofanywa na mhubiri TB Joshua.

TB Joshua ndiye chachu iliyozaa manabii karibu wote Afrika na nje ya Afrika kwa zama ya Leo.

Hivyo ukimgusa TB Joshua ni sawa na kuwagusa Manabii na mitume wote wa Afrika.

Wafuasi wa mitume na manabii waijia juu BBC.

Wengine wakiahidi kuwa hawataamini tena habari yoyote itakayotolewa na BBC.

Wengine wanaitabiria anguko BBC.

Dini ni hatari zaidi ya bomu la nyuklia.

Katika vitu ambavyo mwanadamu anapaswa kuwa makini anapoongea ni pale atakapoongea jambo linalohusu dini l/njia au Imani.
 
Ukimuamini Mungu hata kama mtu akija akakwambia mapungufu yako hutomchukia bali utampenda kwasababu kakwambia ukweli na kakusaidia, ila ukiamuamini kiongozi wa dini mtu akaja akakwambia mapungufu yake lazima utamchukia mtu huyo, si kwasababu humpendi mtu huyo bali amekwambia kitu ambacho hukutaka kukisikia kamwe kuhusu mtu uliyemuamini!.

Waafrika wengi ambao ni wafuasi wa hao viongozi wa dini wengi wao ni MAZEZETA,MATAHIRA na WENYE UPUNGUFU KICHWANI!.
 
Hizo habari zimekuwepo mda, nyingi nimezisikia tokea 2017/2018 huko, sema BBC imetoa maelezo mengi zaidi. Kama ile ya lile jengo kuporomoka na TB Joshua kupuuzia familia za wahanga, ipo tokea mda.

Hata kina mwamposa, kina tony kapola wana tetesi kibao.

Ukiona mtu anajitangaza kwamba anatenda miujiza ujue 100% huyo ni tapeli. Miujiza haipo kuna udanganyifu hua unafanywa.

Huwezi fanya udanganyifu bila utambuzi, maana yake umedhamiria kutapeli.
 
Ukimuamini Mungu hata kama mtu akija akakwambia mapungufu yako hutomchukia bali utampenda kwasababu kakwambia ukweli na kakusaidia,ila ukiamuamini kiongozi wa dini mtu akaja akakwambia mapungufu yake lazima utamchukia mtu huyo,si kwasababu humpendi mtu huyo bali amekwambia kitu ambacho hukutaka kukisikia kamwe kuhusu mtu uliyemuamini!.


Waafrika wengi ambao ni wafuasi wa hao viongozi wa dini wengi wao ni MAZEZETA,MATAHIRA na WENYE UPUNGUFU KICHWANI!.
Charles wa Uingereza ni kiongozi wa Dini. Dini ya kishetani.

Mizezeta ya Uingereza haisikii lolote, huwaambii lolote, unafikiri kwanini?

Yatoke kwao kwenda Nigeria kutafuta nini kama sio kwrnda kuanzisha taharuki?

Anyways, ni tabia iliyo ndani ya damu zao. Kila wakati akitokea kioo wa Mwafrika, wao huja na Character assasination. There is no coincidence.
 
BBC siku zote ni ya Madhalimu.

Madhalimu huwa hawana mazuri ya kusema kuhusu Mwafrika.

Angalia mapovu ya mawakala yao huko juu.

Konyo Nzeshi Kabisa.
Wewe ndio wakala wa mpinga kristo.

Yesu alisema kuweni makini watakuja manabii feki, kwahyo wewe una akili sana kuliko yeye?

Yule kenge tulishamuona muda mrefu, hakuna kitu pale katika manabii feki aliowaongelea yesu yule ndio alikuwa kiongozi
 
Wewe ndio wakala wa mpinga kristo.

Yesu alisema kuweni makini watakuja manabii feki, kwahyo wewe una akili sana kuliko yeye?

Yule kenge tulishamuona muda mrefu, hakuna kitu pale katika manabii feki aliowaongelea yesu yule ndio alikuwa kiongozi
Wale wanawake waliliwa matunda yao kimasihara wakachanganyikiwa, leo hii mke wake TB kashika usukani wamekosa pa kuchumia, wamekimbilia kwao na nye nye nye kibao

This is a trend ya wanawake wazungu kila mahali walipo Waafrika walio succesful. Hovyo
 
Back
Top Bottom